Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
jamani embu ona hii aibu ya uwanja wa kigoma wa ndege na alieandika hapa amelipwa si chini ya lakimoja na nusu na risiti imewekwa kwenye faili
tunatia aibu embu kabla ya kufikiria kujaza ndege anza kuangalia viwanja vya kuruka ndege viko hali gan mh raisi na waziri wako msanii
kigoma.jpg
 
Nani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.
 
mkuu ukishindwa kuwa makini kwenye minor things kamwe huwez kuwa makin kwenye masuala ya mcngi au serious issues kama unavyosema
 
Kikwete atafanya kazi ngapi? Amliwaze mama Salma, awaletee maendeleo na mabango nayo awarekebishie?
 
Nani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.
<br />
<br /

Wewe wa ajabu kweli, yaan mdau kuripoti ishu hiyo wewe unaona ni jambo la kitoto!? Napata wacwac na ukubwa wako.
 
Kikwete atafanya kazi ngapi? Amliwaze mama Salma, awaletee maendeleo na mabango nayo awarekebishie?

ile thread yako ya kipuuzi ya athari za JF mbona uliikimbia .... jamaa alitafsiri avatar yako vizuri sana ... je ni kweli?
 
Mkuu lat
hivi sasa ni saa saa sita na dk 44 napita tu
 
Mhe Zitto na Kafulila, mpoooo???

Najua ndio katika ule mkakati wa Wapinzani kukuza utalii katika mikoa ya pembezoni. Maandishi haya ni sehemu ya viivutio vya utalii.
Ni mchango wenu ambao Meneja Uwanja alishinikizwa ayaweke.

Tusimlalamikie Rais,.. aligwatua madaraka kwa Wabunge wa opozisheni.
 
Sasa Rais aone nini na ndio shule na viwanja alivyotuwachia nyerere hizo.
 
Meneja wa uwanja wa Kigoma hajaenda shule nini au ndo akina Kihiyo na vyeti feki na hajui kimombo yeye anajua Mkalakoze channe...Kiha
 
Hilo bango hata zito kabwe hajalistukia angeshaomba manager wa uwanja ajiuzulu
 
hili halimhusu rais kwani anaoitishwa VIP, well ni suala la meneja malamka ya ndege mkoa mchaga mmoja hivi injinia tesha kama sijakosea jina ndio anatakiw akuwajibika, michuzi alishaitoa hii mwaka jana naona hakuna aliefanyia kazi. PDIDY vitu vingine sio lazima rais yeye ni mkuu wa nchi mambo hayo kuna wa chini yake, hata hivo kiingereza sio lugha yetu hata wamerekani mwaka huu mwanzoni waliandika SCHOL to mean school ikabidi wafute mara moja hilo bango lao.kama wageni hawajaelewa waulize nchi za wenzetu wanaandika lugha zao kila mahali kama huji\ui utauliza tu.
 
Sasa Rais aone nini na ndio shule na viwanja alivyotuwachia nyerere hizo.

Na ni Rais gani huyo anayeona fahari kuvaa viwalo kutoka majuu na kupita kwenye malango yaliyojaa vumbi na mabango yasiyoeleweka nchini mwake?!
 
Du wacha nisepe je Kafulila hajaona tu!! Kama hao hawajaona itakuwa Dr bana tuache mambo ya hivyo jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom