Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

Anatakiwa awapelekee moto kisawasawa 'Milioni 100 FC'.
Maana hao ndio walikuwa wanafanya kampeni za nyuma ya pazia kumtoa bila kuwa na sababu za msingi.

Hakuna kucheka na wowote. Apeleke moto tu.
 
Katika watu waliowahi kumtinisha na ku muumiza kisaikolojia Wallec Karia ni Yanga.
Kwasasa ingawa ana Kiburi, hawezi kujaribu kuchezea moto wa Yanga.

Yanga ni taasisi yenye mzizi mrefu sana, Anguko la Wallec Karia litakuja endapo atajaribu tena kuwa Test Yanga.
Nina uhakika kwa muda mfupi ame elewa urefu na uimara wa mizizi ya Yanga katika Nchi hii.
 
Ndolanga mpya huyo na kwa kuwa yuko connected na ccm kuja kumtoa hapo itakua ni sawa na kutoa quarter pin ya baiskeli.
 
Yanga wamenuna hawajatoa pongezi

1755338077891.png
 
Katika watu waliowahi kumtinisha na ku muumiza kisaikolojia Wallec Karia ni Yanga.
Kwasasa ingawa ana Kiburi, hawezi kujaribu kuchezea moto wa Yanga.

Yanga ni taasisi yenye mzizi mrefu sana, Anguko la Wallec Karia litakuja endapo atajaribu tena kuwa Test Yanga.
Nina uhakika kwa muda mfupi ame elewa urefu na uimara wa mizizi ya Yanga katika Nchi hii.
Nakumbuka Viongozi wa yanga wanausaka ubunge kwa udi na uvumba lakini Tanzania imewashitukia 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sio kumtinginisha. Karia alishawasoma Yanga na ukizingatia mwaka huu ulikuwa wa uchaguzi hivyo aliamua kujifanya 'Mjinga'.

Backup ya Karia imemsaidia kuukwaa Uwenyekiti wa vilabu Afrika, wakati huo janja anatamani nafasi ya Karia pamoja na Ubunge.

This time around, nyeupe ni nyeupe. Hakuna kupindisha. Kila mtu atakula alikopeleka mboga.!
 
Nakumbuka Viongozi wa yanga wanausaka ubunge kwa udi na uvumba lakini Tanzania imewashitukia 🤣 🤣 🤣 🤣
Kila mtu ana malengo yake, Kiongozi wa Yanga au Simba kugombea uongozi izo ni Haki zake kikatiba.

Yanga imeshawahi kuongozwa na Mwenyekiti Abasi Gulamali alikua Mbunge kwaiyo haitakua ajabu kwa Hers Said.
 
Hers Said anatumia nguvu kubwa sana. Amekatwa Kigamboni juzi tu amekimbilia Kongwa na huko amekatwa. Watu wameshituka
 
Awe anautaka ubunge kwa Nguvu au la, iyo ni Haki yake ki katiba.
Duniani kila mtu na malengo yake, Kuna watu wengine hawazitaki/ Wala kuzifikiria nafasi za kisasa ata uwape Bure.
Ishi kwenye malengo Yako usimfikirie Hersi yeye anapambania Ndoto zake apate au akose ila anapambania anacho kiamini.
 
System imemkataa, Kwikwikwikwikwi atakuja kupotea kama yule december
 
Ukifuatilia watu wasiomtaka Karia ni ambao hawajawahi kuufanyia chochote mpira wetu licha ya kuwa na nafasi sehemu tofauti tofauti...
Hilo liko wazi. Shida ni kwamba kuna timu ilitaka ipange watu wake kuanzia Serikalini hadi huku shirikisho la mpira.

Baada ya hilo kufeli ndiyo Maana unaon milio ni kila kona.
 
Back
Top Bottom