mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,559
- 4,022
Hili swali injinia anaweza kulijibu labda tumuulizeMadaraka matamu sana, kwani alikuwa anashindana na nani?
Hili swali injinia anaweza kulijibu labda tumuulizeMadaraka matamu sana, kwani alikuwa anashindana na nani?
Nasikia kuna mchakato wa kubadili hiyo tittle ya 'Rais wa TFF' na badala yake iwe 'Mfalme wa TFF' ili aendelee kusalia kwenye hicho kiti mpaka atakapotwaliwa na muumba.Habari ndo hiyo..
Yule msomalia kashinda tena
Huyu ni Al Shabab kwenye demokrasia ya soka hapa nchini.Habari ndo hiyo..
Yule msomalia kashinda tena