Rais ziarani uholanzi

Rais ziarani uholanzi

Status
Not open for further replies.
Kitu per diem ... hv huyu jamaa hachok na kuona aibu huko ughaibuni?Coz usishangae nchi nyingine akawa amezitembelea kama raisi zaidi ya mara 4....ahaa haaa haaa, kama UK, naona kama s mara 8 sijui ...
 
Mtasema sana, usiku mtalala...!

Leo Anaelekea Uholanzi kwa ziara ya siku mbili...!
Ataunganisha juu kwa juu mpaka Uk kwenye mazishi ya M.Thatcher waziri mkuu wa zamani wa uk. Chezea v.dgama lazima wajukuu wapate kuadithia
 
Mmmh.
Anakwenda kutafuta wawekezaji wa Bandari
ya Bagamoyo kwani hamjui Nchi anayo
tembea iko vizuri upande wa Bandari?
 
A.k.a Mutu ya musoga a.k.a fastjet a.k.a vasco da gama a.k.a mtalii a.k.a secretary wa dunia a.k.a balozi wa tanzania duniani a.k.a ombaomba a.k.a abira wa hewani a.k.a Misuti ya bure a.k.a mbayuwayu a.k.a simple harmonic motion! Mimi nashauri serikali iingie gharama za kumfundisha urubani awe anasafiri pekeyake na tununue ndege yenye uwezo wa kubeba abiria mmoja ili awe anasafiri peke yake kupunguza gharama...pia chopa inaweza kufaa ! a.k.a dege la jeshi
 
Ataunganisha juu kwa juu mpaka Uk kwenye mazishi ya M.Thatcher waziri mkuu wa zamani wa uk. Chezea v.dgama lazima wajukuu wapate kuadithia

anatafuta sababu eti aje aseme nilivyotoka uholanzi nikaona nipitie msibani.
 
Wenye updates tupeni hesabu kamili, ni safari ya ngapi hii? hazijafika 400 kweli???????
 
Mwache Aende walishaanza ku pack vitu vyao hapa nchini. By June ubalozi wao utakuwa kama haupo. visa SA
 
"Wenyewe" ndio wanaita "diplomasia ya uchumi"!

Haishangazi vyama pinzani vikionekana kupata nguvu dhidi ya chama tawala, wanaishia kutafuta 'short cuts' za kijinga za kuvipunguza nguvu!!
 
Mtasema sana, usiku mtalala...!

Leo Anaelekea Uholanzi kwa ziara ya siku mbili...!


Ufaransa alienda ku sign mkataba na TOTAL kuchimba mafuta Ziwa Tanganyika na katika kuakikisha anachimb amafuta salama tunaenda kupigana na waasi M23 ili wasimsumbue mwekezaji ziwa tanganyika,

je huko Uholanzi kuna kampuni gani ya Mafuta?
 
Ufaransa alienda ku sign mkataba na TOTAL kuchimba mafuta Ziwa Tanganyika na katika kuakikisha anachimb amafuta salama tunaenda kupigana na waasi M23 ili wasimsumbue mwekezaji ziwa tanganyika,

je huko Uholanzi kuna kampuni gani ya Mafuta?

Royal Dutch Shell...!

Na amekwenda kwa mwaliko wa "Malkia" Beatrix...!

Huyu Rais Huyu? Sijui mwishowe itakuwaje
 
Hivi wamepewa lini hizi LESENI?


Royal Dutch Shell CEO Highlights Somalia Holdings

Fox Business
03/22/2013

African exploration interests are currently focused on Tanzania and Zanzibar, CEO Peter Voser said Thursday, though he also mentioned the oil giant has blocks of land available in Somalia.Mr. Voser's Somalia comments are the clearest indication yet the Anglo-Dutch major may exercise exploration rights that are more than 20 years old, signed before the African nation descended into brutal civil war. He addressed the company's interests in Africa with reporters on the sidelines of a luncheon in Boston.
"We have our exploration blocks in Tanzania Zanzibar and that has all of our focus at the moment," Mr. Voser said, while declining to address a reporter's question about Mozambique.
Meantime, "we have also further blocks further north in Somalia. So we are pursuing our organic exploration strategy," the CEO also said.
Shell, along with fellow oil majors BP PLC (BP, BP.LN) and Chevron Corp. (CVX), were granted exploration licenses for Somalia by the then-government of Major General Mohamed Siad Barre, whose regime was toppled in 1991. The companies declared force majeure and quit Somalia as the country descended into lawlessness.

Speculation has swirled since the election of a new permanent president last year as to whether big Western oil companies would be encouraged to return, bringing much needed investment. The issue has been complicated by two semi-autonomous regions in northern Somalia, Puntland and Somaliland, which have granted their own licenses to smaller, more prospective explorers, some which overlap with earlier licenses handed out to other firms.
Mr. Voser addressed broader themes in his address to the Boston College-hosted event, such as how booming natural gas supplies can help lessen greenhouse gas emissions.
 
Wajomba, mbona Marekani haendi tena? Au ndo kale ka waraka ka Hellen Kijo Bisimba et-al on human rights!
 
Hapo ni safari ya kwenda kwenye mazishi ya thatcher, akaona akiondokea gia hiyo itakuwa noma bora atafute kasafari ka kutupoteza maboya. Jamani kama ni rais wa kupenda matukio tumempata!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom