Rais wetu si ajifunze kwa wenzake??

Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
434
Rais wa Marekani aliamua kukaa na hivi vichwa kubadilishana mawazo.....hivi huyu wa Kwetu yeye hapatagi muda wa kukaa na wataalam??.....ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya.....na Maimuna anao....


Obama with Tech Giant.png

obama.jpg

The executives who attended the dinner were:

 • Carol Bartz, President and CEO of Yahoo!
 • John Chambers, CEO and Chairman of Cisco Systems
 • Dick Costolo, CEO of Twitter
 • Larry Ellison, CEO of Oracle
 • Reed Hastings, CEO of Netflix
 • John Hennessy, President of Stanford University
 • Art Levinson, Chairman and former CEO of Genentech
 • Steve Jobs, CEO of Apple
 • Eric Schmidt, Chairman of Google
 • Steve Westly, Managing Partner and Founder of The Westly Group
 • Mark Zuckerberg, President and CEO of Facebook
 

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,389
vichwa kama hivi vipo vingi tanzania lakini vichwa vya kuviweka pamoja havipo,
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hana muda, amebanwa na shughuli za kitaifa na kimataifa.
 

Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
10,074
5,629
J k Ataongea nini mbele ya watu wenye elimu + fedha zao kama hao . Labda akae na wajumbe wa nyumba 10 na madiwani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom