Rais wetu ni huyu!

"Ni rais wangu na Wa _Tz, wote" who are u by the way 2say on behalf of wa_Tz!,mimi ni mTZ Lakin yeye sio rais wangu! U got me bul shitty?
 
"Ni rais wangu na Wa _Tz, wote" who are u by the way 2say on behalf of wa_Tz!,mimi ni mTZ Lakin yeye sio rais wangu! U got me bul shitty?

Its only and your poignancy CCM who are continuing to kill tanzanians.
 
huyu ni mtu makini sana tena sana na hataacha kuona chi ina zama kwenye maufisadi
 
LOwasa anatisha kama mvua ya mawe. Huyu anafaa ila chadema bado muda wao
 
Ni hel mala 1000 niendelee kuwapa Magamba kula za Urais kuliko huyu jamaa, hafai hata kodogo, anazo sababu nyingi za kutofaa kwake,angalau kidogo Mbowe,jembe kiboko yao,mwisho wa maneno ni mzee mwenyewe ROWASA,yeye huyo anafaaa sana Ubunge....!!
 
Hawezi kuwa raisi
i. Kwanza arudishe pesa za kanisa alizoiba.
ii. Amezeeka.
iii. Hajafunga ndoa, anazini. Hatutaki raisi mzinifu.
 
Hawezi kuwa raisi
i. Kwanza arudishe pesa za kanisa alizoiba.
ii. Amezeeka.
iii. Hajafunga ndoa, anazini. Hatutaki raisi mzinifu.
jinsi inavyoonekana kwa kua alishawahi kultumikia kanisa basi atalifeva sana.HATUMTAKIIIIII.....
 
2015 atakuwa hawezi hata kutembea kwa uzeee!

I bet you any money by 2015 Lowassa will be past his due date because of his excessive alcohol consumption while Slaa will still be as fit as a fIddle. The current goverment will also subject Lowassa to such unbearable stress that he will not have the energy to contest for the Presidency!
 
Ntakuongezea!!!!!

Nami pia, tuanzishe tume ya uchangizi. Maana wao MAGAMBA huwa wana tume ya uchunguzi kila siku, halafu wanakula fedha zetu sisi watoa kodi. Sisi tuanzishe tume ya UCHANGIZI na tusile hata kumi. Ukizingatia kauli mbiu yetu: sisi tuna Mungu, wao wana pesa.
 
Ndoto za Mchana hizo labda miaka 100 ndo mchukuwe Nchi,Mx

Mbona mpaka sasa nchi ni yetu mzee, sema tu hao wengine wanalazimisha tu, kiutawala ni yao, japo pia ni kimabavu, mabavu, lakini tukiweka kimtazamo hao wanaodai nchi ni yao wala sio, wananchi wamewachoka mbaya kabisa, nadhani hata wao wanalitambua hilo la kuchokwa.
 
Back
Top Bottom