wewe nani alikuambia kua huko anafanya kazi, hizo ni ziara katika kuburudisha ubongo kwenye mabembea na sasa anaenda CUBA, tunaaambiwa huko kapokelewa na Jimama fulani hivi inaonesha sijui ni Naibu wa WAZIRI WA MAMBO YA NNJE.Nilikua najiuliza, Rais wetu anavyotembelea nchi mbalimbali bila kupumzika si atachoka sana na kuanguka huko???
Mwacheni atembee jamani, huko kote anazurura ili kutafuta misaada ya nchi. Kama mjuavyo kampeni yake ni maisha bora kwa kila mtanzania.
Maisha bora hayatakuja iwapo rais atajibweteka.
Hii kali. siku 20 safarini, siku 10 yuko Ikulu!!! files zinamfuata pale anapokuwa.
Mwacheni atembee jamani, huko kote anazurura ili kutafuta misaada ya nchi. Kama mjuavyo kampeni yake ni maisha bora kwa kila mtanzania.
Maisha bora hayatakuja iwapo rais atajibweteka.
Nilikua najiuliza, Rais wetu anavyotembelea nchi mbalimbali bila kupumzika si atachoka sana na kuanguka huko???
Wasp!JK is running away from taking concrete action on teething problems such as action on Richmond report, Sophia Simba's saga, the scandal of selling of ammunition to rebels in the DRC, etc. The leadership vacuum in Tanzania is very clear.
Wasp!
I have a simple answer for the issue ambayo nyie mnaivalia bango.
Huyu jamaa anakwenda kurusha roho kwani mambo ya hapa nyumbani yamemshinda. Rais hawezi kutembelea visiwa vya carribean kwa muda wa siku kumi. Just do a simple standard four arithmetics!! Garama anayotumia na hao wapembe nuksi ni over a million dollar na huku anaomba Jamaica wampe msaada ambapo eneo Loliondo alilowapa wapenzi wake kutoka uarabuni ni kubwa kuliko hiyo Jamaica. This man needs to go to Mirembe Hospital akapimwe pamoja na Sophia Simba kwa sababu haiingii akilini. Hivi Bernad Membe alimpatia uwaziri afanye kazi gani kama kila kuikicha yeye ni Kiguu na njia utafikiri katoka kigurunyembe!!!!!
kila mtu ana maoni ya kusema vile anavyojifiki
kwa mie naona kama huyu mheshimiwa kapata nafasi ya kuzunguka anataka amalize dunia yote ile aweke history kwa watoto na wajukuu na si lolote
Kwa mfano huko Jamaica ni msaada gani anategemea ataupata
Nini kazi ya waziri wa mambo ya nje ??????????????????
Ndo maana anaishiwa nguvu majukwaani hapumziki