upo radhi. ata kumtoa kafara mama ako?
There is a cult of personality around Magufuli.Mbona unaleta vitu irrelevant! Stop acting like a child, being hater can change nothing
Badilika acha kuikashifu Serkali,Rais anajenga Nchi kwa kizazi cha leo na kijacho
We Endelea kubweka mtandaoni bila mpangilio
Umeanza vizuri umemaliza fyongo kwamba wapinzani ndio wameanza kufurahia?Wewe ni kama nabii uliyeshushwa kwa Nchi ya Tanzania Baada ya Nyerere kuja kuikomboa Tanzania kiuchumi
Nimekuwa nikifatilia unahutubia kati ya saa moja hadi saa moja na nusu kwenye ziara zako za kukagua maendeleo
Ila kwa uzoefu wangu viongozi wengi kwa sasa wanatumia dkk 30 hadi arobani tu kwenye hotuba hili ni swala la kiafya zaidi Rais wetu ,kusimama saa moja na nusu kwa mtu mzima aliyevuka miaka hamsini sio nzuri kiafya.
Najua unawapenda sana Watanzania Lakini naomba upunguze muda wa kuhutubia mawaziri wakusaidie kusema
Kupitia uzushi wa mitandaoni kuna kikundi cha watu walishagonga glas ya mvinyo kujipongeza kuwa Mwamba umeanguka wanaichukua Nchi
Walishaanza kupanga na safu mpya ya uongozi wao,unaweza kuona jinsi ambavyo hawa Wahaini walivyo
Taarifa ile ilizua taharuki sana, Watanzania tulikuombea sana ibada ya jumamosi kina Mama walijifungia kanisani wakimlilia Mungu akuepushe na kila ovu, naamini Mungu aliwasikia na tilifurahi kwa pamoja tulipokuona
Rafiki wangu wengi walizima simu siku tatu kwa jinsi walivopaniki kupitia uzushi uliokuwa ukienea leo ndio wamewasha simu zao baada ya kukuona kwa Tv, unaweza kuona ni kiasi gani inavyopendwa na Watanzania mzee wetu
Kila binadamu ataonja mauti,kwa mapenzi ya Mungu ila sio ya binadamu
Hivyo tunakuomba pata muda mzuri wa kupumzika,Kwasababu tunajua wewe ni mlevi wa kufanya kazi,
Kuna wapinzani walionyesha kufurahia sana hizi taarfa za uzush,wale waliofurahia wajiandae tu kwa kuwa wameanza wao
Tunakuhitaji sana mzee wetu Magufuli tunakuombea maisha marefu na yenye afya katika kuikomboa Tanzania
Maskini Mshana tunguli zimebuma jana,kwa kweli credibility yake km mchawi mkuu imetoka
Kama huelewi uliza. Usikimbilie kulazimisha vitu usivyoelewa wewe kwamba ni irrelevant.
Magufuli is a country bumpkin.Nimuulize nani? Wewe? Poor young man hiding in his electronic device ndio nikuulize wewe?
What can I learn from you? Wewe ni mropokaji kama wengine tu you have nothing zaidi ya kujikakamua mtandaoni
Every day singing Magufuli hivi hivi...ati Magufuli sio smart unataka akutunzie familia yako ndio awe smart
Ati Magufuli anashusha hadhi ya Urais? Ulishawahi kugombea hata mjumbe wa mtaa ukaonyesha uwezo?
Watanzania majasiri sana nyuma ya keyboard ila ukikutana nalo Hakuna la maana anaongea
Usilazimishe huyo mshamba mwenzako kila mtu amsifie.
Kama wewe unapenda ujinga usilazimishe kila mtu awe mpenda ujinga wewe.
Mimi si rais wa Tanzania.Call me mshamba and whole insanity as you wish but nothing can change me and v/v
Napenda ujinga? And then who is keeping shit among me and you ?
You may come with new version not always Magufuli is a bla bla bla na uropokaji mwingi nyani haoni hata kindule look at your inscription,writing bla bla matusi Mengi then still barking Magufuli this,Magufuli that
Jitizame wewe unataka Magufuli atoe speech km alizokuwa akitoa Nyerere? Remember we are not the same born and raised in difference culture
Sasa wewe unajifanya smartest man, unasubiri Rais akosee anapoongea ndio upate cha kuja kuchamba mtandaoni, this only show how weak you are!
At nijifunze kwako? Wewe? Over my dead body wewe ni mropokaji kama wengine ,if I want to learn It is better for me to learn for brianic people and you are not among them
Stop using harsh words as your disarmed
Focus on what you believe and let me follow my way
So uandike kiswahili tu.going where?factory constuction?sgr? or firing 37 bullets on mhe tundu lissu, dispearing of azory, ben saa nane??? which is which my dada???????
Tumeariwa kuzitii mamlaka kwani mlaka zote zinatoka kwa Mungu.Waliofurahia ni mafisadi na madawa ya kulevya
Huwezi ukafurahia kifo cha Mkuu wa Nchi
Watanzania tukakuacha tusikuonye Magufuli Ni mpango wa Mungu kuwa Rais wa Tanzania yeyote atakayeleta hila ni km anawachokoza Watanzania
Wengine walikuwa wametayarisha champagne mimi nimeona hii itakuwa kama Margaret Thatcher alipo fariki watu walifungua champagne mitaani na kusema witch ameondokaHizo tabia zenu za kufurahia mateso na madhila mbalimbali za kubomolewa kuuwawa watu,kupotezwa kubambikiwa kesi nk zinazofanywa na utawala huu ndio sababu watu wengi walifurahia hata wanaccm
Hana uchawi wowote yule!Maskini Mshana tunguli zimebuma jana,kwa kweli credibility yake km mchawi mkuu imetoka
Pamoja na wale waliyovunjiwa nyumba zao, ndugu wa Azory Gwanda, Ben Saanane hao lazima wangegonga mvinyo na ni haki yao kufurahia na wewe ni haki yako kuhuzunika kwani hilo posti ulilopewa ndiyo ukaona linaondokaWaliofurahia ni mafisadi na madawa ya kulevya
Huwezi ukafurahia kifo cha Mkuu wa Nchi
Watanzania tukakuacha tusikuonye Magufuli Ni mpango wa Mungu kuwa Rais wa Tanzania yeyote atakayeleta hila ni km anawachokoza Watanzania
Maji salama wanapata Kongwa na MteraHivi jamani wananchi wa kigoma mnapata maji safi na salama angalau kwa kiwango knachoridhisha,vipi huduma za afya,umeme n.k sababu naona mbunge wenu yuko buzy kuomba mkuuwa nchi atangulie mbele ya haki sijui yeye na chama chake watafaidika nini hasa
hii ndiyo ilifaa itumike badala ya wimbo wa TaifaNilifikiri kichwa cha thread kitaendelea
"Baba yetu Magufuli.
Jina lako litukuzwe.
Ufalme wako usifike kikomo milele.
Utakalo lifanyike hata kwa kuvunja katiba.
Tanzania pote kama Ikulu.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku bila kututumbua wala kulimia meno.
Utusamehe makosa yetu kama Nape na January.
Kama nasi tunavyowasamehe Lowassa na wengine waliotukosea.
Usitutie vishawishini kwa kukataza nyongeza za mishahara.
Lakini utuopoe maovuni kwenye makucha ya CHADEMA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi."
Sema baba yako, wengine baba zetu washafariki,sema mm mtanzania sio sisi wtzWewe ni kama nabii uliyeshushwa kwa Nchi ya Tanzania Baada ya Nyerere kuja kuikomboa Tanzania kiuchumi