Rais wetu Magufuli, Watanzania tunakuhitaji sana zingatia afya yako

Waliofurahia ni mafisadi na madawa ya kulevya
Huwezi ukafurahia kifo cha Mkuu wa Nchi

Watanzania tukakuacha tusikuonye Magufuli Ni mpango wa Mungu kuwa Rais wa Tanzania yeyote atakayeleta hila ni km anawachokoza Watanzania
Unajitahidi kujibu sijui wanakulipa ? Lkn anyway hata kifa leo au kesho hatuwezi epuka kifo wala ww huwezi muepushia kifo na kingine huyu sio nabiii na msela tu km akina Nebukadreza, farao, herode na akina pilato maana nao waliongoza watu
 
Kama wapinzani ndio hawa kina Zitto sijui nani,bora wafutike tu
Kiongozi mkubwa wa kisiasa unafurahia Rais kupatwa na matatizo?
Wewe hujui katiba inatambua dharura za magonjwa na vifo ?!. Na bado yupo makamu aliyepigiwa kura pamoja na Rais . Hivyo nchi haiwezi kuyumba kwa sababu ya dharura yoyote
 
Ndio mnamuombea Rais afikwe na mauti ili katiba ifanye kazi?

Mmetangaza ubaya mnastahili mlipwe ubaya

Hivi jamani wananchi wa kigoma mnapata maji safi na salama angalau kwa kiwango knachoridhisha,vipi huduma za afya,umeme n.k sababu naona mbunge wenu yuko buzy kuomba mkuuwa nchi atangulie mbele ya haki sijui yeye na chama chake watafaidika nini hasa
 
Anaombea Rais afe Kwasababu alinyimwa Sehemu ya kula,ubakumbuka alivyokuwa mwenyekiti wa pac bungeni alivyokuwa anafuja mali ya umma
Magufuli amemtoa anakosa pesa
Hivi jamani wananchi wa kigoma mnapata maji safi na salama angalau kwa kiwango knachoridhisha,vipi huduma za afya,umeme n.k sababu naona mbunge wenu yuko buzy kuomba mkuuwa nchi atangulie mbele ya haki sijui yeye na chama chake watafaidika nini hasa
 
Ndio mnamuombea Rais afikwe na mauti ili katiba ifanye kazi?

Mmetangaza ubaya mnastahili mlipwe ubaya
Kifo ni lazima kwa binaadamu yeyote . Kuishi ni rehema kaka !!. Bila shaka Rais ana hekima na ameona hisia za wananchi wake . Afanye matengenezo panapo leta chuki kwa wananchi
 
Wakati mwingine tusimsingizie Mungu. Kama kweli Kiongozi alikuwa anaumwa basi ni vema kutilia maanani kuepuka visababishi ili isitokee tena. Taifa linamhitaji sana kulivusha kipindi hiki wakati tunatafuta kasi ya kupaa .
 
Nilifikiri kichwa cha thread kitaendelea

"Baba yetu Magufuli.
Jina lako litukuzwe.
Ufalme wako usifike kikomo milele.
Utakalo lifanyike hata kwa kuvunja katiba.
Tanzania pote kama Ikulu.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku bila kututumbua wala kulimia meno.
Utusamehe makosa yetu kama Nape na January.
Kama nasi tunavyowasamehe Lowassa na wengine waliotukosea.
Usitutie vishawishini kwa kukataza nyongeza za mishahara.
Lakini utuopoe maovuni kwenye makucha ya CHADEMA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi."
 
Wewe ni kama nabii uliyeshushwa kwa Nchi ya Tanzania Baada ya Nyerere kuja kuikomboa Tanzania kiuchumi

Nimekuwa nikifatilia unahutubia kati ya saa moja hadi saa moja na nusu kwenye ziara zako za kukagua maendeleo

Ila kwa uzoefu wangu viongozi wengi kwa sasa wanatumia dkk 30 hadi arobani tu kwenye hotuba hili ni swala la kiafya zaidi Rais wetu ,kusimama saa moja na nusu kwa mtu mzima aliyevuka miaka hamsini sio nzuri kiafya.

Najua unawapenda sana Watanzania Lakini naomba upunguze muda wa kuhutubia mawaziri wakusaidie kusema

Kupitia uzushi wa mitandaoni kuna kikundi cha watu walishagonga glas ya mvinyo kujipongeza kuwa Mwamba umeanguka wanaichukua Nchi

Walishaanza kupanga na safu mpya ya uongozi wao,unaweza kuona jinsi ambavyo hawa Wahaini walivyo

Taarifa ile ilizua taharuki sana, Watanzania tulikuombea sana ibada ya jumamosi kina Mama walijifungia kanisani wakimlilia Mungu akuepushe na kila ovu, naamini Mungu aliwasikia na tilifurahi kwa pamoja tulipokuona

Rafiki wangu wengi walizima simu siku tatu kwa jinsi walivopaniki kupitia uzushi uliokuwa ukienea leo ndio wamewasha simu zao baada ya kukuona kwa Tv, unaweza kuona ni kiasi gani inavyopendwa na Watanzania mzee wetu

Kila binadamu ataonja mauti,kwa mapenzi ya Mungu ila sio ya binadamu

Hivyo tunakuomba pata muda mzuri wa kupumzika,Kwasababu tunajua wewe ni mlevi wa kufanya kazi,

Kuna wapinzani walionyesha kufurahia sana hizi taarfa za uzush,wale waliofurahia wajiandae tu kwa kuwa wameanza wao

Tunakuhitaji sana mzee wetu Magufuli tunakuombea maisha marefu na yenye afya katika kuikomboa Tanzania
Amina
 
Nilifikiri kichwa cha thread kitaendelea

Mbona unaleta vitu irrelevant! Stop acting like a child, being hater can change nothing

Badilika acha kuikashifu Serkali,Rais anajenga Nchi kwa kizazi cha leo na kijacho
We Endelea kubweka mtandaoni bila mpangilio
 
Iwapo ataendelea kuweka pamba masikioni kwake, akae akijua SIKU YA KIFO CHAKE kuna baadhi ya watanzania watakesha wakila "bia" na nyama choma. Mwambieni Mungu FUNDI.
Shauri zao. Tone la damu moja kwenye bahari ni ujinga mtupu. Wengi wetu tutalia na kumuimbea kama tunavyofanya sasa. Mafisadi poleni sana! Madeal ni 2025!Hamuelewi, na actually mpaka huko atapatikana Magufili mwingine sisis tunataka Tanzania Mpya. Baasi! Hebu sema asipoendelea kusikiliza nini cha mno mbona hukiweki bayana?
 
Kifo ni lazima ila hakipangwi na binadamu wenye roho za ibilisi km nyie

Kifo ni lazima kwa binaadamu yeyote . Kuishi ni rehema kaka !!. Bila shaka Rais ana hekima na ameona hisia za wananchi wake . Afanye matengenezo panapo leta chuki kwa wananchi
 
Wewe ni kama nabii uliyeshushwa kwa Nchi ya Tanzania Baada ya Nyerere kuja kuikomboa Tanzania kiuchumi

Nimekuwa nikifatilia unahutubia kati ya saa moja hadi saa moja na nusu kwenye ziara zako za kukagua maendeleo

Ila kwa uzoefu wangu viongozi wengi kwa sasa wanatumia dkk 30 hadi arobani tu kwenye hotuba hili ni swala la kiafya zaidi Rais wetu ,kusimama saa moja na nusu kwa mtu mzima aliyevuka miaka hamsini sio nzuri kiafya.

Najua unawapenda sana Watanzania Lakini naomba upunguze muda wa kuhutubia mawaziri wakusaidie kusema

Kupitia uzushi wa mitandaoni kuna kikundi cha watu walishagonga glas ya mvinyo kujipongeza kuwa Mwamba umeanguka wanaichukua Nchi

Walishaanza kupanga na safu mpya ya uongozi wao,unaweza kuona jinsi ambavyo hawa Wahaini walivyo

Taarifa ile ilizua taharuki sana, Watanzania tulikuombea sana ibada ya jumamosi kina Mama walijifungia kanisani wakimlilia Mungu akuepushe na kila ovu, naamini Mungu aliwasikia na tilifurahi kwa pamoja tulipokuona

Rafiki wangu wengi walizima simu siku tatu kwa jinsi walivopaniki kupitia uzushi uliokuwa ukienea leo ndio wamewasha simu zao baada ya kukuona kwa Tv, unaweza kuona ni kiasi gani inavyopendwa na Watanzania mzee wetu

Kila binadamu ataonja mauti,kwa mapenzi ya Mungu ila sio ya binadamu

Hivyo tunakuomba pata muda mzuri wa kupumzika,Kwasababu tunajua wewe ni mlevi wa kufanya kazi,

Kuna wapinzani walionyesha kufurahia sana hizi taarfa za uzush,wale waliofurahia wajiandae tu kwa kuwa wameanza wao

Tunakuhitaji sana mzee wetu Magufuli tunakuombea maisha marefu na yenye afya katika kuikomboa Tanzania
upo radhi. ata kumtoa kafara mama ako?
 
Back
Top Bottom