Rais wetu Magufuli, Watanzania tunakuhitaji sana zingatia afya yako

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
55,377
2,000
Mbona unaleta vitu irrelevant! Stop acting like a child, being hater can change nothing

Badilika acha kuikashifu Serkali,Rais anajenga Nchi kwa kizazi cha leo na kijacho
We Endelea kubweka mtandaoni bila mpangilio
There is a cult of personality around Magufuli.

I am satirizing that cult.

That is not irrelevant.

If you do not understand how is that relevant, ask.

Hata Nyerere kuna kipindi alikuwa anasaini kitu, akaanza kuandika Julius, muandishi mmoja ambaye alikuwa kati ya watu wachache walioweza kumtania akamwambia "nilifikiri utasaini Julius Kaizari" akimkebehi Nyerere kuwa ni strongman kama Julius Kaizari.

Kama huelewi uliza. Usikimbilie kulazimisha vitu usivyoelewa wewe kwamba ni irrelevant.
 
Msolopagazi

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
664
250
Wewe ni kama nabii uliyeshushwa kwa Nchi ya Tanzania Baada ya Nyerere kuja kuikomboa Tanzania kiuchumi

Nimekuwa nikifatilia unahutubia kati ya saa moja hadi saa moja na nusu kwenye ziara zako za kukagua maendeleo

Ila kwa uzoefu wangu viongozi wengi kwa sasa wanatumia dkk 30 hadi arobani tu kwenye hotuba hili ni swala la kiafya zaidi Rais wetu ,kusimama saa moja na nusu kwa mtu mzima aliyevuka miaka hamsini sio nzuri kiafya.

Najua unawapenda sana Watanzania Lakini naomba upunguze muda wa kuhutubia mawaziri wakusaidie kusema

Kupitia uzushi wa mitandaoni kuna kikundi cha watu walishagonga glas ya mvinyo kujipongeza kuwa Mwamba umeanguka wanaichukua Nchi

Walishaanza kupanga na safu mpya ya uongozi wao,unaweza kuona jinsi ambavyo hawa Wahaini walivyo

Taarifa ile ilizua taharuki sana, Watanzania tulikuombea sana ibada ya jumamosi kina Mama walijifungia kanisani wakimlilia Mungu akuepushe na kila ovu, naamini Mungu aliwasikia na tilifurahi kwa pamoja tulipokuona

Rafiki wangu wengi walizima simu siku tatu kwa jinsi walivopaniki kupitia uzushi uliokuwa ukienea leo ndio wamewasha simu zao baada ya kukuona kwa Tv, unaweza kuona ni kiasi gani inavyopendwa na Watanzania mzee wetu

Kila binadamu ataonja mauti,kwa mapenzi ya Mungu ila sio ya binadamu

Hivyo tunakuomba pata muda mzuri wa kupumzika,Kwasababu tunajua wewe ni mlevi wa kufanya kazi,

Kuna wapinzani walionyesha kufurahia sana hizi taarfa za uzush,wale waliofurahia wajiandae tu kwa kuwa wameanza wao

Tunakuhitaji sana mzee wetu Magufuli tunakuombea maisha marefu na yenye afya katika kuikomboa Tanzania
Umeanza vizuri umemaliza fyongo kwamba wapinzani ndio wameanza kufurahia?
 
Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,694
2,000
Watanzania ni wajinga Kwasababu sio watu wa kufanya reasoning

Humu Jf kuna watu hujivika kujua vitu fulani kumbe kichwani ni sifuri hana ajualo

Mtu kama huyo Ukisoma kichwa cha habari tu unaskip hata kusoma content Kwasababu unajua huwezi kupata kitu ila kwa kuwa vijana Wengi mitandaoni hawana reasoning wanaishia kulishwa matango pori tu
Maskini Mshana tunguli zimebuma jana,kwa kweli credibility yake km mchawi mkuu imetoka
 
Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,694
2,000
Kama huelewi uliza. Usikimbilie kulazimisha vitu usivyoelewa wewe kwamba ni irrelevant.

Nimuulize nani? Wewe? Poor young man hiding in his electronic device ndio nikuulize wewe?

What can I learn from you? Wewe ni mropokaji kama wengine tu you have nothing zaidi ya kujikakamua mtandaoni

Every day singing Magufuli hivi hivi...ati Magufuli sio smart unataka akutunzie familia yako ndio awe smart

Ati Magufuli anashusha hadhi ya Urais? Ulishawahi kugombea hata mjumbe wa mtaa ukaonyesha uwezo?

Watanzania majasiri sana nyuma ya keyboard ila ukikutana nalo Hakuna la maana anaongea
 
Magufuli is a country bumpkin.

You are probably one yourself that is why you are riding his dilsnick.

Kaangusha mapato ya exports za mazao ya kilimo kwa asilimia 55 katika mwaka mmoja tu, kwa kuharibu biashara ya korosho. Zao linaloongoza kutuingizia fedha za kigeni.

Exports za mazao ya kilimo zimepungua kwa 55% ndani ya mwaka mmoja. Si 10%, si 20%, si 30% si 40%, si 50%.

55%. Na hizo ni ripoti za BOT tu, hali inaweza kuwa mbaya zaidi.

Soma ripoti ya Bank of Tanzania ya September utaona hilo.

Usilazimishe huyo mshamba mwenzako kila mtu amsifie.

Kama wewe unapenda ujinga usilazimishe kila mtu awe mpenda ujinga wewe.
 
Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,694
2,000
Usilazimishe huyo mshamba mwenzako kila mtu amsifie.

Kama wewe unapenda ujinga usilazimishe kila mtu awe mpenda ujinga wewe.

Call me mshamba and whole insanity as you wish but nothing can change me and v/v

Napenda ujinga? And then who is keeping shit among me and you ?

You may come with new version not always Magufuli is a bla bla bla na uropokaji mwingi nyani haoni hata kindule look at your inscription,writing bla bla matusi Mengi then still barking Magufuli this,Magufuli that
Jitizame wewe unataka Magufuli atoe speech km alizokuwa akitoa Nyerere? Remember we are not the same born and raised in difference culture

Sasa wewe unajifanya smartest man, unasubiri Rais akosee anapoongea ndio upate cha kuja kuchamba mtandaoni, this only show how weak you are!

At nijifunze kwako? Wewe? Over my dead body wewe ni mropokaji kama wengine ,if I want to learn It is better for me to learn for brianic people and you are not among them

Stop using harsh words as your disarmed

Focus on what you believe and let me follow my way
 
Mimi si rais wa Tanzania.

Sasa unataka kumfananisha rais wa Tanzania na mimi?

Wewe mwehu wa jumla au rejareja?
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,450
2,000
Leo asubuhi nimepita ubungo kutokea Tazara..nikaona ile ujenzi wa interchange uko half way moyowangu ukayayuka..nilijiuliza mambo mengi sana iwapo ni kweli, atakayekuja atasukuma mambo kwa kasi hii? Au tutaona mgando wa ujenzi na kushuhudia nondo za nguzo zikiota kutu na nyingine kuibiwa na watu wa chuma chakavu?
 
naina19

JF-Expert Member
Oct 8, 2019
293
500
Waliofurahia ni mafisadi na madawa ya kulevya
Huwezi ukafurahia kifo cha Mkuu wa Nchi

Watanzania tukakuacha tusikuonye Magufuli Ni mpango wa Mungu kuwa Rais wa Tanzania yeyote atakayeleta hila ni km anawachokoza Watanzania
Tumeariwa kuzitii mamlaka kwani mlaka zote zinatoka kwa Mungu.
Nasikitika kuona wanadamu tumekataa hilo na isitoshe tumeamua kumuua rais kwa mawazo na maneno. Mungu akatupe hekima watanzania
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,334
2,000
Hizo tabia zenu za kufurahia mateso na madhila mbalimbali za kubomolewa kuuwawa watu,kupotezwa kubambikiwa kesi nk zinazofanywa na utawala huu ndio sababu watu wengi walifurahia hata wanaccm
Wengine walikuwa wametayarisha champagne mimi nimeona hii itakuwa kama Margaret Thatcher alipo fariki watu walifungua champagne mitaani na kusema witch ameondoka
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,334
2,000
Waliofurahia ni mafisadi na madawa ya kulevya
Huwezi ukafurahia kifo cha Mkuu wa Nchi

Watanzania tukakuacha tusikuonye Magufuli Ni mpango wa Mungu kuwa Rais wa Tanzania yeyote atakayeleta hila ni km anawachokoza Watanzania
Pamoja na wale waliyovunjiwa nyumba zao, ndugu wa Azory Gwanda, Ben Saanane hao lazima wangegonga mvinyo na ni haki yao kufurahia na wewe ni haki yako kuhuzunika kwani hilo posti ulilopewa ndiyo ukaona linaondoka
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,334
2,000
Hivi jamani wananchi wa kigoma mnapata maji safi na salama angalau kwa kiwango knachoridhisha,vipi huduma za afya,umeme n.k sababu naona mbunge wenu yuko buzy kuomba mkuuwa nchi atangulie mbele ya haki sijui yeye na chama chake watafaidika nini hasa
Maji salama wanapata Kongwa na Mtera
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,334
2,000
Nilifikiri kichwa cha thread kitaendelea

"Baba yetu Magufuli.
Jina lako litukuzwe.
Ufalme wako usifike kikomo milele.
Utakalo lifanyike hata kwa kuvunja katiba.
Tanzania pote kama Ikulu.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku bila kututumbua wala kulimia meno.
Utusamehe makosa yetu kama Nape na January.
Kama nasi tunavyowasamehe Lowassa na wengine waliotukosea.
Usitutie vishawishini kwa kukataza nyongeza za mishahara.
Lakini utuopoe maovuni kwenye makucha ya CHADEMA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi."
hii ndiyo ilifaa itumike badala ya wimbo wa Taifa
 
pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
631
500
Wewe ni kama nabii uliyeshushwa kwa Nchi ya Tanzania Baada ya Nyerere kuja kuikomboa Tanzania kiuchumi

Nimekuwa nikifatilia unahutubia kati ya saa moja hadi saa moja na nusu kwenye ziara zako za kukagua maendeleo

Ila kwa uzoefu wangu viongozi wengi kwa sasa wanatumia dkk 30 hadi arobani tu kwenye hotuba hili ni swala la kiafya zaidi Rais wetu ,kusimama saa moja na nusu kwa mtu mzima aliyevuka miaka hamsini sio nzuri kiafya.

Najua unawapenda sana Watanzania Lakini naomba upunguze muda wa kuhutubia mawaziri wakusaidie kusema

Kupitia uzushi wa mitandaoni kuna kikundi cha watu walishagonga glas ya mvinyo kujipongeza kuwa Mwamba umeanguka wanaichukua Nchi

Walishaanza kupanga na safu mpya ya uongozi wao,unaweza kuona jinsi ambavyo hawa Wahaini walivyo

Taarifa ile ilizua taharuki sana, Watanzania tulikuombea sana ibada ya jumamosi kina Mama walijifungia kanisani wakimlilia Mungu akuepushe na kila ovu, naamini Mungu aliwasikia na tilifurahi kwa pamoja tulipokuona

Rafiki wangu wengi walizima simu siku tatu kwa jinsi walivopaniki kupitia uzushi uliokuwa ukienea leo ndio wamewasha simu zao baada ya kukuona kwa Tv, unaweza kuona ni kiasi gani inavyopendwa na Watanzania mzee wetu

Kila binadamu ataonja mauti,kwa mapenzi ya Mungu ila sio ya binadamu

Hivyo tunakuomba pata muda mzuri wa kupumzika,Kwasababu tunajua wewe ni mlevi wa kufanya kazi,

Kuna wapinzani walionyesha kufurahia sana hizi taarfa za uzush,wale waliofurahia wajiandae tu kwa kuwa wameanza wao

Tunakuhitaji sana mzee wetu Magufuli tunakuombea maisha marefu na yenye afya katika kuikomboa Tanzania
Sema baba yako, wengine baba zetu washafariki,sema mm mtanzania sio sisi wtz
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom