CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Rais wetu madudu cum majipu mbona bado mengi na kasi yako imepungua kama sio kufa. Bado kabisa, nenda wizara ya ardhi naona huko kumeshindikana maana Mh. Lukuvi anawaonea aibu maafisa ardhi wa mikoa na wilaya waliosababisha matatizo yote hayo. Bado wapo kazini wanatesa! Na waapa kuwa ardhi wamuachie Mungu!