Naona hapa JK anatafuta kura mwaka 2010 kwa kila njia. Hapa wanaoombwa kura ni wapenzi wa timu husika na labda wa mpira wa miguu au michezo kwa ujumla wakeKwanza kabisa napenda kutoa anaglizo... ikiwa unaona nimekurupuka pasipo kufikiri kuandika hii article basi niwie radhi au pengine ni uelewa wangu mdogo wa jinsi mnavyoendesha hii serikali yenu
Kama kawaida tumeona jinsi viongozi wetu walivyo na mawazo finyu au sijui ni kupenda kutanguliza hisia zao au basi kuonekana kwa hao wanaowatukuza. kwa kumfanya rais wetu kituko... Kama kuna vitu vilivyonikera katika wiki hii basi ni lile la "RAIS" wetu kwenda kwenye halfa then akapewa jezi ya ronaldo wa madrid.. ikidaiwa kuwa madrid wametoa kwa kutambua mchango wake michezoni... khaaaa! YAAANI jesus inaonekana dhahiri kuwa achilia mbali huyo perez hata ronaldo au huyo ronaldo bali hata mtu wa habari na mawasiliano wa madrid hana habari hizo... yaani meya wa jiji letu akampe rais wake jezi ya mchezaji wa timu( tena club tu na sio timu ya taifa) ya nje ambayo haina na haijawahi kuwa na nasaba au ushirikiano wa aina yoyote na tanzania katika nyanja yoyote ile... ampe kama zawadi kwa kutambua mchango wako michezoni... yeye kimbisa ni nani hadi hicho ki halfa kifanyike kiaina na yeye apewe jezi ampe rais wake yaani yeye ndio mwakilishi wa madrid... huku ni kudharauliana kupita kiasi... hivi ni mchango gani wa michezo aliofanya kikwete kiasi cha kuwagusa hao madrid kutoa hiyo jezi..haya ni matokeo ya rais kujifanya BABU wa kila mtu... yeyote anayeamua kuji show off anaanda kisherehe anamwita rais anakuja kumpa chochote akidai anathamini mchango wake.... tusijeshangaa wa man u na arsenal nao au hata mashoga wa ulaya wakija kumpa zawadi rais wetu.......
Rais aache kufanya mambo ya maaana uende akatukuze kitu cha nchi ya nje ambacho hakina msingi wowote achilia mbali kama hao watu wa madrid wana taarifa ama la..... VYOVYOTE ILIVYO KAMA HALFA HIYO INA MKONO KWELI WA MADRID HATA KAMA HUYO PEREZ ANGEKUJA MWENYEWE KUTOA BADO ITS NONSENSE.... MKAPA ALIKUWA HANA TIME NA UPUUUZI WA AINA HII
Ndio shansema sasa..........................khe!
JK mtu wa WATU bwana. Matamasha yumo, kombe la FIFA yupo, Hashim Thabeet kala naye lunch, kapiga picha na Bi Kidude, Leo kasaini muswada "live" wa pesa za matumizi ya uchaguzi, mawodini kwa wagonjwa utamkuta, misibani, mazishini hakosi,......
ni shabiki wa madrid - ameahidi kuwaleta bongo kabla ya uchaguzi---
wehu tuuzuri wa rais wetu hataki kupitwa na chochote, anyway angekuwa sio maarufu tungesema anautafuta, lakini sasa sijui nisemeje ??????????????
Safari bado ni ndefu kweli.............Mkwere kapewa nchi aiongoze. kama hupendi anayofanya au anayofanyiwa basi wewe Jeuri. nakushauri kuanzia sasa wewe sema Hewala Bwana kwa lolote linalomhusu Mkwere. Mind you ana miaka mingine mitano Magogoni pale.
Ni sawa kabisa kwa mambo mepesi mepesi kama hayo yumo kwa masuala magumu ya kitaifa kama kulinda maliasili yetu hajui afanyejeJK mtu wa WATU bwana. Matamasha yumo, kombe la FIFA yupo, Hashim Thabeet kala naye lunch, kapiga picha na Bi Kidude, Leo kasaini muswada "live" wa pesa za matumizi ya uchaguzi, mawodini kwa wagonjwa utamkuta, misibani, mazishini hakosi,......
Tha make the two of us!!Yaani hata kujadili hili naona soni...! ni aibu aibu kubwa..!