Rais wetu ana kitu moyoni, mimi nadhani yuko sawa

Rais wetu ana kitu moyoni, mimi nadhani yuko sawa

Ndugu wana jamvi,

Halii inavyo endelea kuhusu hii vita ya corona Raisi wangu ana siri kubwa moyoni mwake.

Nadhani huenda ameshatambua dunia ya leo ilivyo ndumila kuwili, Watu unawez kuwaona wako Bar wanastarehe ,kumbe kuna biashara fulani pale inaendelea.

Hii ni dunia ya ''Biological weapons''

Kumbukeni Sadamu Husein aliwashutukia wazungu baada ya kujaribu kuendeleza vinu vya Nuclear miaka ya 1980 na hatimae Israil ikailipuwa mitambo yake ,hapo Saadm alielekea Chemical weapon na hatimae Biological war fare.

Wazungu walipombaini kuwa kapiga hatua juu ya hilo waliamua kummaliza. Maana Hii ni silaha yao ya 21 centuary badala ya kutumia silaha za moto na Nuke.
Sasa Mheshimiwa wetu ni mkemia na ndio maana kawaita wazee wa Vyombo vya usalama kubaini Wimbo wa Ngoma hii inayochezwa duniani leo.

Usishangae kuwa hii ni Vita hasa lakini ya Biological weapon na si ile ya kawaida kama tulivyo zowea.Ndio Maana mzee kasema Tuko vitani.Wewe utaimba corona,lakin wenzio wako front line.

Ama kuhusu huyu Corona ,wenzetu wa Taiwana wametumia mtindo huu huu anoufuata Magufuli na wamefanikiwa vizuri sana.

.Social distance
.Barakoa
.Na kuwatenga waliobainika na ugonjwa hadi kupona kwao.
.Maisha yamendelea kama kawaida
.Na Kupulizia Dawa nchi nzima ,hasa maeneo yaliotowa wagonjwa.
.Kuzuia Wageni kuingia nchini na Kufunga viwanja vya ndege
Hebu tizma hii video chini hapa

View attachment 1444832
Ukiwa mchawi ni lzm uhisi kila mtu anakuroga.
 
Walizuia ndege mapema 2 kila mtu anavaa barakoa wakati hapa kwetu watu hawavai na mikusanyiko bado inaendelea kwenye daladala bado watu wanajaa mpaka kusimama viongozi wameanza kulaumu vipimo baada kushindwa kulinda raia sasa hivi wanatafuta mchawi ni nani kati vipimo na wazungu
 
Walizuia ndege mapema 2 kila mtu anavaa barakoa wakati hapa kwetu watu hawavai na mikusanyiko bado inaendelea kwenye daladala bado watu wanajaa mpaka kusimama viongozi wameanza kulaumu vipimo baada kushindwa kulinda raia sasa hivi wanatafuta mchawi ni nani kati vipimo na wazungu
Hatuja chelewa ,Tunaweza kuanza leo hii kufuata mashariti yaliyowekwa na wataalamu wa afya.
Mimi nadhani tukubaliane tuu kuwa Kuna hali ya kuto kuelewana kwa washika dau katiaka kusimamia hii vita.
Kumeingi mkanganyiko hapa kati ya "Traditional medicine- Mitishamba na kujifukiza'' toka kwa Raisi mwenyewe na Uhamasishaji wa Social Distance ,Barakoa na Kupima corona kwa kila walioshukiwa toka kwa watu wa afya.
Hili kidogo nalo limeturudisha Nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom