#COVID19 Kwanini Tunaogopa Chanjo ya Corona

Melchizedek

Member
Jun 24, 2021
25
28
Chanjo kama chanjo

iMarkup_20210727_192934.jpg
Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo!

Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali !

Aina ya chanjo za awali [ English ]
1
BCG vaccine ( bacillus calmatte Guarine)
2 DPT vaccine ( Dipheria pertussis Tetenus)
3 measles vaccine
4 poliomyelitis vaccine
5 tetenus vaccine
6 Hepatitis vaccine

Na madhara yake yalikua kama haya
  • maumivu sehemu ulipochoma
  • kuvimba sehemu ulipochoma
  • uwekunduu sehemu ulipochoma
-kukosa hamu ya kula
-uchovu, joto, na kichwa kuuma

Sasa tuje kwenye hii ya covid 19.. Ambayo inazua utata kwenye nafsii ya wengi

Aina za chanjo za covid 19
1Astrazeca
2 pfizer
3 moderna
4 Johnson&johnson
Etc...

Hizi ni chanjo nne maarufu! Sasa tuangalie chanjo zilizowasili hapa tanzania ambayo ni Johnson & Johnson vaccine
1627303792210.png


Kabla sija orodhesha sababu zangu, ni vizur nikasema yaliyopo moyoni kwasababu mm ni mwafrika Nimejaw na hofu na ujinga ndani mwangu na hayo wanaona wengine... Ila kwangu nipo sahihi kufanya maamuzi...

Kwanza kabisa nitoe racism hapa! Kua na ngozi nyeusi haimaanishi sisi ni watu wa hovyo! Au kwamba tunataka kuuliwa na wazungu kama inavosadikika! Lakini sisi waafrika unapoona dalali anashadadia jambo au anatilia mkazo ununue kitu fulani tunajua wazii kwamba wana masilahi moja kwa moja!

Nasema hivi kwasababu kama viongozi wa africa wanahongwa ma bilioni ya hela ili ku impose lockdowns , curfew na kukubali wananchii wake wachanjwe basi haishindikani watu hao hao kutumia waafrika wenzetu wasomi kwenye jamii na wenye kuaminika, kutukejelii na kutoa maneno ya kudhihaki kwamba sisi ni wajinga na Hakuna mtu ana mpango wa kutua! Na kama kungekua na mpango hiyo basi tungekufa kwa madawa zao, vyakula na mavazi yao ya mitumba

Niseme wazi hapa kuna kundi mbili nikilinganisha na historia ya kibibilia... Tajiri na lazaro... Tajiri mdaa huu anajiona anaweza kila ki2 na ni mwenye akili sana lakin lazaro ni mtu wa kupokea tu anachopewa! Lakin kupokea kwake sio kwamba itamfanya asitoe mamuzii binafsi kipi achukue kipi akiache!

Haya Turudi hapa kwenye Hizi chanjo! Ni mara mia nikawa wa mwisho kupata hiyo chanjo [ jab ] ni kwanini nasema hivo... Natumia akili yangu pendwa ya kiafrika

Mwaka kuanzia 1977 ,kulizuka mlipuko wa virus kama hii corona na ilikua ni small pox [ ndui ] hao hao wazungu 1880 wakaja na small pox vaccine na iliua watu zaidi ya ma milioni... Kwa maana hii ikaonekana ni mass destruction vaccine.

Wazungu hao hao walikuja na mbinu zao! Na badae kusema kwamba small pox imeisha na sio tishio! Lakini inajulikana wazi kwamba bado virus vya small pox vipo kwasababu United States wanahofia iraq wangewez kutengeneza virus itumie kama silaha.

Sasa mwaka mmoja kupita siri nzito zilifichuka, na pale ndo fununu za watu kuuliwa na kupunguzwa yaani world order ndo zikaanza kuskika... Na hii ni baada ya mataifa yenye uwezo kuanza utafiti wa kutengeneza virusi kama silaha na chanzo cha mapato

Ndo maana jacques attali mwaka 1981 kusema kwamba hapo badae watu watatafuta mbinu ya kupunguza population [ idadi] ya watu, watatengeneza vitu vya kuaminisha vinasaidia na tunavihitaji ili kuishi na kitu hicho kitakua pandemic ambayo italenga kundi la watu, uchumi, au wazee na itakua ni kirusi...
Na kasema hivi wacha ni quote " the stupid will believe in it and ask to be treated... Treatment will look as the solution : they will go to the slaughter house alone!

Hatujakaa sawa kaja Dr henry kissinger mwaka 2009 feb 25, kasema hivi.... Kutakua na kulazimishwa kwa chanjo, kubadilishwa kwa DNA za watoto wetu na kuwaongoza kama kondoo kupitia chanjo!

Sababu za kukataa kuchanjwa
1) hatuna neurologist / madaktari bingwa wa kitanzania wakutosha
2) chanjo itabadilisha mfumo wa DNA zetu
3) chanjo itasababisha ugandaji wa damu
4) serikali kujiondoa kwa lawama yeyote ile
5) kuhofia ni alama ya shetani 666
6) ujinga wangu binafsi ( hii ni kwangu 2 Melchizedek)
7) Naogopa sana sindano bora vidonge
1627303867859.png


Hazo ni sababu zangu,nimesema hivo maana hizi chanjo ni mRNA injections zina graphene oxide nano particles ambazo Askofu gwajima alizigusia

Effects of graphene oxide nano particles
1) generate thrombi in organism
2) blood coagulation
3) alteration of the immune system

Kingine hii ni personal ( kwa ujinga na mawazo yangu pendwa)

Tupo nyakati mbaya sana za kiroho! Maandiko yanakamilika! Na ni ugumu wa miyoyo yetu kuamini tupo nyakati za mwisho na hatujui hatima ya nafsi zetu.. sababu ya kusema hivo 👇

Romans 1:18-32 . ...haya matabiri yamekamilika

Jude 1:3-16....Haya yanaonekana

Revelation 13:16-17
IMG_20210727_195819.jpg


Je! Umechanja? Kama tayari tupe sababu zako za msingi...
Kama hujachanjwa tupe sababu zako pia!
iMarkup_20210727_192934.jpg

Hapo serikali imejitoa! Sasa unafikiri ukipata matatizo mtaenda kulalamika wapi?
Wapo wengi wanaojuta maamuzi yao ya kuchanjwa!
Nasema wazi kwamba binafsi naona kama ni ushetani maana kuna video zime trend sana kuonesha kwamba watu wanakua na magnetic fields mtu anachukua kiwembe, au kichuma kina nasa kwenye ngozi! Hizi ni hatari... Inafikia hatua inchi za wenzetu kuna sehemu hupati huduma ya msosi kama hauna chanjo!

Leo hii kusafiri itakua lazima uwe na chanjo binafsi kama kweli hii ni alama ile iliyo andikwa wakristo tutajikuta pabaya sana!


Umechanja?
 
Endeleeni kuogopa ila sisi haituhusu.

Pia msijipe kazi ya kupotosha watu.

Ogopa wewe na familia yako inayosha sana. Hata usipotuambia sisi hatutakulaumu bali tutakushuru.

Machozi ya mamba machoni utafikiri kweli walia.

Khaaaaaa!
 
Back
Top Bottom