Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,628
- 19,579
Inaonekana huna taarifa kamili juu ya unayoandika. Wakati wa utwala wa Nyerere, ilikuwa ni mrufuku watu binafsi kumiliki bastora. Kabila aliuwawa na banyamulege wa kinyarwanda kwa maagizo ya Kagame, hakuwa na ulinzi wake mwenyewe bali alikuwa analindwa na Kagame.Kabila aliuawa na mlinzi wake wa mwisho anayebakia nje labda aingiapo chooni tu.
Kwa punje zipi ulizonazo kuwa nazo kwamba ma V8 100, chopper 2 na marefu ya entourage sasa ndiyo fool proof ila Hichilema?
Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM
Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko
Apumzike kwa amani Mwalimu Nyerere bakora za mat*ko zilikuwa stahiki zenu.