Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

Kabila aliuawa na mlinzi wake wa mwisho anayebakia nje labda aingiapo chooni tu.

Kwa punje zipi ulizonazo kuwa nazo kwamba ma V8 100, chopper 2 na marefu ya entourage sasa ndiyo fool proof ila Hichilema?

Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Apumzike kwa amani Mwalimu Nyerere bakora za mat*ko zilikuwa stahiki zenu.
Inaonekana huna taarifa kamili juu ya unayoandika. Wakati wa utwala wa Nyerere, ilikuwa ni mrufuku watu binafsi kumiliki bastora. Kabila aliuwawa na banyamulege wa kinyarwanda kwa maagizo ya Kagame, hakuwa na ulinzi wake mwenyewe bali alikuwa analindwa na Kagame.
 
Usijidhanie kujua sana pia.

Botha aliyerithiwa na de Clarke aliuawa na mlinzi wake kama ilivyokuwa kwa Kabila.

Bila shaka maagizo hayakuwa ya Kagame.

Hadithi za vijiweni ni vyema zikabakia zinakopaswa 😁😁.
 
Mtu haweZi kuuwawa na mlinzi wake, bali anauawa na mtu aliyekuwa anajifanya mlizi wake lakini siyo kweli; ndiyo maana ya kuhitaji uimarishaji wa ulinzi wa rais kiasi kuwa impostors hawawi kwenye timu hiyo. Indira Gandhi ni mmojawapo aliyepatwa na kadhia hiyo ya kulindwa na impostors. Kuhusu Kabila fuatilia documentary hii
 
Aisee! Nimeshangazwa na hili. Msafara wa Rais wa ccm una gari zaidi ya 50! Kweli wanajua kuchoma kodi.
 
Sample size yako ndogo ndiyo maana umefikia conclusion uliyofikia. Jaribu kuongeza sample size. Angalia kilichotokea Vatican, utaona hata kama kiongozi ni kipenzi cha watu wa ndani na nje ya nchi anaweza kutokea kichaa akamletea matatizo. Ndiyo maana huwezi kupuuza ulinzi wa Rais.
Ulinzi wa Rais gari zaidi ya 50!? Upuuzi.
 
Usijidhanie kujua sana pia.

Botha aliyerithiwa na de Clarke aliuawa na mlinzi wake kama ilivyokuwa kwa Kabila.

Bila shaka maagizo hayakuwa ya Kagame.

Hadithi za vijiweni ni vyema zikabakia zinakopaswa 😁😁.
Akirudi anaweza kuja kudai kuwa aliyemuua Botha alikuwa kibaraka wa weusi.
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½

Kwetu walikwisha stage hadi kula mahindi ya kuchoma kutoka kwa wachoma mahindi wasiojulikana katika
vijiweni husika 😁😁.

Kwani hata hawajui kuwa hawapendeki? Sababu kuu ni wizi na dhuluma.

Wapendwe vipi wakati hawana mapenzi na nchi? Wangekuwa na mapenzi na nchi kwanini iwe taabu kwao kuridhia ushindani ulio wa haki kwa wote ili yeyote mwenye kufaa zaidi akawe wa msaada zaidi kwa nchi?

Vipi candidate mmoja atulazimishe kuwa bora ni yeye tu hakuna mwingine?

Hiiiiii bagosha!
 
Ulinzi wa kiongozi wa ccm ni ushamba tuu..
Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:

View attachment 1976912

Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini .

Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?

Hofu zenu hasa ni zipi basi?

Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.

View attachment 1977733

Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.

Kushinikiza, huo ni ubakaji!
 
Ila ni kweli kuwa jiwe na hata Hangaya walianza anza hivyo. Hali kadhalika PK na Kagame ilikuwa hivyo Hivyo.

"Tatizo kubwa la nchi za Afrika ni marais wanaong'ang'ania madarakani." -- Alisisitiza Museveni akiingia madarakani miaka ya 80 😁😁.

Udikteta ni kipaji.

Madikteta hawachujuwagi muda kuuvaa uhusika wao. Agenda zikageuka. Malengo yakawa wao kudumu madarakani kama vipi milele kwa matumizi ya dola.

Aibu kubwa kwa Hangaya na yule bwana.
 
Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:

View attachment 1976912

Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁.

Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?

Hofu zenu hasa ni zipi basi?

Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.

View attachment 1977733

Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.

Kushinikiza, huo ni ubakaji!
Shame on us. Gharama za ulinzi na msafara za sk moja tu unainua madarasa ya kutosha kwa ajii ya watoto kusomea. Kanchi kana kaGDP kiduchu kbs halafu ulinzi sawa na rais wa US, what for and for who? Typical nonsense.
 
Nakazia: "Typical nonsense."
 
Back
Top Bottom