GE2025 Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

1751105204296.png
Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni, Stanley Mkandawire.

"Nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekuja kutekeleza haki yangu ya kikatiba ya kupata nafasi ya kuchaguliwa na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa kugombea nafasi ya Ubunge kuwakilisha Jimbo la Kigamboni," amesema Injinia Hersi.
 
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni, Stanley Mkandawire.

“Nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekuja kutekeleza haki yangu ya kikatiba ya kupata nafasi ya kuchaguliwa na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa kugombea nafasi ya Ubunge kuwakilisha Jimbo la Kigamboni,” amesema Injinia Hersi.
Kumbe ubunge unalipa kuliko mpira duh.
 
Atakuwa anafanya kazi GSM, Yanga na ubunge Kigamboni?
 
Anahaki yakikatiba kwenye hili nashangaa baadhi ya watu wanamsema!
 
Ingekuwa busara angeachia uraisi wa Yanga hili kuweka mzani sawa.Vinginevyo siasa ya mpira ikiingia itategemea na idadi ya wajumbe mashabiki wa Yanga.
Ficha kidogo ujinga wako ...... Nkamia simba alipita, rage simba alipita... Wabunge wangapi ni Simba na walipita !?? Wabunge wangapi ni yanga na wamepita !??...
 
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni, Stanley Mkandawire.

“Nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekuja kutekeleza haki yangu ya kikatiba ya kupata nafasi ya kuchaguliwa na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa kugombea nafasi ya Ubunge kuwakilisha Jimbo la Kigamboni,” amesema Injinia Hersi.
1. Wakati wengine wanachukua form za kugombea.
2. Wengine wanaandaa maneno ya kuwananga wanaochukua form za kugombea.

Fanya ufanyavyo usiwe kwenye hilo kundi la pili, utakuwa drained your energy na hizo negativities zao.
 
Back
Top Bottom