Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,276
NASHAURI TU........DC UBUNGO AHAMISHIWE KIBITI
Huyu DC wa sasa wa Ubungo kwa 'intelijensi' aliyonayo ya kutambua kuwa mzee Sumaye, Meya wa Ubungo aliyechaguliwa na wananchi pamoja na viongozi kadhaa wa CHADEMA walikuwa na mpango wa kuandamana hadi akaamuru wawekwe ndani kwa saa 48 kwa kutumia 'intelijensia' yake.... naona anafaa kabisa kuhamishiwa wilaya ya Kibiti ili akaokoe roho za watanzania wenzetu kwa kutumia 'intelijensia' hiyo hiyo.
Rais wangu kipenzi, Rais wa wanyonge, watanzania wa hali ya chini, watanzania masikini, nakuomba umuhamishie KIBITI huyu DC Kisare Makori... atatusaidia sana