Rais wa wanyoge barua yako hii hapa

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
Rais Magufuli naamini wazi unajiita Rais wawanyoge!

Ni vizuri Sana kujiita hivyo, mtukufufu Rais tunakuomba upitia upya na utafakari maana sahihi ya neno "unyonge".

Baada yakupitia,
Tunakuomba utambue kabisa, sisi wanyonge ambao unasema ni Rais wetu hatujawahi kuuona hata uwanja wa ndege, hiyo ndege kuna wanaofikiri inafanana na ndoo ya Lita 20, yaani kiufupi hawajawahi kuiona ndege

Tunakuomba Sana utambue watu wako tunataka tujikomboe kutoka kwenye unyonge nakuwa katika Hali ya furaha na kuyafurahia maisha yetu,
Msaada na matengemeo pekee yako kwako Rais mkulima uliyekulia kwenye parizi

Najua umetumbua Sana, umehamisha wafanyakazi vya kutosha, umefukuza Sana wafanyakazi vilaza, umefuta wafanyakazi hewa, na umebana wakwepaji kulipa kodi, vilevile umekopa Sana. Tunakuomba Sasa hayo matunda za juhundi
zako tuyapate huku unyongeni maana huku Hali Ni tete Sana hakutamani, Bora hata kipindi kile cha wafanyakazi hewa, majizi, wala rushwa, wakwepa kulipa kodi, maana vitu vilikuwa Bei ya juu lakini tulihimili mikimiki kwa kuwa hela zilikuwa nyingi mtaani

Sasa vitu Bei ya juu na hela hakuna,. Sisi wanyonge tukitoka hapo kwenye unyonge tutakuwa wakina Nani????? Nakuomba utafakari Sana mtukufufu Rais.

Rais wewe ni mtoto wa mkulima, na umelima Sana najua unazielewa chagamoto za parizi, Kama kuchuga umechuga Sana hata Kama hukuchunga nafikiri unajua na uliona watu wanavyoteseka kuchuga wakati na baada ya kunyesha mvua

Sasa mtukufufu Rais tunakuomba utambue wanyonge kwa asilimia kubwa tunafanya shughuli gani? Mimi naelewa ni kilimo na kama unakubaliana na Mimi nakukumbusha zao la mhogo linakubali na nakustawi vizuri Sana maeneo mengi ya nchi na linavumilia Sana ukame, tengeneza viwanda vingi vya mazao Kama hayo na sehemu kubwa ya nchi tengeneza viwanda vya mazao kutegemea eneo husika,

Majeshi yetu yafanye kazi kubwa ya kununua mazao yetu kwa Bei nzuri nakuyapeleka nchi ambazo Zina uhaba mkubwa wa chakula

Sambaza trecta moja moja kwa kila kijijini ambayo wanyonge tutamudu Bei yakukodisha, achana na ndege sisi wanyonge hatuna hata nauli yakutumia usafiri huo, shughulika na watu wako kwanza.

Ruhusu kwa asilimia Mia moja mazao kuuzwa nchi zingine ili watu wengi na vijana wanaoishi hapo Kariakoo wapate shida yakupata chakula, wabaki wachache wenye uwezo wakumudu. Ili watu Hawa watamani na wao kurudi kijijini kwao wakalime vilevile watu waone kulima si mateso mbali ni fursa

Mimi elimu yangu ni darasa la Saba ndio maana nakosea Sana kuandika ila naomba univumilie tu.
Sasa ninakuomba tumia hao watu wako wa degree kukupa mbinu, mipango, na utaratibu wakitaalamu zaidi kukuwezesha katika Hilo.

Wafanyakazi wote wa serikali ya Rais wawanyoge wakubali kuishi maisha yakinyonge nakujibana Sana, uza magari yote ya (Bei mbaya) Bei ya juu nunua Noah na Aina za gari Kama hizo za Bei ya chini. Baada yakufanya hivyo nunua Fuso ugawe kila kijiji ili ziwasaidie wakulima kukusanya mazao yetu wenyewe nakupeleka sehemu tunayosikia Kuna soko nzuri la Bei, hii itasaidia mno watu wenye fedha nyingi kuwanyanyasa wanyonge wako kwa kutumia usafiri wao

Mawaziri na watumishi wako Kama wakina Makonda wakubali kukatwa mishahara yao asilimia 35 ili watambue kuwa kiongozi wa umma siyo kazi, Bali nikujitolea kusaidia jamii yao ambayo malipo yake atalipwa mbinguni, waamiminishe kuwa pamoja nakufanya kazi za umma wanao wajibu wakufanya kazi zingine ili nawao wale jasho lao wasiishie kula jasho la watu wengine.

Pamoja na kutumia nguvu zako nyingiiiii kwa wakulima kumbuka Kuna wanyonge wako Tena usiwasahau wafugaji japo wao si wanyongee sana! Lakini wakumbuke ili wanyonge wako ambao hawana uwezo wakushika jembe wapende ufugaji, maana ni kazi rahisi Sana kama una eneo lakutosha Mimi siyo mtaalam ila ninavojua hakuna cha kutupa kwa ng,ombe na mbuzi .

Mtukufufu Rais Sasa umeme umefika Hadi huku kijijini badala ya kutengeza Viwanda hivyo Dar es salaam au mjini, viwanda hivyo viwafate wakulima na wafanguji.

Rais wetu, wanyonge tunakuomba achana na hizo barabara za juu hapo Dar maana wanyoge wako wengi tuko huku mashambani, hela hizo zilenge kuwasaidia wakulima pamoja na kusomesha vijina wengi wa kilimo,. Achana na sherehe mbalimbali za kitaifa Kama ulivyotuahidi kwenye kampeni zako huwezi kusherekea sikuku ya Uhuru wakati ndani hauna hata kisado Cha mahindi.

Baada yakufanya hivyo Sasa futa na uondoe kabsa Kodi kwenye vifaa vyote vya ujenzi, ("Rais uliyasema haya kwenye kampeni zako ulishidwaje?"),
Na Kama inawezekana tengeneza maduka ya sarikali kila kata ili matrecta na fuso za kijiji zifate minzigo viwandani Hadi kwenye kata.
Ukifanya hivyo yaani mnyonge atabaki yule tu ambaye hafanyi kazi.

. ASANTE SANA KAMA MAOMBI YANGU UTAYAFANYIA KAZI.
 
Du Wanyonge mna kazi kweli kweli ,kama umeme umefika anzisheni hata viwanda vya KUOKA viazi,maboga na ndizi,kwa huku mjini ni kama viwanda vya mikate.
 
Hivi unamfahamu vizuri huyo Rais wa wanyonge au unamsikia redioni? Sasa kwa taarifa yako hana mpango wo wote wa kusaidia hao wanyonge. Mpango wake ni kujenga miundombinu na kununua ndege halafu awakoge na kuwaomba kura.
 
Neno wanyonge linazidi kumdhalilisha na kumshusha mtu, hiyo aliitumia kama slogan ya kisiasa na binafsi naona it makes no sense.

Unajiitaje mtu wa wanyonge?
 
Si mnashangilia matajiri wanavyoteswa na rais wa wanyonge tuone sasa matajiri na wanyonge kundi lipi linapata tabu!
 
Kama huna nauri ya ndege tafuta nauri ya mkokoteni wa ng'ombe au punda. Subiri rais wa wanyonge anakazi ya kuongeza ndege.
 
Si mnashangilia matajiri wanavyoteswa na rais wa wanyonge tuone sasa matajiri na wanyonge kundi lipi linapata tabu!
Lini amestesa matajiri. Yaani mafisadi kuchukuliwa hatua ndio kuwatesa matajiri?!?!??!?!?!?
 
Rais Magufuli naamini wazi unajiita Rais wawanyoge!

Ni vizuri Sana kujiita hivyo, mtukufufu Rais tunakuomba upitia upya na utafakari maana sahihi ya neno "unyonge".

Baada yakupitia,
Tunakuomba utambue kabisa, sisi wanyonge ambao unasema ni Rais wetu hatujawahi kuuona hata uwanja wa ndege, hiyo ndege kuna wanaofikiri inafanana na ndoo ya Lita 20, yaani kiufupi hawajawahi kuiona ndege

Tunakuomba Sana utambue watu wako tunataka tujikomboe kutoka kwenye unyonge nakuwa katika Hali ya furaha na kuyafurahia maisha yetu,
Msaada na matengemeo pekee yako kwako Rais mkulima uliyekulia kwenye parizi

Najua umetumbua Sana, umehamisha wafanyakazi vya kutosha, umefukuza Sana wafanyakazi vilaza, umefuta wafanyakazi hewa, na umebana wakwepaji kulipa kodi, vilevile umekopa Sana. Tunakuomba Sasa hayo matunda za juhundi
zako tuyapate huku unyongeni maana huku Hali Ni tete Sana hakutamani, Bora hata kipindi kile cha wafanyakazi hewa, majizi, wala rushwa, wakwepa kulipa kodi, maana vitu vilikuwa Bei ya juu lakini tulihimili mikimiki kwa kuwa hela zilikuwa nyingi mtaani

Sasa vitu Bei ya juu na hela hakuna,. Sisi wanyonge tukitoka hapo kwenye unyonge tutakuwa wakina Nani????? Nakuomba utafakari Sana mtukufufu Rais.

Rais wewe ni mtoto wa mkulima, na umelima Sana najua unazielewa chagamoto za parizi, Kama kuchuga umechuga Sana hata Kama hukuchunga nafikiri unajua na uliona watu wanavyoteseka kuchuga wakati na baada ya kunyesha mvua

Sasa mtukufufu Rais tunakuomba utambue wanyonge kwa asilimia kubwa tunafanya shughuli gani? Mimi naelewa ni kilimo na kama unakubaliana na Mimi nakukumbusha zao la mhogo linakubali na nakustawi vizuri Sana maeneo mengi ya nchi na linavumilia Sana ukame, tengeneza viwanda vingi vya mazao Kama hayo na sehemu kubwa ya nchi tengeneza viwanda vya mazao kutegemea eneo husika,

Majeshi yetu yafanye kazi kubwa ya kununua mazao yetu kwa Bei nzuri nakuyapeleka nchi ambazo Zina uhaba mkubwa wa chakula

Sambaza trecta moja moja kwa kila kijijini ambayo wanyonge tutamudu Bei yakukodisha, achana na ndege sisi wanyonge hatuna hata nauli yakutumia usafiri huo, shughulika na watu wako kwanza.

Ruhusu kwa asilimia Mia moja mazao kuuzwa nchi zingine ili watu wengi na vijana wanaoishi hapo Kariakoo wapate shida yakupata chakula, wabaki wachache wenye uwezo wakumudu. Ili watu Hawa watamani na wao kurudi kijijini kwao wakalime vilevile watu waone kulima si mateso mbali ni fursa

Mimi elimu yangu ni darasa la Saba ndio maana nakosea Sana kuandika ila naomba univumilie tu.
Sasa ninakuomba tumia hao watu wako wa degree kukupa mbinu, mipango, na utaratibu wakitaalamu zaidi kukuwezesha katika Hilo.

Wafanyakazi wote wa serikali ya Rais wawanyoge wakubali kuishi maisha yakinyonge nakujibana Sana, uza magari yote ya (Bei mbaya) Bei ya juu nunua Noah na Aina za gari Kama hizo za Bei ya chini. Baada yakufanya hivyo nunua Fuso ugawe kila kijiji ili ziwasaidie wakulima kukusanya mazao yetu wenyewe nakupeleka sehemu tunayosikia Kuna soko nzuri la Bei, hii itasaidia mno watu wenye fedha nyingi kuwanyanyasa wanyonge wako kwa kutumia usafiri wao

Mawaziri na watumishi wako Kama wakina Makonda wakubali kukatwa mishahara yao asilimia 35 ili watambue kuwa kiongozi wa umma siyo kazi, Bali nikujitolea kusaidia jamii yao ambayo malipo yake atalipwa mbinguni, waamiminishe kuwa pamoja nakufanya kazi za umma wanao wajibu wakufanya kazi zingine ili nawao wale jasho lao wasiishie kula jasho la watu wengine.

Pamoja na kutumia nguvu zako nyingiiiii kwa wakulima kumbuka Kuna wanyonge wako Tena usiwasahau wafugaji japo wao si wanyongee sana! Lakini wakumbuke ili wanyonge wako ambao hawana uwezo wakushika jembe wapende ufugaji, maana ni kazi rahisi Sana kama una eneo lakutosha Mimi siyo mtaalam ila ninavojua hakuna cha kutupa kwa ng,ombe na mbuzi .

Mtukufufu Rais Sasa umeme umefika Hadi huku kijijini badala ya kutengeza Viwanda hivyo Dar es salaam au mjini, viwanda hivyo viwafate wakulima na wafanguji.

Rais wetu, wanyonge tunakuomba achana na hizo barabara za juu hapo Dar maana wanyoge wako wengi tuko huku mashambani, hela hizo zilenge kuwasaidia wakulima pamoja na kusomesha vijina wengi wa kilimo,. Achana na sherehe mbalimbali za kitaifa Kama ulivyotuahidi kwenye kampeni zako huwezi kusherekea sikuku ya Uhuru wakati ndani hauna hata kisado Cha mahindi.

Baada yakufanya hivyo Sasa futa na uondoe kabsa Kodi kwenye vifaa vyote vya ujenzi, ("Rais uliyasema haya kwenye kampeni zako ulishidwaje?"),
Na Kama inawezekana tengeneza maduka ya sarikali kila kata ili matrecta na fuso za kijiji zifate minzigo viwandani Hadi kwenye kata.
Ukifanya hivyo yaani mnyonge atabaki yule tu ambaye hafanyi kazi.

. ASANTE SANA KAMA MAOMBI YANGU UTAYAFANYIA KAZI.
Hatupokei ushauri kutoka kwa mtu hata kama ni mnyonge kwa sasa tuko bize tunafikiria namna nzuri za kujitoa kwenye mikataba yote ya haki za binadamu (tumeanza na kutoa mahakama ya ........) ili tutengeneze utaratibu na sheria nzuri ya haki za wanyonge na mwisho tuwe na taifa safi na imara la wanyonge chini ya rais wetu wa wanyonge mh jiwe
 
Mkuu leo umefufuka, ulifia wapi?
 
Angalizo
Usiwaite wakulima wanyonge wengi wa wakulima ndiyo wanaoongoza kwa utajiri sehemu nyingi duniani na hata hapa nchini kama akina Sumry huko Sumbawanga.
Wanyonge ni ninyi peasant sijui kiswahili chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom