Rais wa wa-Tanzania milioni 5

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,194
Ndugu zangu wapenzi wa JF, huyu rais wetu kipenzi cha wa-tz milioni 5, kwa nini haendi ziara za mikoani tangu alipochaguliwa mwaka jana? Je anaogopa kuulizwa kuhusu utekelezaji wa ahadi alizokuwa anamwaga kama mwendawazimu wakati wa kampeni? Au kuna nini jamani?
 
Hawezi kwenda kwa sasa maana hana muda wakwenda kuomba kura tena anamalizia kula ili arudi Msoga kupumzika
 
mpaka achoke safari za nje ndo apitepite mitaani(mikoani) kuona jinsi anavyosujudiwa
 
Ah! wapi msanii huyo hana la kuwaeleza watanzania wamwelewe, yanaweza kujirudia yaleee yaliomkuta mbeya ya kurushiwa mawe.Na mimi nadhani hizo kumbukumbu ndizo zinazomtesa kila akitazama upepo wa kisiasa haoni kukubalika popote,sasa atatembelea mkoa gani kwanza ili iweje? hatumhitaji na simple & polite speeches zake.Bora aendelee kuuza tabasamu lake kwenye vyombo vya habari tu,mikoani atakuja kufanya nini? asiyeweza kutoa hata tamko tu kama sio hatua kwenye mambo very crucial kitaifa,watu wameuwawa huko tarime yeye kwake sio issue hiyo! ama kweli ukishangaa ya musa utaona firauni.Haya si magamba ya NYOKA,haya ni magamba ya KOBE hayavuliki!
 
Sijui kama nilieleweka vema niliposema "Rais wa wa-tz milioni 5". Maana yangu ilikuwa kwamba ni Rais aliyependwa na kuchaguliwa na wa-tz milioni 5 tu katika uchaguzi wa 2010. Kwa maneno mengine, wa-tz waliobaki milioni 35 'anawabaka' kuwatala maana hawakumpenda!!!
 
Mkiangalia shahada ya uzamivu aliyotunukiwa (kwenye attachment hapa chini) UDOM mtajua kwa nini haendi mikoani
 

Attachments

  • uzamivu wa uchakachuaji.docx
    64.1 KB · Views: 27
Sijui kama nilieleweka vema niliposema "Rais wa wa-tz milioni 5". Maana yangu ilikuwa kwamba ni Rais aliyependwa na kuchaguliwa na wa-tz milioni 5 tu katika uchaguzi wa 2010. Kwa maneno mengine, wa-tz waliobaki milioni 35 'anawabaka' kuwatala maana hawakumpenda!!!

Anakubaka wewe
 
Naamini sehemu km mbeya ndo hana hamu kabisa kwani anajua atapopolewa mawe km kawa isipokuwa ataenda kule ambako watu wanampigia makofi kinafiki...................
Nyie mnadhani kikwete mwaka huu atahangaika kuwahudumia watz?....thubutu.....km alipewa imani kubwa na watu kwa kuwapa ahadi ambayo mungu tu ndiye anaweza kuiahidi ya "maisha bora kwa kila fisadi"...we unadhani mhura huu wa mwisho si itakuwa noma!!!!!!1.....kazi yake mhura huu ni kumjenga mwanaye kwa mabilioni anayoshukiwa nayo na mafisadi wake....

nchi inaliwa mchana kweupeeeee nasi twakodoa mimacho kodo!
 
Back
Top Bottom