Rais wa ukweli, kipenzi cha watu wenye akili timamu


 
Kwa kiwango hicho cha kufikiri hakika watanzania bado tuna safari ndefu sana kufikia kwenye ukombozi wa kweli. Hivi watu wenye akili timamu wanawezaje kumchagua rais msanii kama kikwete?? Mtoa mada alipaswa kujiuliza kwa nini wapinzani wakubwa wa uongozi wa kikwete ni watu wenye upevu mkubwa wa ufahamu; wasomi na wanataaluma, wachambuzi wa mambo, n.k. Ndiyo maana hata vyuo vikuu vimecheleweshwa makususdi kufungua ili kuwanyima wanafunzi fursa ya kupiga kura kwani chama cha mafisafi kinafahamu msimamo wao.

ccm ina-survive kwa kura za wananchi mambumbumbu; wasiojua kuwa umaskini wao wa kutupwa umesababishwa na usanii wa kikwete na chama chake cha mafisadi.
 
Kwani hiyo ni nafasi ya uzoefu au nafasi ya uongozi?
Kama ya uzoefu hata kikwete pia ha-qualify maana ana miaka 5 tu. In fact, sidhani kama kati ya wagombea kuna anaye-qualify ikiwa hiyo ni nafasi ya uzoefu. Kingunge, Makani et al ndio wangegombea. Acha kutema tema pumba ndugu yangu. Au ku-boost idadi ya posts zako?
 

Looo !! Tanzania kumbe tunao watu wa ajabu kiasi hiki
 
Kwa ufupi mimi nataka hiyo sheria ya matumizi ya gharama za uchaguzi ibadilihshwe, maana mnachukua hadi pesa ya serikali kuwavalisha watu kofia, tshirt na mitaka taka kibao. Inabidi tupige marafuku kugawa hayo madudu kwenye kampeni ili tuone sasa kama watakuja watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…