Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,454
- 36,696
- Thread starter
- #41
Ha ha ha hata aliye Milembe hospital hawezi kucomment hiviWe huoni alikuwa anaongea na mtu hapo?
Arafu hujui bado tuna janga la covid!
Ha ha ha hata aliye Milembe hospital hawezi kucomment hiviWe huoni alikuwa anaongea na mtu hapo?
Arafu hujui bado tuna janga la covid!
Mimi nilichoona ni kwamba wakati Minziro anapita hapo, Karia alikuwa anaongea na mtu nyumaAlichokifanya Karia ni UPUMBA,UJINGA,UMAVI na UPUUZI. Mungu amnyooshe.
How..unaweza kuthibitisha hilo??Karia ni mjinga sana, kaibania GeitaGold mda mrefu sana, sass imetoboa yamemshuka.
amfuate Jiwe wakae wote na roho mbayaAlichokifanya Karia ni UPUMBA, UJINGA, UMAVI na UPUUZI. Mungu amnyooshe.
Huyu Msomali ni fedhuli mkubwa. Ipo haja ya kumny'ang'a passport ya Tz arudi kwao Mogadishu.Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya.
Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya utoto sana,kiongozi huwezi kufanya vile.
Wajumbe wote wako mfuko wa nyuma, atarudi tuKuna mambo yanashangaza sana kwenye michezo hususani soka letu la Bongo. Jana tarehe 30 Mei, 2021 ndio ilikuwa fainali ya ligi ya daraja la kwanza kati ya Mbeya Kwanza dhidi ya Geita Gold. Pamoja na timu zote mbili kupanda daraja na kuwa na sifa za kucheza ligi kuu bara.
Msimamizi wa masuala ya soka Nchini ambaye kisheria anatambulika kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania "Tanzania Football Federation (TFF)" Bwana Wallace Karia, aligoma kumpa mkono/kumpongeza Kocha bora wa Mashindano hayo ya FDL. Sitaki sana kuamini kwamba ni 'bifu' lililopo kati yao au kutofurahia mafanikio ya Timu hiyo kupanda daraja. kitendo hiki ni kulidhalilisha soka la Tanzania ambalo yeye aliomba kusimamia na wadau wa soka wakampa nafasi. Ikiwa kuna mambo mengine pembeni Karia alitakiwa tu kuipongeza Timu hiyo na kocha wake kwa kofia ya Rais wa TFF sio Jina lake.
Wito kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu utakaofanya Uchaguzi wa Viongozi wa TFF mkatuchagulie watu watakaosimamia ukuaji wa soka letu, sio watakaosimamia Migogoro katika soka letu, vitendo kama kile cha jana havina afya kwa mpira wa miguu na michezo kwa ujumla.
Binafsi nampongeza Kocha Minziro, ukifuatilia rekodi zake ni miongoni mwa walimu mabingwa sana wazawa wanaofanya kazi ya kupandisha timu kutoka madaraja ya chini kwenda ligi kuu, Timu kama Mbao, Alliance na Singida United zote zimepita mikononi mwake, si mwalimu wa kumbeza kwa kiasi kinachofanywa na viongozi wa soka letu wa aina ya Karia.
Nahisi Timu zote zenye chembechembe au urafiki na Yanga huwa hazitoboi kwenye utawala huu. GeitaGold wana bahati sana na ikiendelea kuwa na Kocha Minziro huenda ikashuka daraja msimu ujao.Karia ni mjinga sana, kaibania GeitaGold mda mrefu sana, sasa imetoboa yamemshuka.
CCM inahusika vipi hapaMwana CCM huyo, so ni kawaida yao.
Ndio baba lao Hilo.CCM inahusika vipi hapa
Hapojuu n mapepoo ama sivideooo??Wabongo kwa kugombanisha watu, wewe hauoni hiyo direction aliyotazama? Weka video tuone
Mbowe kasema wachaga hawaajiriwi serikalini. Wamawia wameajiriwa wangapi serikalini?
Wabongo utawaweza mkuu?Mimi nilichoona ni kwamba wakati Minziro anapita hapo, Karia alikuwa anaongea na mtu nyuma