Ingekuwa hakuna pesa, fomu za kinyang'anyiro zingegombewa kama njugu?Hivi huko TFF kuna hela sana?
Dah!!na kweli mkuu maaana hatumuoni humu....hahahaaaaampaka ulipofikia huu uzi ninaamini Frank wanjiru ni malinzi mwenyewe, maana sizani kama angebaki kimya mpaka sasa
Una akili timamu?Ajira za wahaya zipo mashakani pale TFF
Kutoka pale bila kusukumwa na Caterpillar ni ndoto. Imagine watu wanaweza kuchota B nzima nzima bila woga wowote.watu wakishaonja madaraka kuachia ni kazi sana, si atoke tu keshaboronga
bashite anamtaka mayai kupitia GSM ; Ndo maana kakimbiaKwa nini inatokea saa hizi wakati wa uchunguzi
Marahaba Takukuru huyo ndo adui wetu wa kandanda vizazi na vizazi
Kama ni yeye basi Raisi wa TFF atakuwa na ID nyingi hapa JF.Ya kwanza ni ile anayoitumia ChitChat nyingine ile verified aliyotumia kuombea kura 2013Frank Wanjiru nae Yupo Lupango au ndio Malinzi mwenyewe?