Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

Rockcity native

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
2,167
1,405
Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya fedha kwa njia ya simu zimeonekana.

Najua Uongozi wa Fountain ushapeleka vielelezo hivi takukuru na TFF.

Najua kwa nature hizi kesi pale takukuru huwa zinachukua muda mrefu kutolewa hukumu zake.

Kumekua na taarifa nyingi sana za kuihusu timu ya kitayose lakini kwa namna moja au nyingine TFF imekua ikiwalinda kwakua ni timu ya Tabora na ndo anapotokea katibu mkuu wao winfred Kidau.

Kuna rufaa nyingi mezani mwa TFF walizokatiwa hawa kitayose lakini kwa namna moja au nyingine zinapigwa chini.

Kuna rufaa ya Pamba kuhusu kitayose kuchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano,

Kuna malalamiko ya wachezaji wengi wa kitayose wale wa kigeni hawana vibali vya kazi nchini lakini bado TFF imebariki wacheze kitu ambacho ni kosa.

Sasa kwa hili la kupanga matokeo sioni kama kitayose itasalimika maana ushahidi wote upo kuanzia zile clip mpaka miamala.

Huyu mwenyekiti wa kitayose alishawai kufungiwa na TFF miaka 10 enzi za malinzi lakini alipoingia Karia na Kidau wakamwachia.

Hii kesi ndo itakua kipimo cha kujua TFF ipo kwa maslahi ya mpira au matumbo ya watu.
 
Aisee
 
TFF HATUTAKI UCHOCHEZI EEE TUNASUBIRI MAPATO YA SIMBA NA YANGA TUKAKESHE BAR TEH TEH TEH.
HAO KITAYOSE TUTAWAPIGA FAINI YA SHILINGI LAKI MOJA ILI IWE FUNDISHO KWA KLABU ZINGINE..
 
TFF ni sehemu ya kwenda kufanya maisha

Ukifanikiwa kupata umepata tuu... TFF kuna pesa kutoka kila kona koala Kwa timu zenyewe ambazo zina takiwa zitendewe haki!
 
Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya fedha kwa njia ya simu zimeonekana.

Najua Uongozi wa Fountain ushapeleka vielelezo hivi takukuru na TFF.

Najua kwa nature hizi kesi pale takukuru huwa zinachukua muda mrefu kutolewa hukumu zake.

Kumekua na taarifa nyingi sana za kuihusu timu ya kitayose lakini kwa namna moja au nyingine TFF imekua ikiwalinda kwakua ni timu ya Tabora na ndo anapotokea katibu mkuu wao winfred Kidau.

Kuna rufaa nyingi mezani mwa TFF walizokatiwa hawa kitayose lakini kwa namna moja au nyingine zinapigwa chini.

Kuna rufaa ya Pamba kuhusu kitayose kuchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano,

Kuna malalamiko ya wachezaji wengi wa kitayose wale wa kigeni hawana vibali vya kazi nchini lakini bado TFF imebariki wacheze kitu ambacho ni kosa.

Sasa kwa hili la kupanga matokeo sioni kama kitayose itasalimika maana ushahidi wote upo kuanzia zile clip mpaka miamala.

Huyu mwenyekiti wa kitayose alishawai kufungiwa na TFF miaka 10 enzi za malinzi lakini alipoingia Karia na Kidau wakamwachia.

Hii kesi ndo itakua kipimo cha kujua TFF ipo kwa maslahi ya mpira au matumbo ya watu.
TFF ni genge la wahuni linaloongoza soka la Tanzania
 
Back
Top Bottom