Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

...
...
...Pia zimo Dola 4,630 zilizochotwa Desemba 24, 2013 kugharamia mtihani wa utimamu wa mwili kwa waamuzi (Cooper test for referees), Dola 4,120 zilizotolewa siku hiyo hiyo kwa ajili ya Ally Mayay na Ayubu Nyenzi kufanya ziara Uganda na Dola 1,638 ambazo zilitolewa siku hiyo hiyo zikiwa fidia ya malipo ya deni la TFF kulipia ziara ya uongozi wa shirikisho mkoani Mwanza
...
...
Report hii haitawaacha Salama baadhi ya Wagombea wengine pia.
 
Timing ya mashtaka haya inaleta picha ya moja kwa moja ya serikali kuingilia mchakato Wa uchaguzi Wa TFF. Ni ujinga tu Wa kutotumia akili. Binafsi simkubali Malinzi kama mtu aliyeigeuza TFF Mali yake binafsi lakini Haki yake lazima iheshimiwe.
 
Kwa hiyo ulitaka achaguliwe kuwa Raisi ndio ashitakiwe ?

Hakuna haki iliyovunjwa , Malinzi ni mtuhumiwa bado hajahukumiwa kama ana mashahidi wa kumtetea haki itatendeka.Kwa kiburi na nyodo alizokuwa nazo Malinzi wengi hatutaki aendelee kugombea uongozi wa TFF tena
 
Blatter alichaguliwa kuwa rais Wa Fifa ndani ya muda mfupi akajiuzulu kwa hiyo hilo sio tatizo. Kitendo cha kumuwekea mazingira ya yeye kutoshiriki uchaguzi huo ni kumnyima Haki yake. Aachwe agombee akaangushwe na wapiga kura.

Shule sio kigezo.
1. Sep Blatter hakuwa na shule
2. Uongozi ni jinsi unavyo endesha Taasisi unayoiongoza huku ukiwa na dhamira ya kweli moyoni wala sinkwa mtazamo wa kujinufaisha binafsi.
3. Mbona kule sifa ni kusoma na kuandika na bado watu wanaongoza!!
4. Ally Mayai anafaa sana kwa sababu, secretariet ndio mtendaji, yeye anakuwa ni figure tu.

Hafai huyu yupo kwenye kesi,Mda wowote ajiandae kupandishwa mahakamani na hamna dhamana.

Waliobaki ndo wachaguliwe
 
Blatter alichaguliwa kuwa rais Wa Fifa ndani ya muda mfupi akajiuzulu kwa hiyo hilo sio tatizo. Kitendo cha kumuwekea mazingira ya yeye kutoshiriki uchaguzi huo ni kumnyima Haki yake. Aachwe agombee akaangushwe na wapiga kura.
Takukuru walikuwa wanawachunguza kina Malinzi kwa zaidi ya mwaka mmoja wamepata ushahidi ndio maana wameamua kuwashtaki sasa,

Kumbuka huyo Malinzi ndio alimfungia Dr Ndumbaru kujishughulisha na soka bila kumpa hiyo nafasi ya kujitetea
 
Simsikitikii Jamaal Malinzi
Aliongoza TFF kama mali yake binafsi
Uwizi ulio kithiri ktk vyama vyetu vya soka ndiyo kikwazo cha soka letu kupanda
Atendewe tu haki ktk mashtaka yake!
 
Haijalishi kuwa alikuwa anachunguzwa kwa muda mrefu kwani mchakato wa uchaguzi ungepita kwanza Malinzi angekimbia nchi!? Hii ndio inaleta picha kuwa serikali inajaribu kuingilia uchaguzi huu kama ilivyojaribu kuingilia ule Wa chama Cha wanasheria TLS.
Takukuru walikuwa wanawachunguza kina Malinzi kwa zaidi ya mwaka mmoja wamepata ushahidi ndio maana wameamua kuwashtaki sasa,

Kumbuka huyo Malinzi ndio alimfungia Dr Ndumbaru kujishughulisha na soka bila kumpa hiyo nafasi ya kujitetea
Kuhusu kumfungia Ndumbaro hiyo ni moja ya makosa yake kati ya mengine mengi lakini siwezi kufurahia kwa anayotendewa yeye kwani serikali ikitaka kukukomoa hata kama huna kosa utakaa ndani tu.
 
Sielewi logic yako ya kusubiri uchaguzi upite wakati Takukuru sasa ndio wamepata ushahidi na kuweza kumshitaki wao uchaguzi wa TFF hauwahusu kabisa.Hata yule Singa Singa wa IPTL amekamatwa akiwa airport wakati anataka kwenda nje ya nchi,so wangemwacha asafiri akirudi ndio wamkamate?

Kwa tuhuma zinazomkabili Malinzi hastahili kabisa kuwa kiongozi wa mpira hapa Tanzania kibaya zaidi amekuwa akishauriwa muda mrefu lakini amekuwa na dharau na kiburi kusikiliza huo ushauri.

Again Malinzi bado hajahukumiwa ni mtuhumiwa tu sasa kukaa ndani ndio utaratibu wa kisheria sio kukomolewa kama hana hatia atashinda kesi na kutoka Aden Rage alifungwa akatoka jela na akaja kuwa kiongozi wa soka
 
Mleta mada nimeona umeweka matumizi lakini sijaona vipi hayo hayakuwa matumizi ya kweli.
Pesa ilitakiwa kutumika kwa timu ya Taifa tu gharama za kambi na posho ... wao wamezitumia kinyume na mkataba, lakini pia wametumia risit na documents za kufoji ili kujilipa hiyo mijihela
 
Blatter alichaguliwa kuwa rais Wa Fifa ndani ya muda mfupi akajiuzulu kwa hiyo hilo sio tatizo. Kitendo cha kumuwekea mazingira ya yeye kutoshiriki uchaguzi huo ni kumnyima Haki yake. Aachwe agombee akaangushwe na wapiga kura.
Aangushwe na wapiga kura wapi? Wakati Miaka miwili iliyopita alikuwa anapanga viongozi wa vyama vya soka wilaya na mikoa ili waje kumpigia kura huku na yeye akigombea ili awe mpiga kura hata sasa sitashangaa wajumbe wakipiga kura za hasira na kumtosa Tembele .... Nyamlani alisoma alama za nyakati akajiengua mapeema
 
Takukuru walikuwa wanawachunguza kina Malinzi kwa zaidi ya mwaka mmoja wamepata ushahidi ndio maana wameamua kuwashtaki sasa,

Kumbuka huyo Malinzi ndio alimfungia Dr Ndumbaru kujishughulisha na soka bila kumpa hiyo nafasi ya kujitetea
Sio ndumbaro tu kawafungia baadhi ya viongozi wa soka Geita na Tabora bila kusikilizwa, kawafungia wasemaji wa Simba na Yanga nk nk
 
Pesa ilitakiwa kutumika kwa timu ya Taifa tu gharama za kambi na posho ... wao wamezitumia kinyume na mkataba, lakini pia wametumia risit na documents za kufoji ili kujilipa hiyo mijihela

Niliwahi kuandika humu, hizi kazi za jamii za kutafuta kwa udi na uvumba za kupigiwa kura zina walakin mkubwa sana.

Hatopatikana msafi hapo, mambo kuzidiana tu.

Na hata uwe msafi vipi waliozikosa watakutilia kila aina ya fitna na majungu na utakuwa nalo tu kosa.

Kwenye mpira kuna pesa nyingi sana na pia ushetani mwingi sana. Tusitegemee kupata msafi huko.

Sishangai.
 
Nakumbuka wakati wa uchaguzi 2013 ulkuwa unasema jamaa hafai japo tulikuwa tunamkubali na tulikupinga sana ... je ulkuwa unamjua jamaa personally? Au ulkuwa unaujua ushetani ulioko kwenye soka?
Hata kwa Kikwete ultuambia pia tutamkumbuka! Tukabisha mara imetokea.
Hebu tuambie kati ya Ally Mayay na Imani Madega nani akichaguliwa hatutajuta?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom