Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

Joined
May 4, 2024
Posts
37
Reaction score
190
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.

Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake shambulio dhidi yake lilifanywa alipotoka eneo la mgahawa ambalo siku zote hulitumia kwa shughuli zake.

Hayo yanajiri saa chache baada ya kusambaa kwa taarifa za kushambuliwa kwa Padri Kitima, ambazo kwa mujibu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lilifanyika alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini alikokuwa anapata kinywaji kuanzia saa 1 jioni hadi 4 na robo.

Hata hivyo, jeshi hilo linamshikilia, Rauli Mahabi anayeishi Kurasini kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo lililotokea ofisi za TEC Kurasini na uchunguzi wa kina unaendelea kwa ajili ya hatua za haraka na kali kuchukuliwa.

Taarifa hiyo ya Polisi iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi hilo Kanda ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro imesema: “Padri huyo inadaiwa tangu saa tatu asubuhi (jana Jumatano) walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili."

Akizungumza na Mwananchi leo, Alhamisi Mei 1, 2025, Askofu Pisa amesema Padri Kitima alishambuliwa eneo la karibu na mgahawa uliopo makao makuu ya TEC, Kurasini jijini Dar es Salaam.

Amesema eneo alikoshambuliwa ndilo ambalo siku zote hufanyia kazi zake baada ya shughuli za pamoja na hakuwa anapata kinywaji, wala si sehemu kunakopatikana kinywaji chochote.

"Ile taarifa ya polisi inayosema kuwa alikuwa anapata kinywaji kuanzia saa 1 hadi 4 na robo usiku imepotosha, ukweli hakuwa anapata kinywaji alikaa eneo la mgahawa ambalo ndilo siku zote hufanyia kazi zake," amesema.

Kwa mujibu wa Askofu Pisa, awali Padri Kitima alikuwa na mapadri wenzake kwa kikao cha pamoja na walipomaliza wenziwe waliondoka na akabaki kwenye eneo la mgahawa anakofanyia shughuli zake.

Akiwa katika eneo hilo, amesema ulifika wakati alitoka hapo kwa ajili ya kurudi ndani na kabla ya kufika kuna uchochoro wenye giza na hapo ndipo alipovamiwa na kuanza kushambuliwa.

"Ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na amejeruhiwa kidevuni, ameumia sana, lakini taarifa ya Aga Khan inaeleza kwamba hali yake inazidi kuimarika hadi sasa," amesema Pisa ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi.

Kuhusu taarifa ya polisi, Askofu Pisa amesema kwa namna ilivyo inaonyesha Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji kwa saa kadhaa, jambo ambalo kwa tafsiri ya kawaida jamii itadhani ni pombe.

"Kusema alikuwa anapata kinywaji kwa saa zote hizo ni kwamba alikuwa anakunywa pombe na pengine kapigwa na walevi, hili sio kweli tunaandaa taarifa kamili," amesema Askofu Pisa.

Amesisitiza katika eneo hilo, hakuna baa wala kinywaji na kama kuna anayehitaji kupata kilevi hicho kwa kawaida angeenda nje ya eneo hilo.

"Hakuna baa pale na hakuna sehemu ya kupata vinywaji, vinywaji tunaenda kupata kwenye baa pale ni mgahawani. Maana ukisema mtu alikuwa anakunywa kwa saa zote hizo maana yake alikuwa anakunywa pombe si hivyo," amesisitiza.

Mwananchi

===

Pia soma

  1. News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
 
Polisi safari hii watapata aibu na fedhea kubwa, uhuni wao wa kutoa taarifa feki hautapata nafasi katika hili tukio.
 
Inavyoonekana tukio hilo lilipangwa ndio maana unaona kwamba Polisi wamejitokeza kwa haraka Sana na kutoa taarifa yao ya kutengenezwa ili kuhadaa umma.

Taarifa ya Jeshi la Polisi inaonekana wazi kabisa kuwa ni Fabricated Cover Story ili kuhadaa Watu kwa lengo ovu la kukilinda chama tawala.
CCM imepoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
Njia pekee kwa CCM kuendelea kuwa hai na kuendelea kushika madaraka katika Utawala wa nchi hii ni kwa kupitia kwenye kufanya Siasa za Propaganda za Vitisho Kama hizi za kuteka watu, kuua Watu, kuwashambulia na kuwapoteza wale Watu wenye ushawishi wanaokipinga Chama hicho. Nje ya Kuendesha Propaganda za Vitisho, kamwe CCM haiwezi kubaki salama na Wala haiwezi kuendelea kuwa hai, LAZIMA itakufa!

Utawala wowote ule uliofitinika na ambao upo mwishoni unakaribia kuanguka na kufa, huwa ni kawaida kabisa kutokea matukio mabaya Kama haya. Watawala huwa wanakuwa wameshikwa na kiwewe, wanaingiwa na hofu kubwa, kila Mtu mwenye Fikra mbadala na anayewakosoa au kuwapinga wanamchukulia kuwa ni Mhaini anayetaka kuwapindua.

Hali Kama hii pia iliwahi kumkumba aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) wakati huo akiwa madarakani, Hali ambayo ilimfanya amteke hata Mkuu wake wa Majeshi General Mahele na kisha kumuua kikatili Sana Kama nguruwe pori, Mobutu alikuwa anamhisi Jenerali huyo wa Jeshi kwamba alikuwa anamsaliti na kuwaunga mkono Wapinzani wake wa kisiasa.

Kwa Hali halisi ya kisiasa na HAKI za binadamu iliyopo hivi Sasa hapa Tanzania, tutarajie kushuhudia kwa wingi sana Watu wengi sana wakikumbana na matukio mabaya kama haya ya kushambuliwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa kikatili.
 
Inavyoonekana tukio hilo lilipangwa ndio maana unaona Polisi kwa haraka Sana wametoa taarifa yao ya kutengenezwa ili kuhadaa umma.
CCM imepoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
Njia pekee kwa CCM kuendelea kuwa hai na kuendelea kushika madaraka katika Utawala wa nchi hii ni kwa kupitia kwenye kufanya Siasa za Propaganda za Vitisho Kama hizi za kuteka watu, kuua Watu, kuwashambulia na kuwapoteza wale Watu wenye ushawishi wanaokipinga Chama hicho. Nje ya Kuendesha Propaganda za Vitisho, kamwe CCM haiwezi kubaki salama na Wala haiwezi kuendelea kuwa hai, LAZIMA itakufa!

Utawala wowote ule uliofitinika na ambao upo mwishoni unakaribia kuanguka na kufa, huwa ni kawaida kabisa kutokea matukio mabaya Kama haya. Watawala huwa wanakuwa wameshikwa na kiwewe, wanaingiwa na hofu kubwa, kila Mtu mwenye Fikra mbadala na anayewakosoa au kuwapinga wanamchukulia kuwa ni Mhaini anayetaka kuwapindua.
Hali Kama hii pia iliwahi kumkumba aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) wakati huo akiwa madarakani, Hali ambayo ilimfanya amteke hata Mkuu wake wa Majeshi General Mahele na kisha kumuua kikatili Sana Kama nguruwe pori, Mobutu alimshuku Jenerali huyo wa Jeshi kwamba alikuwa anamsaliti na kuwaunga mkono Wapinzani wake wa kisiasa.
Kwa Hali halisi ya kisiasa na HAKI za binadamu iliyopo hivi Sasa hapa Tanzania, tutarajie kushuhudia kwa wingi sana Watu wengi sana wakikumbana na matukio mabaya kama haya ya kushambuliwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa kikatili.
Haya ngoja tuone
 
Mgahawani hakuna kinywaji wala vinywaji, vinywaji ni vileo pekee sio kahawa, chai, maji wala juisi nk pale mgahawani kutakuwa na divai na mkate wa bwana pekee

NB
Divai sio kinywaji wala kilevi japo hakipatikani mgahawani

Hahahahaahahaha
 
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.

Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake shambulio dhidi yake lilifanywa alipotoka eneo la mgahawa ambalo siku zote hulitumia kwa shughuli zake.

Hayo yanajiri saa chache baada ya kusambaa kwa taarifa za kushambuliwa kwa Padri Kitima, ambazo kwa mujibu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lilifanyika alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini alikokuwa anapata kinywaji kuanzia saa 1 jioni hadi 4 na robo.

Hata hivyo, jeshi hilo linamshikilia, Rauli Mahabi anayeishi Kurasini kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo lililotokea ofisi za TEC Kurasini na uchunguzi wa kina unaendelea kwa ajili ya hatua za haraka na kali kuchukuliwa.

Taarifa hiyo ya Polisi iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi hilo Kanda ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro imesema: “Padri huyo inadaiwa tangu saa tatu asubuhi (jana Jumatano) walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili."

Akizungumza na Mwananchi leo, Alhamisi Mei 1, 2025, Askofu Pisa amesema Padri Kitima alishambuliwa eneo la karibu na mgahawa uliopo makao makuu ya TEC, Kurasini jijini Dar es Salaam.

Amesema eneo alikoshambuliwa ndilo ambalo siku zote hufanyia kazi zake baada ya shughuli za pamoja na hakuwa anapata kinywaji, wala si sehemu kunakopatikana kinywaji chochote.

"Ile taarifa ya polisi inayosema kuwa alikuwa anapata kinywaji kuanzia saa 1 hadi 4 na robo usiku imepotosha, ukweli hakuwa anapata kinywaji alikaa eneo la mgahawa ambalo ndilo siku zote hufanyia kazi zake," amesema.

Kwa mujibu wa Askofu Pisa, awali Padri Kitima alikuwa na mapadri wenzake kwa kikao cha pamoja na walipomaliza wenziwe waliondoka na akabaki kwenye eneo la mgahawa anakofanyia shughuli zake.

Akiwa katika eneo hilo, amesema ulifika wakati alitoka hapo kwa ajili ya kurudi ndani na kabla ya kufika kuna uchochoro wenye giza na hapo ndipo alipovamiwa na kuanza kushambuliwa.

"Ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na amejeruhiwa kidevuni, ameumia sana, lakini taarifa ya Aga Khan inaeleza kwamba hali yake inazidi kuimarika hadi sasa," amesema Pisa ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi.

Kuhusu taarifa ya polisi, Askofu Pisa amesema kwa namna ilivyo inaonyesha Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji kwa saa kadhaa, jambo ambalo kwa tafsiri ya kawaida jamii itadhani ni pombe.

"Kusema alikuwa anapata kinywaji kwa saa zote hizo ni kwamba alikuwa anakunywa pombe na pengine kapigwa na walevi, hili sio kweli tunaandaa taarifa kamili," amesema Askofu Pisa.

Amesisitiza katika eneo hilo, hakuna baa wala kinywaji na kama kuna anayehitaji kupata kilevi hicho kwa kawaida angeenda nje ya eneo hilo.

"Hakuna baa pale na hakuna sehemu ya kupata vinywaji, vinywaji tunaenda kupata kwenye baa pale ni mgahawani. Maana ukisema mtu alikuwa anakunywa kwa saa zote hizo maana yake alikuwa anakunywa pombe si hivyo," amesisitiza.

Mwananchi

===

Pia soma

  1. News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa
Tangazeni Novena mkiona inazuia na mtu yeyote kama walivyofanyiwa wale msheikh waliotaka kusoma kisomo wakati wa Lissu kushambuliwa, basi someni rangi zake mtapata majibu
 
kushambuliwa.

"Ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na amejeruhiwa kidevuni, ameumia sana, lakini taarifa ya Aga Khan inaeleza kwamba hali yake inazidi kuimarika hadi sasa," amesema Pisa ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi.
Maskini walidhamilia kumuua
 
Back
Top Bottom