Ya jk waneifanya siri kubwa, tena kubwa sana. Hiyo id ya pm pnder mwenyewe tumeijua juzi juzi tu hapa
ID ya pinda ni ipi?
Unauhakika?
Hahahahahaaaa!
Kwanini Mkuu?
Duh! Inaelekea huyo mwenye ID hiyo [ifweero] anamwaga pumba simchezo!
ni mangi ya kishimunndu hajawahi kuona jua toka amezaliwa
Alibanikwa?
mbona account iko banned mkuu
Huyu hapa chini...Ila #Invisible kamziba kwa kumwekea ban
ha ha ha ha ha ha haaaaa, mzee wa kuban? Ngoja akushughulikiesi ndio invicible