Halafu cream Yao ya juu ya uongozi wote ni wanawake kudadekiSwala sio madeni mkuu, huyo mama amesema hayo tayari kuwavumilia mawaziri walarushwa,wapiga dili
Na ndo kama wanakawaida ya kuweka picha ya raisi maofisini kama huku, Watumishi wao watakua wanatetemeka kuanzia asubuhi mpaka jioni.Bi-mkubwa sura yake tu imekaa kikauzu kauzu yaani ukiwa raia wa Nchi yake Au mtumishi kwenye taasisi zao lazima uogope kula rushwa Kila unapo ikumbuka sura ya raisi
Full kujamba Jamba kaka 🤣🤣Na ndo kama wanakawaida ya kuweka picha ya raisi maofisini kama huku, Watumishi wao watakua wanatetemeka kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Shule Ipo kichwani
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa . Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya miaka 5, mod naomba weka speech yake hapo watu waone
Kusema kweli huyu mwanamke anajtahidi. Wanamibia wanasema wanamuamini na nchi yao na wamempa uhuru wa kutawala anavyopenda.Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa .
Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya miaka 5, mod naomba weka speech yake hapo watu waone
Hahahahahaaaaa GT. Rudisha basi avatar picha yako tuliyoizoea ya Arsene Wenger.Yule wa Burkina Faso mmeshamgundua ni mbabaishaji tu si ndiyo?
Burkina faso population ni kubwa lakini Namibia ni million 2 tu na linchi likubwa.Yule wa Burkina Faso mmeshamgundua ni mbabaishaji tu si ndiyo?
Huyo kama angekua bongo basi baba yake mkurya mama yake mnakyusaFull kujamba Jamba kaka
Yaani hapo rushwa hauli bad enough nasikia kawapiga beat viongozi wote wa serikali kuwa hato nvumilia mla rushwa yoyote so Kwa hiyo sura lazima uogope
Malawi kwa mzee wa Takwimu. Huko kila hotuba lazima achapie ...sijui anakuwaga na ya kwake. Lazima achanganye namba tu😆Shule Ipo kichwani
Njoo Nchi ya Malawi Sasa !! 🤣🤣😁🙌