Rais wa Namibia anatafuta nini Tanzania?

Rais wa Namibia anatafuta nini Tanzania?

kwangu siyo ishu, ishu ingekuwa labda kama raisi wenu wa tanzagiza angealikwa namibia for an official visit hapo kungekuwa na hoja, lkn hii siyo ishu usisahau pia kuna lobbying ya hali ya juu inaendelea (rejea kombo akitembea na picha ya Nyerere USA ingawaje muslims wanamchukia Nyerere hata hivyo lkn wanajua kwamba it works, typical muslim behavior siyo wajinga kiivyo) nyuma ya pazia.

wanatumia resources za serikali kufanikisha mambo kama hayo, wanatumia manipulations ya sijui "ukombozi" wa namibia ukichukulia kulikuwa na kambi ya wanamibia tanzagiza na wengi wao waliishi hapo, hivyo ni ngumu kukataa mwaliko kama huo, isitoshe anafanya transit tu akitokea ghana, kwangu siyo ishu na haisemi chochote mpaka labda yeye akialikwa namibia officially ...
Tatizo la Tanzania ni sisi raia. We are not doing enough kuonyesha dunia ni nini kilitokea kabla na 29/10. Hivi ni nini kinanyima waandishi, vyama vya siasa na kila vikundi na mtu mmoja mmoja wenye kutaka haki itendeke, kufanya utafiti wa siri wa mambo yoye yalitokea na idadi ya wahanga? Kwa kifupi ile ripoti ya babu jinga Chande ilitakiwa kujibiwa na ripoti yenye kuonyesha ukweli wa kilichotokea. Kenya walipata katiba mpya kwa sababu walikuwa very active kuonyesha kilichotokea.
 
Nchi nyingi za Afrika hawana rekodi ya kujali haki za binadamu. Hili wala halishangazi.

Tatizo la Tanzania ni sisi raia. We are not doing enough kuonyesha dunia ni nini kilitokea kabla na 29/10. Hivi ni nini kinanyima waandishi, vyama vya siasa na kila vikundi na mtu mmoja mmoja wenye kutaka haki itendeke, kufanya utafiti wa siri wa mambo yoye yalitokea na idadi ya wahanga? Kwa kifupi ile ripoti ya babu jinga Chande ilitakiwa kujibiwa na ripoti yenye kuonyesha ukweli wa kilichotokea. Kenya walipata katiba mpya kwa sababu walikuwa very active kuonyesha kilichotokea.

uko sahihi lkn binafsi sijakata tamaa, ukichukulia Kenya walipata katiba mpya na kwa kawaida kenya wako miaka 10/20 zaidi mbele yetu hivyo ni swala la muda tu, swala la katiba halikwepeki kwani mambo ya ubabaishaji yanafikia ukingoni ishara zote ziko wazi.

hatujawahi kutengwa hata siku moja na mataifa ya nje tangia kuanzia kuanzishwa kwa republic yetu hata wakati ambapo dunia ilikuwa imegawanyika west/east bado tulikuwa tunaweza kuongea na wote, USA hajawahi kuiwekea nchi yetu vikwazo siajabu hatujawahi hata tu kujalidiliwa huko bungeni kwao in negative way atleast, scandinavian countries walikuwa ni marafiki zetu wa hali na mali wengine tumesoma shule zilizokarabatiwa na danida leo hii tumegombana na kila mtu, hii haijawahi kutokea, hivyo ni wazi kwamba mwisho wa evil hauko mbali ...
 
Yupo tukuyu anaanika mpunga,juzi wamepandishiwa ushuru wa gunia toka buku mpaka buku mbili akalalamika
Tukuyu ipi wanakolima mpunga? Umekaririshwa vibaya na ikikupendeza uwe unafanya utalii wa ndani ili kujiongezea ufahamu wa nchi yako.
 
Kwa Rais mwenye uweledi na nidhamu hichi siyo kipindi sahihi cha kufanya ziara kwenye taifa lenye scandal kubwa kama hili ambalo serikali yake inazidi kuwa na sifa mbaya kote duniani kutokana na umwagaji damu mkubwa iliofanya kwa wananchi wake ile Oktoba 29 na 30 mwaka 2025
 
1781941865951.png
Amefata nini sasa? 😠
 
Yupo tukuyu anaanika mpunga,juzi wamepandishiwa ushuru wa gunia toka buku mpaka buku mbili akalalamika

Tukuyu Hatulimi Mpunga
Tunatiririsha maaji yote ya Mvua kwenda Kyela.

Tukuyu tunalima
Maparachichi.
Ndizi.
Viazi.
Chai.
Kahawa.
Tangawizi.
Mahindi.

Kyela ndio wanalima mpunga na Kakao.
 
Huyu mama aliishi sana Tanzania.

Kwao amefanikiwa kulipa Madeni yote ya selikali yake IMF
ya Namibia ililipa Eurobond ya dola za Marekani milioni 750 (US$750 million), sawa na takribani dola za Namibia bilioni 13.5–14.3 (N$13.5–14.3 billion).

Hili lilikuwa moja ya malipo makubwa zaidi ya deni katika historia ya nchi hiyo.
Bloomberg +1
Pia mwaka 2026 Namibia ilikamilisha kulipa deni lake lililokuwa limebaki kwa International Monetary Fund la takribani US$23.9 milioni, na kufanya salio la deni kwa IMF kuwa sifuri.
Duh kumbe mtu mzima hawezi hata kutembea?
 
Huyu mama hatumuhitaji, akae kwao huko. Anatafuta nini Tanzania?
Kumbuka nchi za SADC hawautambui uchafuzi wa 29 Oct, na Agenda za kuja kwake hazipo wazi, msufuate za Msigwa, zinaupotoshaji, mkubwa. Hivyo inawezekana ni mikakati WA SADC kama ilivyo WA US na wa EU , kuirekebisha mambo.
 
Tatizo la Tanzania ni sisi raia. We are not doing enough kuonyesha dunia ni nini kilitokea kabla na 29/10. Hivi ni nini kinanyima waandishi, vyama vya siasa na kila vikundi na mtu mmoja mmoja wenye kutaka haki itendeke, kufanya utafiti wa siri wa mambo yoye yalitokea na idadi ya wahanga? Kwa kifupi ile ripoti ya babu jinga Chande ilitakiwa kujibiwa na ripoti yenye kuonyesha ukweli wa kilichotokea. Kenya walipata katiba mpya kwa sababu walikuwa very active kuonyesha kilichotokea.
Ndugu, naona uko nyuma ya wakati sana..

Counter attack ya uhuni wa hawa hayawani wa CCM na Samia wao imefanyika na inaendelea kufanyika kwa kasi ya mwanga kuliko kasi yao ya kufunika uchafu na uovu wao. They are totally exposed na ushindi u mikononi mwa umma unaopigania haki na uhuru wa Demokrasia...

Kwa taarifa yako, kabla ya ripoti ya babu Chande; taasisi binafsi, wanaharakati wa haki za binadamu na vyama vya siasa (hapa namaanisha chama kimoja tu - CHADEMA) walishatoa ripoti zao zikionesha ushahidi wa picha, video za watu wakiuwawa, makaburi ya halaiki na idadi ya watu inayofikia zaidi ya 10,000+...

Na ripoti hizo ndo ulizoona zikirushwa na major international medias kama CNN, BBC, Al Jazeera, DW nk. Na kuona hivi, Samia na wahuni wenzake wakaweweseka na kupaniki. Ndo wakaja na alternative way, yaani kuundwa tume magumashi chini ya Babu Chande na kuja na ripoti ya kujaribu kuzima moto lakini badala ya kuzima, ndo tu imeongeza petrol juu ya moto...!

Kwa hiyo, ndo kusema kuwa hiyo ripoti ya babu Chande ilikuwa ni majibu ya ripoti za hawa unaowalaumu kudhani hawafanyii kazi ushenzi huu uliofanywa na Samia na CCM yake. Kama nilivyosema, ripoti ya babu wala haikusaidia lolote zaidi tu kwamba, imefunua uhuni wa Samia na hayawani wenzake...

Na sasa USA na Ulaya kama response ya kazi nzuri ya CHADEMA, taasisi za kumpigania haki na utawala bora, diaspora na wanaharakati wa haki za binadamu wa ndani ya nchi, wanachukua hatua dhidi ya serikali hii haramu na viongozi wake..

Tegemea vilio zaidi kwa hayawani hawa. Lakini watajihami kwa kuua zaidi na zaidi...

Nakuhakikishia hili, kuwa, wasiponyoosha mikono juu kukiri makosa yao, basi watafanya uhalifu mkubwa zaidi na mwisho kabisa watakimbia nchi na wengine tutawakamata na kuwachinja kama walivyochinja wao...
 
Back
Top Bottom