Rais wa Msumbiji kwanini haongei Kiswahili?

Haya mambo kwa mimi binafsi nakerwa mno tena mno nimeangalia wageni wote wakija hapa ni kugonga lugha zao tu lakini hyu wa kwetu anang'ang'ania kiingereza tu cha nn? Kwa nini asioneshe uzalendo?
 
Inakera sana mkuu, ingekuwa vizuri sana viongozi wa kimataifa wakija hapa kwetu viongozi wetu watumie kiswahili ili kijulikane zaidi, kwakuwa vyombo vya habari vinakuwa vina rusha matangazo dunia nzima.
 
pooocha voces tanzanianos sao confusos de mais...................gostam maning de reclamar....pooorah pah isso nao tem nada ver, a nossa língua oficial é portugues cara,tem que saber.

ninguem esta a reclamar aqui,
huyu katukana matus ya nguon kabisa
 
mwacheni aongee lugha ya kireno bhana mikoa ya kati na kusini wanaelewa hiyo lugha akiongea kiswahili itakua anaeleweka kwetu ila kwao inakua gege. ila JK ni diplomatic wa hatari sana, ujue huyu rais mi namkubali, maana yake teh teh teh dah huyu mkwere mjanja sana, ambao wanaijua msumbiji au wameshakaa huko watanielewa vizuri, hasa huyu jambazi-2 au ukipenda bandido-2 atakua ananielewa. msumbiji kuna opportunity nyingi za biashara na raia wao ni watu wa kula bata jk kawfungulia njia hapo ingieni moz mpige hela zipo nyingi tuuuu. jamaa kachez kama pele....
 
Jana nimeuona TBC katika habari akiongea kiswahili vizuri kabisa na akiomba nchi iwe na amani kwa maendeleo ya uchumi na akaomba chama kitachoshindwa katika uchaguzi kikubali matokeo.
kweli hata mimi nilimsikia. ni mswahili kabisa
 
Soma comments za watu wengine humu utaelewa nilichokuwa na maanisha.
ha ha ha ha pole usimaindi. Title inasema rais wa msumbiji haongei kiswahili. Labda ungendika kwanini viongozi hawaongei kiswahili. Then inside ukatoa mfano Rais wa msumbiji alivyozungumza kireno badala ya English. Sioni connection ya kusema kwani hakuzungumza kiswahili. Ndiyo kiswahili anakifahamu lakini pale palikuwa na delegates wengi wnaaongea kireno na yeye lugha ya taifa ni kireno. Title na content havina ushirikiano.
 
"( Ndio kiswahili anakifahamu lakini pale palikuwa na delegates wengi wanaoongea kireno na yeye lugha ya taifa ni kireno".)

Sentence hiyo hapo juu ulio andika ndicho hasa, ulicho takiwa kuandika mwanzo. Asante kiongizi kwa kunielewa.
 
Protokol haimruhusu kuongea kiswahili, mfano ni Kansela wa Ujerumani, mama amesoma Urusi, mpaka Ph.D katika physics, lakini akikutana na Putin, anaongea kijerumani. Na Putin, pia amekaa na kufanya kazi ujerumani kama jasusi, na anaongea kijerumani bila tatizo, lakini akikutana na viongozi wa ujerumani, anaongea nao kirusi
 
Ila next time nyosha sentensi:becky:
 
Protokol haimruhusu kuongea kiswahili, mfano ni Kansela wa Ujerumani, mama amesoma Urusi, mpaka Ph.D katika physics, lakini akikutana na Putin, anaongea kijerumani. Na Putin, pia amekaa na kufanya kazi ujerumani kama jasusi, na anaongea kijerumani bila tatizo, lakini akikutana na viongozi wa ujerumani, anaongea nao kirusi

Rais wetu yeye sijui ni mnyonge kiasi gani, yeye kiswahili anakificha kabiasa anapo kutana na viongozi wengine wa kimataifa haijalishi yuko nyumbani ama ugenini.
 
Back
Top Bottom