"Rais wa misiba"

Haihitaji kkwenda shule kujua kuwa huu msiba ni mkubwa na rais alipaswa kuwepo pale yeye mwenyewe na si mwakilishi. Au kama alishindwa basi hata angewaita waandishi wa habari na kuwafariji wafiwa. Mbona kwenye uzinduzi wa miradi anakwenda mwenyewe? Je si vema zaidi katika msiba wa kitaifa naye angekuwepo?
 

Maswali yako yote ni halali kabisa.
 
Reactions: mij
Unaona sasa...

Tatizo la kusoma kitu na kutokukielewa.

Hakuna hata sehemu moja niliyoelezea uzuri wa yeye kutokwenda.

Nilichofanya ni ku speculate sababu ya yeye kutokwenda.

Umeshindwa kusoma na kuelewa ulichokisoma!

Majanga.
Sawa tu! na mimi si nime speculate your speculations tu? Hizo za ku speculate kushindwa kwangu kusoma na kuelewa!we all drifting in the sea of speculations!
 
Pamoja ya kuwa magu ni rais lakini pia tukumbuke kuwa naye ana separate existence (individuality).

Kuna watu hawawezi kabisa au wanapata shida sana ku handle misiba. Ama kwa sababu ndivyo walivyo au kutokana na past experience.

Unakuta kama kuna uwezekano wa kutokuhudhuria msiba fulani basi muhusika hatahudhuria. Na si kwamba anakuwa hajali.

Naweza kumuelewa magu kwa angle hiyo
 
Sawa tu! na mimi si nime speculate your speculations tu? Hizo za ku speculate kushindwa kwangu kusoma na kuelewa!we all drifting in the sea of speculations!

Una speculate kitu kilicho mbele yako?

Al Junun funun haki ya mungu!!
 

Kuna angle ambayo humuelewi Magu?
 

Rei Rei.....yaani unajaribu ku rationalize no-show ya Magu??

Huogopi kuitwa mkabila wewe eeeh?

Oh btw, off the top of your head....[no Googling].....what is abatement ab initio? 😛
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu watanzania viumbe wa ajabu sana lkn pia hiwezi jua kwanini hakufika taasisi ya uaris ni kubwa na inamambo mengi.
 
Reactions: nao
[QUOTE="Nyani Ngabu, post: 21034935, member:awardNyuzi na mabandiko ya Kikwete kuitwa 'rais wa misiba' ni nyingi/ mengi mno humu.

Kwa sisi tuliopo muda mrefu humu na tulio na kumbukumbu nzuri tunayajua hayo.[/QUOTE]
Sawa na asiende kwani akienda au akiwepo hawezi kuwarudishia Uhai. Ila hii ni ajali iliyochukuwa miili Na Roho innocent children 33 kwa siku moja. Uwepo wa kiongozi wa juu ungeleta faraja.
 
Naona kina Ngosha wanateteana, japo kwa hoja nyepesi. Sasa wameanza kutulaumu sie tunaemlaumu Ngosha Mkuu. Ngoja na mimi niwatetee wenzangu wenye ngozi nyeusi, sio kosa lao kumlaumu Ngosha Mkuu-ni kosa la ngozi yao.
 
Ukishapiga hao vikongwe wako soap soap ndio unakujaga na vithread kama hivyi
 
Nyani ngabu umeongea vizuri sana Sema wachangiaji wengi hawajaelewa concept yako ni ipi? Wasome uzi mara mbili mbili wataelewa
Kuna watu akili zao hazipo huru.

Yaani wameghubikwa na ushahidi.

Kwao ni lazima ama uwe CCM au upinzani.

Akili zao haziruhusu maono zaidi ya hizo kambi mbili.

Ndo maana akija mtu na kuzungumzia jambo nje ya hizo kambi hawaelewi.

Matokeo yake default argument yao ni ukabila ad infinitum!!

Wakati Magufuli mwenyewe wala si Msukuma.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…