Rais wa Marekani ampigia magoti mtoto wa marehemu George Floyd

Hii habari sio ya kweli.

Huyo dogo anaitwa CJ Brown na hapo Biden alikutana na huyo dogo na mshua wake baada ya kwenda Detroit, Michigan mwaka jana September akawa ameenda kwenye duka la nguo la huyo baba wa mtoto (baba wa CJ Brown) kuwafanyia shopping wajukuu zake (wajukuu zake Biden).
Sisi tupo huku izimbyamata kwahiyo nafikiri wewe upo karibu naye huyo rais ebu tupashe
 
Back
Top Bottom