Rais wa Marekani ampigia magoti mtoto wa marehemu George Floyd

Huo ni unafiki tu wa wanasiasa, sema sisi Waafrika tutashangilia na kuona anajali kumbe anatung'ong'a tu........
Sasa jamani afanyeje mkoloni wa watu, amesha tubu! wakati mwingine hawa wakoloni muwe mnawaulumia, km binadamu vinginevyo na wewe ni Mkoloni mweusi tu.
 
Unajua mkuu,watu wana uelewa mdogo sana jinsi siasa ya Marekani ilivyo.Kila kitu wanakichukulia kama kimetokea by mistake.
Mauaji marekani hayajaanza kutokea leo miaka yote watu wanauana na wengine wanauawa na polisi,sio Democrats wala Republican presidents waliojaribu kufanya kitu,wote wanaingia wanatoka madarakani kimya tu.Leo ukimsikia Obama anavyoongea utasema hakuwa kuwa ikulu,analaumu kama watu wengine tu.Mwana 2008 alivyoingia WH alikuwa na control ya senate na House,anmgeweza fanya kitu lakini alikaa kimya.Leo anakuja kumlaumu Trump kama hakuwepo.Unafiki
Imagine
 
Hawa wamarekani weusi hawana nidhamu yaani hako katoto kameweka marasta sasa sijui ni kasanii au inakuaje
 
Kwa akili ya kibavicha hapo unaona ni kitu cha maana wakati kuna raia kibao weusi wanauawa kila siku
 
Wanasiasa kwa unafiki sijui watakuja kuacha lini, ile issue ya George Floyd ilikuwa engineered na hao hao watu wa mkondo wa Democratic kufanya utawala wa Trump usitawalike.

Usijekuta yule askari mzungu yupo Cuba ama Taiwan vijijini huko anakula maisha kimya kimya kama mtawa, muwekezaji ama vyovyote kwa majina mapya. Dunia hii ya ajabu sana, kikubwa ni kuwa Floyd watoto zake hawatapata tabu kifedha mpaka kufa.

Kuna usemi unasema"usiamini kila unachokiona kwenye TV"naongeza magazeti na platforms zote hizi za habari, ata Yesu kawekwa kwenye movie akati enzi zake hakukuwa hata na Camera na watu wamemtundika majumbani, wakiwa wanasali uigeukia hiyo picha kwa imani kubwa na machozi juu, ***** mzungu.
umemaliza kila kitu kama kweli hawa democratic wana uchungu basi haya mauaji ya polisi yangekoma mara moja baada tu ya wao kuingia...tumeona mauji ya polisi yakiendelea kwa kasi kubwa kuliko hata kipindi cha republican

anachokifanya biden ni kujifanya aonekane ni mwema mbele za watu kwa tukio la floyd kwa kuwa lilitokea wazi kwa kila mtu kuona jamaa anauliwa unadhani kama tukio la floyd lisingekuwa wazi leo biden angefanya anachokifanya sasa hv!??...jibu ni hpn anafanya hivyo ili aonekane mbele za watu kuwa anajali

kuna watu wengi sn wanauliwa na polisi kila uchwao kwa matukio ambayo hayaonekani kwenye hadhara hutaona kiongozi yeyote yule akikemea ni mpaka pale mtu auawe hadharani ndio utaona haya maigizo
 
Jus
umemaliza kila kitu kama kweli hawa democratic wana uchungu basi haya mauaji ya polisi yangekoma mara moja baada tu ya wao kuingia...tumeona mauji ya polisi yakiendelea kwa kasi kubwa kuliko hata kipindi cha republican

anachokifanya biden ni kujifanya aonekane ni mwema mbele za watu kwa tukio la floyd kwa kuwa lilitokea wazi kwa kila mtu kuona jamaa anauliwa unadhani kama tukio la floyd lisingekuwa wazi leo biden angefanya anachokifanya sasa hv!??...jibu ni hpn anafanya hivyo ili aonekane mbele za watu kuwa anajali

kuna watu wengi sn wanauliwa na polisi kila uchwao kwa matukio ambayo hayaonekani kwenye hadhara hutaona kiongozi yeyote yule akikemea ni mpaka pale mtu auawe hadharani ndio utaona hayamaigizo
Juzi Blac mwingine chalii wa miaka 20 kauawa live kwa makosa madogo sana ya barabarani, Jama yetu anafanya yale yale ya Trump kutuma polisi kutuliza maandanao, watu kimya, angekuwa Trump ingekuwa balaa jingine la hatari. Hawa demons sijui kwanini bado watu wanaimani nao.

Risasi zinauwa watu USA kuliko HIV Tanzania. Chicago mfano, ndani ya wiki watu wanne wameuawa na polisi, achilia matukio mengine ya kiuarifu. Watu waone tu Marekani kwenye TV upande wao mzuri, waende kuishi huko ndio watajua nini tunamaanisha.
 
Hawa wamarekani weusi hawana nidhamu yaani hako katoto kameweka marasta sasa sijui ni kasanii au inakuaje
Halafu wasabato mna vituko!!!! na uzwazwa pia sijawahi ona!!!!! ... nchi hizi walizo kaa wazungu sana km south , na uzunguni km USA kusuka Rasta kwa mtu mweusi ni Bonge la heshima, na sifa kubwa kwa muafrica, wanakuona km Samsoni!! wao hawawezi!!

hizo nywele akizikata bado atauza sana tu, na kule SOUTH ukisuka Rasta km hivi unapaswa utembee kwa tahadhari kubwa , waulize marasta wa kule si wanakuja hapo?? unaweza ukatekwa ukanyolewa kwa nguvu au kuuawa!! ajili tu ya nywele kutakiwa tu!! sasa weye unaona ni kitu kidogo, uchafu!! wee vepe!! huyo dogo tajiri hapo!

wanafunzi wa kibongo huku wanazifanyia deal nywele zao hasa!! na ni deal kweli kalaghabaho na minywele yako, njoo usafishe macho huku hutakaa useme hivi tena.!!
 
Tunashukuru kwa kutupatia chakula cha ubongo
 
Wamefanya mission ya kumuua baba yake ili wapate public sympathy iliyoweza kumuondoa Trump ikulu , Halafu hapo anajifanya anazuga Kama hajui kitu vile yaani , Dahh siasa Noma Sana
Mzee unapenda conspiracy theories kweli
 
Uungwana ni kitendo au vitendo, kumuona rais wa nchi akijishusha ni nadra sana hapa duniani.

Joe Bidden apiga goti kwa mtoto wa George Floyd aliyeuawa mwaka jana
View attachment 1750037
Rais wa Marekani, Joe Biden akimpigia goti kuomba msamaha mtoto wa George Floyd, kutokana na kifo cha kikatili kilichompata baba yake.

George Floyd aliuawa Mwaka jana na polisi wa Marekani kwa kukandamizwa na goti shingoni hali iliyolaaniwa duniani kote na ilizua vurugu na maandamano Marekani kote.

Chanzo: Mtanzania
Bora angetoa msaada wa kumsomesha buree.
 
Hii habari sio ya kweli.

Huyo dogo anaitwa CJ Brown na hapo Biden alikutana na huyo dogo na mshua wake baada ya kwenda Detroit, Michigan mwaka jana September akawa ameenda kwenye duka la nguo la huyo baba wa mtoto (baba wa CJ Brown) kuwafanyia shopping wajukuu zake (wajukuu zake Biden).
 
Back
Top Bottom