Rais wa Malawi kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu

Rais wa Malawi kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,705
Reaction score
29,136
malawi.jpg
Rais Malawi Profesa Peter Mutharika (74)

Rais mpya wa Malawi Peter Mutharika anatarajiwa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu,mwishoni mwa wiki.

Taarifa hiyo ilisema: ''Ikulu ya Rais ina furaha kuwajulisheini kuhusu harusi ya kitamaduni itakayofanywa kati ya Rais Arthur Peter Mutharika na mwandani wake wa muda mrefu Madam Gertrude Hendrina Maseko.''

Taarifa hii iliwasilishwa na msemaji wa Rais Chikondi Juma aliyesema kuwa sherehe ya harusi itakuwa ya faragha.

Rais Mutharika aliibuka mshindi katika uchaguzi wa urais uliofanyika mwezi jana ambapo mshindani wake mkubwa alikuwa rais aliyeondoka mamlakani Joyce Banda.

Rais Mutharika amewaambia maafisa wa serikali kuhakikisha kuwa hakuna pesa za serikali zitatumiwa katika shughuli hiyo.

Wa Mutharika ni Rais wa pili kufnya hasrusi akiwa mamlakani nchini Malawi.
Mutharika, mwenye umri wa miaka 74 na ambaye mkewe alifariki , ana watoto watatu, wasichana wawili na mvulana mmoja.

Baadhi ya wadadisi wanaunga mkono harusi ya Mutharika wakisema kuwa itasaidia kuimarisha maisha ya kijamii na kisiasa kama kiongozi wa nchi.

Hii ni mara ya pili kwa Rais kufanya harusi akiwa mamlakani nchini humo.

Wa kwanza alikuwa Rais Bingu Wa Mutharika,aliyemuoa mpenzi wake Callista Chimombo, aliyekuwa waziri wa zamani wa utalii mwaka 2010.
Wa Mutharika alikuwa nduguye mkubwa rais Peter Mutharika.

Hata hivyo wakosoaji wanalalamika kuwa pesa za umma zitatumika kwa harusi hii kwa sababu shirika la habari la taifa lilatumika kupeperusha matangazo ya harusi hiyo moja kwa moja.

Pia wanasema kuwa Rais Mutharika atatumia rasilimali za serikali ikiwemo usalama wakati wa harusi yake ambayo wanasema bado ni gharama kwa serikali.

MSHANGAO WANGU
Hivi huyu babu huyu na umri wote huu anaoa ili iweje? Na kwa kuwa wasichana wa kiafrika wanapenda kuolewa na wazee wenye nazo, sishangai kuona babu huyu akimuoa binti mbichi kabisa anayelingana na mjukuu wake. Kazi ipo kwa mabinti wa kiswahili wapenda ubwete!
 
Wadau mda huu tv ya taifa ya malawi mbc,inaonyesha rais mpya wa malaw alochaguliwa hiv majuz ndio wapo kanisan asubuh hii akifunga ndoa.

Kilichonishangaza mda wa kampen,sikusikia wapinzan wake kumponda kwa wamalaw wasichague mtu msela.na wala wamalaw wenyewe hawakusita kumpa nch.

Kwanini hapa kwetu mgombea urais asiye na mke upondwa sana,na wapinzan wake utumia muda mwing kuchambua mambo yake binafsi.Wadau nyie kwenu mgombea urais kutokuwa na mke mnalichukuliaje?
 
Wadau mda huu tv ya
taifa ya malawi mbc,inaonyesha rais mpya wa malaw alochaguliwa hiv majuz
ndio wapo kanisan asubuh hii akifunga ndoa.

Kilichonishangaza mda wa kampen,sikusikia wapinzan wake kumponda kwa
wamalaw wasichague mtu msela.na wala wamalaw wenyewe hawakusita kumpa
nch.

Kwanini hapa kwetu mgombea urais asiye na mke upondwa sana,na wapinzan
wake utumia muda mwing kuchambua mambo yake binafsi.Wadau nyie kwenu
mgombea urais kutokuwa na mke mnalichukuliaje?

binafsi naona haina shida so long as anao uwezo wa kuwa rais. ndoa na kazi ni vitu viwili tofauti
 
Maybe he was elected because of a narrow choice of candidates
 
Wadau mda huu tv ya taifa ya malawi mbc,inaonyesha rais mpya wa malaw alochaguliwa hiv majuz ndio wapo kanisan asubuh hii akifunga ndoa.

Kilichonishangaza mda wa kampen,sikusikia wapinzan wake kumponda kwa wamalaw wasichague mtu msela.na wala wamalaw wenyewe hawakusita kumpa nch.

Kwanini hapa kwetu mgombea urais asiye na mke upondwa sana,na wapinzan wake utumia muda mwing kuchambua mambo yake binafsi.Wadau nyie kwenu mgombea urais kutokuwa na mke mnalichukuliaje?
Jitahidi kumsafisha Dokta paroko Wilibrod Slaa. Endelea :A S confused:
 
hasafishiki hata kwa jiki huyo babu yako.

Wadau mda huu tv ya taifa ya malawi mbc,inaonyesha rais mpya wa malaw alochaguliwa hiv majuz ndio wapo kanisan asubuh hii akifunga ndoa.

Kilichonishangaza mda wa kampen,sikusikia wapinzan wake kumponda kwa wamalaw wasichague mtu msela.na wala wamalaw wenyewe hawakusita kumpa nch.

Kwanini hapa kwetu mgombea urais asiye na mke upondwa sana,na wapinzan wake utumia muda mwing kuchambua mambo yake binafsi.Wadau nyie kwenu mgombea urais kutokuwa na mke mnalichukuliaje?
 
Kumbe womanizer! basi huyo hata mambo ya ziwa nyasa tushampiga bao. Tutamtafutia mtoto mzuri wa kibongo basi. Mambo yatakuwayameisha.........LOL
 
Du huyu mwanamke ana zari LA mentali...... yaani kutoka kuwa kimada mpaka FESTI LEDI!!!!!????? Itakuwa wanawake wenzake wenye wivu wanatamani wajinyonge......
 
Wadau mda huu tv ya taifa ya malawi mbc,inaonyesha rais mpya wa malaw alochaguliwa hiv majuz ndio wapo kanisan asubuh hii akifunga ndoa.

Kilichonishangaza mda wa kampen,sikusikia wapinzan wake kumponda kwa wamalaw wasichague mtu msela.na wala wamalaw wenyewe hawakusita kumpa nch.

Kwanini hapa kwetu mgombea urais asiye na mke upondwa sana,na wapinzan wake utumia muda mwing kuchambua mambo yake binafsi.Wadau nyie kwenu mgombea urais kutokuwa na mke mnalichukuliaje?

Uzee ni habari ambayo haihesabiwi kwa umri tu, ukifanya hivyo utakosea. Kuna watu wana miaka 74 lakini wana "nguvu" kama vijana wa miaka 30, na wenye miaka 30 wamechoka kama wana miaka 74.

Una hakika anayeolewa ni.binti mdogo au unaropoka tu?
 
Du huyu mwanamke ana zari LA mentali...... yaani kutoka kuwa kimada mpaka FESTI LEDI!!!!!????? Itakuwa wanawake wenzake wenye wivu wanatamani wajinyonge......

hahaha! watakuwa wamemwekea 'pingamizi' la kimizengwe lakini wamechemsha--bibie 'kamshika' mumewe kisawasawa! chezea wivu wa kike wewe?
 
Du huyu mwanamke ana zari LA mentali...... yaani kutoka kuwa kimada mpaka FESTI LEDI!!!!!????? Itakuwa wanawake wenzake wenye wivu wanatamani wajinyonge......

kwa kweli bibie ana zali la kufa mtu--from MCHEPUKO to FESTI LEDI! si mchezo!
 
Back
Top Bottom