Rais wa Kosovo kaudhalilisha Uislamu

Rais wa Kosovo kaudhalilisha Uislamu

Uislamu uislamu,mngekua mnasoma vitabu vyenu pengine asingelibakia hata mmoja akijigamba na uislamu
 
Unajua tamaduni za asili za muafrika na wangapi wanafuata ?

Kuvaa suti , surali na shati ni tamaduni za muafrika ?

Kwenda kanisani nako ni tamaduni za muafrika ?

Hakuna aliyesalimika na kuchukua tamaduni za watu labda utoke nje ya mfumo wa Dunia .
Maswali yako ni mengi ila nitayajibu kwa ufupi, nakubaliana na kauli yako ya mwisho ila ukiwa mtu mwenye ufahamu uliotulia basi hata kama utarithi tamaduni basi iwe ni tamaduni yenye manufaa inayoweza kukunufaisha katika nyanja ambazo dunia kwasasa zimechukua nafasi zaidi kiuchumi na maendeleo mengine.

Upande wa maswala ya dini ni dhana zilizopitwa na wakati na sijui kwanini jamii zetu zimekomalia hapo it's wasting of time, swala kama aliloleta mweka mada halina manufaa katika nyanja za sasa ni sawa na bure au wewe unasemaje..?
 
1770320355592.jpeg
1770320329438.jpeg

1770320376070.jpeg
 
Back
Top Bottom