Rais wa Korea kaskazini: Tutaipa Burkina faso msaada wo kijeshi.

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
649
Reaction score
903
Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso.

Sambamba na Korea kaskazini nchi za China, Urusi, Iran, Cuba, Pakistan na nchi kadhaa zipo tayari kuisaidia Burkinafaso kulinda uhuru wake na matishio ya nje.
 
Attachments

  • 384793870.jpg
    384793870.jpg
    372 KB · Views: 19
Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso.

Sambamba na Korea kaskazini nchi za China, Urusi, Iran, Cuba, Pakistan na nchi kadhaa zipo tayari kuisaidia Burkinafaso kulinda uhuru wake na matishio ya nje.
Mambo yanaenda kwa haraka sana
 
Urusi nae si ana msaada wa askari wa Korea Kaskazini?
 
Ilipo urusi na korea ya kaskazini ipo, traore ni kijana wa putin na rafiki wa putin kiduku atamsaidia, ila hii si nzuri sana traore kuifanya burkina faso kuwa ni uwanja wa kutunushiana misuli kati ya marekani na washirika wake na upande wa urusi na washirika wake
Kutunushiana ❌ Kutunishiana ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ilipo urusi na korea ya kaskazini ipo, traore ni kijana wa putin na rafiki wa putin kiduku atamsaidia, ila hii si nzuri sana traore kuifanya burkina faso kuwa ni uwanja wa kutunushiana misuli kati ya marekani na washirika wake na upande wa urusi na washirika wake
Ufaransa, Marekani na mabeberu wengine ndio walianza kumtisha kwa kuwa amekata mirija yao ya unyonyaji waliokuwa wameitega ndani ya Burkinafaso
 
Kuna maslahi lazima haiwezekani akikingiwa kifua hivi,mkono mtupu haulambwi
 
Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso.

Sambamba na Korea kaskazini nchi za China, Urusi, Iran, Cuba, Pakistan na nchi kadhaa zipo tayari kuisaidia Burkinafaso kulinda uhuru wake na matishio ya nje.
Ujinga mtupu!
 
Hii vita ya tatu si ipiganwe tu watu tujue moja
 
Kwa hiyo upo kazini ticha
Hapana Mkuu, unajua sifa bora zaidi ya ujumbe thabiti ni kuhakikisha ulichoandika kipo vizuri kiusahihi, unawezakuta ukaandika matusi pasipo kudhamiria sababu tu ya kutohakiki ulichonuia kuuliza, kujibu au kueleza.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hbr njema kbs hii kwa maadui wa UbEPARI

Back
Top Bottom