Yaani ye kawaza hapo tu
Hahahaha, mkwe mahari labda nimkopeshe mhusika. Hawezi lipa baadae kidogo mkishachuma vijicent pamoja?
Lizy utawakimbizaje? wakikimbia ujue wameshachukua posho tayari na hawana wanachokidai tena.Wasipokimbia naresign maana ntakua kazi siiwezi.
mkwe acha kumng'ang'ania mutu wa watu mlete fasta kabla kipindi cha sikukuu yakijaisha nimtengenezee biriani
Lizy utawakimbizaje? wakikimbia ujue wameshachukua posho tayari na hawana wanachokidai tena.
Sema unaweza sekta gani upate cheo
siku hizi hakuna kuremba
Teh tena wanaacha na madaftali shule huko huko.Ulishasikia wanafunzi wanakimbia shule?Sio kama washapata elimu ya kutosha, bali mambo magumu.
teh teh teh unataka kuiba twiga kwa helicopter
Keshapatikana saa nyingii..Rais rejao, festi ledi Kongosho. sasa tuachie usukani tuanze kupanga tunaowahitaji. Wewe tayari kongosho ameshakuchagulia kazi yakoRais hajapatikana bado bhana
usichakachue bhana,hivi ukiwa prezda first lady atakuwa nani?