usinune nitakurusha,ila una rungu yako ya ugambo?Nimenuna sana baada ya kuona sikupata hata nafasi ya ugambo (mgambo) kukaa mlangoni wakati mawaziri wanaapishwa! Kwa taarifa naelekea Sumbawanga nikamshtakie Bibi! Mh Rais tenga budget ya kutosha ya kuwapeleka Mawaziri wako India, labda bibi nisimkute!
usinune nitakurusha,ila una rungu yako ya ugambo?
heri tufanye uchaguzi mkuu
Nyie marahic mnaogombania atakayeshinda naomba mnipe kazi ya kubeba handbag ya mwanamke wa kwanza itanifaa sn na ninauzoefu wa kutosha jaman!
Keshapatikana saa nyingii..Rais rejao, festi ledi Kongosho. sasa tuachie usukani tuanze kupanga tunaowahitaji. Wewe tayari kongosho ameshakuchagulia kazi yako
usichakachue bhana,hivi ukiwa prezda first lady atakuwa nani?
Nyie marahic mnaogombania atakayeshinda naomba mnipe kazi ya kubeba handbag ya mwanamke wa kwanza itanifaa sn na ninauzoefu wa kutosha jaman!
Excellent upo juu
Na hii kazi ya u-bi-kiroboto naiwezea vibaya sana. Wanywa mbege lakini nitawakaribisha na kuwaambia "tuvumiliane" 😀
Ya jenerali mbona cha mtoto? Ngoja niendelee kufikiria adhabu yako cuz hata hapa dunian naona haipo!
Sikubali huyu jamaa degree yake feki, ana certificate tu ya kilimo, kutoa Ukirigulu!wewe Mwita25 unafaa kuwa waziri wa uvuvi maana una Bachelor ya Fishing!