RAIS WA IRAN MWENDAWAZIMU.... LAKINI?..... CASTRO wa pili.

Wanabodi,
Tuacheni kidogo tuyaweke mawazo yetu wazi...hatupo ktk udini isipokuwa tafsiri zetu za imani ndani ya dini. Sioni kosa hapa kwani mawazo ya Mwanakijiji siii lazima kuwa yanawakilisha wakristu ama yangu kuwakilisha waislaam. Na kwa hakika nina elewa waislaam hawakubaliani na baadhi mawazo yangu. Hii ni ELIMU vizuri kufungua nyoyo zetu na kuacha mapenzi nje.

Mwanakijiji,
Nashukuru umekubali kuwepo kwa mafungu hayo matatu. Umepotea kidogo kusema nimekupa wewe fungu la tatu.. Laa nilisema la pili..
sasa basi subri nikupe tofauti ya imani yako ya Pili na yangu mimi.
Nitakupa mfano rahisi sana. Ikiwa kuna mwalimu ama mwandishi wa kitabu cha physics... Nitakisoma kitabu kile na kuelimika, na itakuwa ajabu kubwa kama huyu mwalimu kaandika kitabu hicho bila ku-practice hiyo physics!..Lakini sintafuata maisha ya huyu mwalimu kama kielezo cha maisha yangu ndani ya somo hilo. Ikiwa mpango wake wa ngono unafanyika machakani...hilo lake mimi pia nitaondoka na zangu maadam sote tunakubalika ktk kamasutra! Nsahukuru mwenyewe umekubali hapo juu
Kwa maana hii ninamkubali Yesu au Mohammad ama mtu mwengine yeyote kwa sababu Utafiti wao una malengo ya kuiweka ELIMU hiyo kuwa na manufaa na mimi. If it's about their life, trust me none of us wants a piece of it, because no one can prove anything against. Na kama kweli unafuata dini kwa sababu ya matendo yao! looh ebu niangalie, Abraham alimuoa Dada yake wa tumbo mojakwa baba, kisha akampa Mfalme kwa kuogopa.., Moses aliweza kubadilisha maji ya mji mzima kuwa damu hali wananchi wote ndio tegemeo lao kunywa.. kwa kiswahili cha leo Moses terrorists hafai kitu. Na alipawa ndui mji mzima kuliko hata Ossama. David aliua kishenzi vitani, Solomon usiseme. Yesu rafiki wa karibu sana ni mwanamke malaya, hakuoa kabisa! Mohammad womenizer, yeye mwanamke mzuri asimkalie karibu. Na mengine kibao lakini bado sote leo tunaamini kutoua, Kuoa ni muhimu na kuwa na mke mmoja ni bora sana kama vitabu vyao vinavyosema na kila hatua unafuu zaidi kwetu.
Kuna hii nyingine...
Ebu angalia basi Yesu alipokuwa msalabani, wengi wameandika matukio yote hali none of them alikuwepo zaidi ya Maria na mzee wa kazi Yohana. Hawa wafuasi wote walikuwa mitini wamejichimbia kwani wote - wanted. Invents nzima walisimuliwa tu, na nani? hakuna anayefahamu. Lakini yote poa, trust Mandela kama singeenda jela kuna watu wasingeamini kuwa shujaa kwao lakini mimi Mandela ushujaa wake kwangu ni kile alichopigania..events za hakuenda jela, sijui kafa juu ya gamba maadam alichopigania bado malengo yake hayakubadilika haiwezi kuniondoa imani yangu. Hii ndiyo tofauti kubwa kati yangu na wewe na vizuri tunapojadiliana tuzikumbuke tofauti zetu.
Na swala la Yesu kuitwa Issa!.. Kumbuka Mwakijiji nisema jina la Yesu LINATAMKWA hivi YISA kwa ki-hebrew na sio kimaandishi. Jesus ni neno la kigiriki ambalo kwa kiswahili naweza sema linatamkwa - JISAS. Hawa hawana Y badala yake hutumia J kama vile Yohana na hata Yoshua. Hiyo Joshua ni matamshi ya kiswahili pia kwa neno Y'shua ambao ni maandishi yanayokaribiana kwa kuandika na yale maandishi ya ki-hebrew. Hapa utaona kwamba ile Y' kwa ki-hebrew ni silent YI, kwa kusikiliza ipo karibu sana na I (E) kuliko YI... Sasa basi tazama kiswahili kwa maandishi ya jina Yesu.. tunasema ISSA kwa sababu kwetu I haitamkwi AI isipokuwa I kama ilivyo. Waarabu wao wanayo Y' ikitamkwa I - (a e i o u).
Hapa nachojaribu kukuambia ni kwamba Jina la Yesu lilikuwa likitamkwa YISA.. yaani leo hii tukikutana mtaani utaniita MKANDARA, mimi nitageuka nikijua kuna mtu kaniita, lakini ikitaka kutafsiri jina langu kwa maana ya lugha yako sijui Belt!..itakuwa kazi mimi kufahamu kama kweli hilo ndio jina langu. Sidhani kama nitageuka wala kuitika kwani inaweza kuwa tusi kwa tafsiri ya kabila yangu.
Baada ya hii kuna kimtihani kidogo sana nitakupa na mwenyewe utabaki domo wazi!
 
I have a problem na rais wa nchi moja, anapojaribu ku-question uhalali wa kuwepo kwa nchi nyingine, thta is out of civilization na international law, West wana matatizo yao so is the whole world,

lakini ni lazima tukumbuke historia, Hitler alianza hivi hivi Idd Amini alianza hivi, Saddam alianza hivi hivi, na hawa wa-Iran sio muda mrefu uliopita walikuwa vitani kwa hiyo kuna pattern ya behavior ya viongozi wa aina ya huyu Mu-Iran,

Now we can debate tabia za West na unafiki wao, lakini we cannot debate kitakachotokea huyu Mu-Iran akiwa na hilo bomu especially when the man is questioning the exsitence ya nchi nyingine ambayo ni jiran, Now yes kumpa Bush maneno yake ni lovely kwa sisi wanyonge tena plus, lakini kuifuta nchi nyingine kwenye ramani, NO1 that is insane!


israel wanazo nuklia kinyume cha maadhimio umoja wa mataifa je unafaham hiloooo?????

ACHENI KUONGEA PUMBAA???
 
Mzee ES,
Unajua mshikaji mimi nimeandika yote yale ktk hoja yangu ya nyuma kwa madhumuni maalum. Jamaa yangu kaupanda mkenge, na vigumu kama mtu hukutumia busara kuelewa nilichoandika. Itabidi nimrudishe darasani.
Mzee mwanakijiji,
Hapo nyuma sikusema Yesu hakufa msalabani?.. soma tena vizurri na utaona hapa tunapishana kuelewa tafsiri ya neno kujitoa Mhanga.

Nachosema mimi Mhanga wa Yesu, sio hukumu aliyopata Yesu - kufa msalabani, ila mhanga wake Yesu ni kosa kama utataka kuliita kosa - alichofanya Yesu na kusababisha hukumu hiyo...
KOSA la YESU ama kwa lugha yangu kujitoa mhanga kwa YESU, ni kutuletea INJILI -neno la Mungu yaani ELIMU ambayo ni pingamizi na mafundisho ya utawala wa dunia ndiko kulikosababisha Yesu akamatwe. Kama asingefundisha Injili - neno la Mungu basi Yesu alikuwa salama na angepeta mitaani kama watu wengine hali elimu ile ingekuwa imepotea na binadamu wote tumepotea. Lakini hakutaka kutuacha watupu na kuendelea kubeba mzigo wa madhambi. Kwa hiyo basi alimua kujitoa muhanga kutufundisha IJNILI hali akijua kwamba hukumu yake ni kifo (kwa electric chair ya wakati huo)... Huu ndio Mhanga wa Yesu na sote leo TUTAOKOKA kama tutafuata mafundisho hayo......siamini kabisa kuwa nikila mkate wa kigiriki na kunywa wine ati mfano wa damu (damn) basi mimi poa kabisa Yesu kisha beba madhambi yote!.. Then why tunafundisha na kusisitiza dini ama kuamini kufanya yaliyo mema na kuepuka mabaya hali Yesu kesha chukua madhambi yetu....
Nooo way naamini Yesu kachukua risk ili mimi kuelewa na kutenganisha kati ya mabaya na mazuri. Elimu ambayo nikiisoma na kuyafuata basi pepo yangu.
Sasa kama wewe dini yako ama imani yako ni kuamini kwamba mhanga wa Yesu ni pale alipokufa msalabani na kuacha sababu iliyomhukumu hilo lako.
Narudi ktk mjadala wetu. Mimi huyu mshirika wa Iran sina haja ya kufahamu kama ni mtu mzuri, shetani ama mwendawazimu ila nimeangalia mafundisho yake. Huyu mshenzi anajitoa mhanga kwa njia yake, kutupa ukweli wa Marekani na mabaya yake na yupo tayari kufa lakini sote tunaelewa nini kibaya. For that, only that namsifia mtu huyu na nitajaribu kuyaangalia mafundisho yake ktk maisha yangu. Tofauti na mtu mwingiine ambaye anaamini, na kumfuata Yesu au Ahmadinejad maisha na hatima yao kuwa mkondo wa imani zao badala ya message waliyotupa hawa watu..
Ukizielewa tofauti hizi za mtazamo kati yetu (mimi na wewe ama wengine)basi utakuwa umenipunguzia kazi kubwa!


KWANZA HIZI NI PUMBA TUPU UMEONGEA!!
PILI HUYO YESU ALIE BEBA ZAMBI ZAKO UKAWA TAYARI UMEOKOKA YEYE NI NANI??
NI MTU ALIE PIGWA HADI KUFA KWA AJILI YAKO?
NI MUNGU KA MNAVYODAI ALIE PIGWA NA WATU HADI KUFA?
MUNGU GANI AKIMBIAE WANADAMU?
NA HAPO MSALABANI AKALIA ELOI ELOI MBONA UMENIACHA ALIOMBA MSADA KWA NANI KAMA YEYE NI MUNGU?

KUHUSU IRANI NA MAREKANI?
MAREKANI NDIO INCHI YA KWANZA DUNIA KUTUMIA BOM NUKLIA DHIDI YA WATU EROSHIMA, VISIWA VYA KYUBA, NAGASAKI ect.
ISRAEL INAMILI NUKLIA KINYUME CHA ADHIMIO LA UMOJA WA MATAIFA KAMA INAVYO MILIKI IRANI JE ?
MBONA MUNALAUMU IRANI TU HALI ISRAEL WANAYO NUKLIA PIA KINYUME NA SHERIA???

ACHENI KUONGEA PUMBAA???
 
watu mukoje sujuwi! wao "waisrael" hawataki liwepo taifa la Wapalestina na wamemnunia mama Clinton aliposema serikali ya Obama inaunga mkono kuundwa kwa taifa la wapalestina, wao wakisema hivyo si uwendawazimu lakini wakiambia hivyo ni uwendawazimu! kama hawakubali wenzao wawepo na wanafanya hivyo kwa vitendo kwa kuwapiga mabomu mazito mazito kila siku, then si uwendawazimu na mtu kusema nawao bora wasiwepo kabsa.
 
KWANZA HIZI NI PUMBA TUPU UMEONGEA!!
PILI HUYO YESU ALIE BEBA ZAMBI ZAKO UKAWA TAYARI UMEOKOKA YEYE NI NANI??
NI MTU ALIE PIGWA HADI KUFA KWA AJILI YAKO?
NI MUNGU KA MNAVYODAI ALIE PIGWA NA WATU HADI KUFA?
MUNGU GANI AKIMBIAE WANADAMU?
NA HAPO MSALABANI AKALIA ELOI ELOI MBONA UMENIACHA ALIOMBA MSADA KWA NANI KAMA YEYE NI MUNGU?

KUHUSU IRANI NA MAREKANI?
MAREKANI NDIO INCHI YA KWANZA DUNIA KUTUMIA BOM NUKLIA DHIDI YA WATU EROSHIMA, VISIWA VYA KYUBA, NAGASAKI ect.
ISRAEL INAMILI NUKLIA KINYUME CHA ADHIMIO LA UMOJA WA MATAIFA KAMA INAVYO MILIKI IRANI JE ?
MBONA MUNALAUMU IRANI TU HALI ISRAEL WANAYO NUKLIA PIA KINYUME NA SHERIA???

ACHENI KUONGEA PUMBAA???

Hamna kitu kibaya kama kughusha mambo ya HISIA; moto wake huwa ni mgumu kuuzima kwani madawa ya kuuzima hayajapatikana. Lakini pia unajidharaulisha "kwa watu makini". Hebu fanya uhariri wa uliyoyaandika, mfano EROSHIMA (HIROSHIMA);
 
Hamna kitu kibaya kama kughusha mambo ya HISIA; moto wake huwa ni mgumu kuuzima kwani madawa ya kuuzima hayajapatikana. Lakini pia unajidharaulisha "kwa watu makini". Hebu fanya uhariri wa uliyoyaandika, mfano EROSHIMA (HIROSHIMA);


KWANZA HIZI NI PUMBA TUPU UMEONGEA!!
PILI HUYO YESU ALIE BEBA ZAMBI ZAKO UKAWA TAYARI UMEOKOKA YEYE NI NANI??

NI MTU ALIE PIGWA HADI KUFA KWA AJILI YAKO?
NI MUNGU KA MNAVYODAI ALIE PIGWA NA WATU HADI KUFA?
MUNGU GANI AKIMBIAE WANADAMU?
NA HAPO MSALABANI AKALIA ELOI ELOI MBONA UMENIACHA ALIOMBA MSADA KWA NANI KAMA YEYE NI MUNGU?

KUHUSU IRANI NA MAREKANI?
MAREKANI NDIO INCHI YA KWANZA DUNIA KUTUMIA BOM NUKLIA DHIDI YA WATU EROSHIMA, VISIWA VYA KYUBA, NAGASAKI ect.
ISRAEL INAMILI NUKLIA KINYUME CHA ADHIMIO LA UMOJA WA MATAIFA KAMA INAVYO MILIKI IRANI JE ?
MBONA MUNALAUMU IRANI TU HALI ISRAEL WANAYO NUKLIA PIA KINYUME NA SHERIA???

ACHENI KUONGEA PUMBAA???
 
Mkandara,
Castro amenasa kwenye kile wanaita "time warp." Mapinduzi yake yalikuwa ya kihistoria lakini ameshindwa kupiga hatua sawa na mabadiliko kwingineko ulimwenguni. Si kwamba akane sera zake, la hasha, lakini atambue tu kwamba ulimwengu wa sasa sio ule wa mwaka 1958 na arekebishe mwelekeo wa nchi yake na kwamba mapinduzi ya wakyuba si ya uongozi wa mtu mmoja tu. Lakini vinginevyo amekuwa kiboko.[/QUOTE
 
Hamna kitu kibaya kama kughusha mambo ya HISIA; moto wake huwa ni mgumu kuuzima kwani madawa ya kuuzima hayajapatikana. Lakini pia unajidharaulisha "kwa watu makini". Hebu fanya uhariri wa uliyoyaandika, mfano EROSHIMA (HIROSHIMA);

asee ktk watu wanaongoza kwa pumba na upumbavu ni wewe nyie ndo wale tulioambiwa na vitabu vitukufu "wanamacho lkn hawaoni wanamaskio lkn hawasikii" . MNASKITISHA SANA.
 
Sijui kwanini tunazunguka zunguka na hatutaki kukiita "kijiko kijiko"? Barua aliyoandika huyu Rais wa Iran inanikumbusha barua ambayo Mtume alizituma kwa nchi zisizokuwa za Kiislamu na kuwataka wawe tayari kusilimu ama sivyo watakiona cha mtema kuni. Mwaka 628BK (6AH) Muhammad alituma barua kwa watawala wa mashariki ya kati na wale wa nchi za Magharibi zilizokaribu. Barua hii ilikuwa ni mwaliko kwa viongozi hao kupokea Uislamu au watakiona "Pokeeni Uislamu na amani na usalama vitakuwa vyenu".

Muhammad alituma barua hizo kabla ya kufanya mashambulizi. Hiki ndicho ninachokiona. Katika akili zake Rais wa Irani anajiona kuwa ni mwakilishi wa Waislamu wote na anafikiri kuwa wakati umefika wa Waislamu kusimama kidete dhidi ya magharibi na hivyo kuchukua nafasi ya kujenga tena umma wao, nafasi waliyoipoteza baada ya kuvunjika kwa utawala wa Ottoman.

Sasa miye sikutunga dhana hii. Tarehe 10 May (wiki iliyopita) akiwa ziarani Indonesia Rais Ahmedinajad aliulizwa kuhusu barua yake hiyo na waandishi wa habari na alikiri wazi kuwa lengo lilikuwa ni kutoa mwaliko kwa Rais Bush kurudi kwenye imani ya Mungu Mmmoja. Ulaya hawako tayari kushughulika na Iran kwani wao wana jamii ya Waislamu wengi na hawako tayari kuona mabomu yanalipuka tena!!!

Ukweli ni kuwa, Irani haitakuwa na silaha za Nyuklia, Marekani na Israel sasa hivi wameshaanza mazoezi ya kivita (visual war games). Wanachosubiri ni a clear and present threat toka Iran na wanataka Iran iendelee kuwasukuma, ila watakaposhambulia kila mtu ataelewa ni kwa nini. Sitashangaa, wakaacha hadi Irani ijaribu silaha ya Nyuklia au yenye uwezo wa kubeba kichwa cha nyuklia!!!! Halafu, Kaboom!!!

I like the tone.....najua watakushutumu wengi kuwa unaguza kitu wana hisia nacho sana dini na mtume wao..ila umeteleza na mpira ktk mstari km Malota Soma..

Jamaa alikuwa akimwita Bush ktk uislam..na alionyesha unyonge kwa vile alijua kwa nguvu za kivita na lie US ni mlima mkubwa sana na yeye yupo ktk kibaiskeli....huyu lunatic na fanatic Ahmedinejan ndani ya fikra zake na mapigo ya moyo wake yana rythmn na hizo fikra(deep in his heart) anaamini Islam ni perfectl religion from God..anaamini uislam kamili unaweza wabadili maisha...Anaamini uislam umeshindwa vibaya kukomboa binadamu (badala yake umetesa sana watu) kwa vile watu wa magharibi na masayuni wa kiyahudi ndio wanauzuia..Hajiulizi km kwanini basi allah akashindwa na waliolaaniwa, kwani waliolaaniwa wapo huru kuliko waumini...lazima atakuwa kichaa kwa kuamini ktk njia zilezile kwa mategemeo ya matokeo tofauti.

Hujakosea US iliposimama kivita taifa linalofuata lipo nyuma sana....km Israeli wameweza poison specimens ktk centrifuges zao kwa miaka kadhaa, hadi wa perfect tools zao, ni wazi kuwa, Iran wakizidi kuwa vichaa...wataruhusiwa rusha bomu la kwanza.Ambalo litadakwa angani..Then wakaifagie yote....Sasa hivi dunia imekuwa shocked kwa taarifa za huyu dono "tundu la barafu" Snowden...ambazo piga ua si ultimate power of Amerika...Pamoja na mikwara ya Putin...Missile shield is a Success..ndio maana putin hataki kabisa ikae maeneo ya karibu na Russia kwani watakuwa wamepunguzwa sana nguvu za kimikakati.America kumchagua Obama ulikukuwa ni ushindi mkubwa sana wa US..niliwaambia watu mapema sana kuwa "Populist Obama" kaloga sana dunia wakajua Amerika ni mwenzao.Leo anakuja siku moja anabadili maadui walitotenezwa na china kwa miaka kuwa mafarafiki, Putin akadanganyika na kupoteza nchi za USSR na sasa zipo NATO, Missile Chields Zipo uani kwa Urusi.Na mabomu yaliyopo space yana dhibitiwa na Satelite za kivita.GPS yenye ni mpango maulumu w akuwa US edge,leo dunia nzima ipo tracked nao, hata russia wenyewe hawajaweza jikomboa kihivyo, hata galileo ya UE.Zile Missile Shield Poland ni maandalizi ya kumwacha irani mwenyewe.Si China, wala Russia atabadili matokeo.

Poland ,hungray na Romania...ndipo maeneo dola nyingi zilizokuwa zinakwenda teka ulaya zilipomalizikia na kubaki historia....kuanzia waislam wa uturuki, warusi wenyewe, Hitler na wengine....
 
Tatizo la wapalestina wayahudi na taifa lao (Israel) ni Muhamad na Quran yake...."wayahudi watauwa hadi damu itengeneze bwawa","wayahudi watapigwa hadi waliojificha nyuma ya maweza na mitende, mawe yatawaita waislam kuwaambia kuna myahudi kajificha nyuma yake", "kuwapiga na kuwaua popote walipo wayahudi".

Ahamadinejan anaamini hivyo , na wala hasingiziwi...aliwahi kiri kuwa ktk mkutano wa UN palipita ukimya mkubwa watu walikuwa kimya sana akasikia km nguvu ya "mahdi.." ilipita ktk mwili wake ndipo akatoa hotuba yake.Kwake huo ni ushuhuda wa mission yake.

Tatizo haliwezi kuwa US...uislam umeandika na kutangaza vita ya kuwaangamiza wayahudi miaka karne kadhaa kabla,hata Columbus kuzaliwa na kuja gundua US.Ule msikiti wa Al-Aqsa ni laani nyingine ambayo waislam wameweka "wakfu"..waislam wamejenga juu ya mahekalu ya dini nyingin baada kuwapiga vita...Taj Mahal ilijengwa juu ya Hekalu la wahindu, Al Aqsa imejengwa juu ya Hekalu la wayahudi , juu ya lilipokuwa Hekalu Maarufu la Solomoni, urithi wa wayahudi na wakristu...Hekalu Yesu alikimbiza wanyang`anyi..Leo hii waislam wamefanya mali ya Allah..Lazima EL,Yehovah, azichape na allah kwani EL,Yehova hakuwahi kwenda al kaabar ingawa hata al kaaba nayo waliporwa "..wapagani...".Islam ilijengwa ktk vita na kila kitu kisicho uislam..
 
Tukianza kufanya ushabiki wa dini, Hatutafika mbali!

Kwanza lazima mjue wote tunajua kuwa Marekani ina nguvu hakuna asiyejua kama washabiki mnavyofikiri! Sasa kuwa na nguvu isiwe watu iwe taabu duniani? nmara Marekani itawapiga Wairani, mara ilishaua watu wake kwenye bus etc! hapo ni nani mbaya?

Rais wa Irani naye hapaswwi kusema Israel ifutike kwenye ramani ya dunia! Ila ushabiki wa kushabikia Marekani eti simply kwa sababu ina nguvu za kivita!

Basi mwambieni JK aache kabisa kujaribu kupitia mikataba maana wakikataa Marekani na Uk iakuwa upande wao na tukitumia nguvu hapo mtasemaje? maana nguvu za marekani ni kubwa lakini Bush asizitumie vibaya!

Marekani na Uk walikuwa wanaunga mkono Makaburu, lakini leo hii waguse uone! Huko Libya inasemekana Manesi wazungu waliaambuka watoto Virus lakini hadi leo mnasikia Marekani na ulaya wanavyowatetea!

Kinachonumiza kichwa ni unafiki wa hawa jamaa halafu na tunavyogeuzwa vichwa nao!

Labda jadili hili kwa msalho ya taifa letu. Watoto wanapata taabu kumbe wengine wanatesa!
http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2006/05/18/66665.html

Masikini wakisikilizishishwa habri potofu na kuhalalishiwa uovu fulani unaowapa solution za haraka na za muda mfupi huwa hujikuta wakichokonoa uadui na matajiri.Nina experience sana hata ktk jamii zetu..watoto wa masikini walipewa picture mbaya na wazazi wao,ambao pia waliwahi chokoza na kufanya sabotage ktk mali na uhai wa matajiri halafu wakaadhibiwa huwafundisha watoto hadi wajukuu chuki.Hao wajukuu hata wakiokolewa na tajiri na kufikishwa hospital bado chuki zao haziishi.Tena hubadili maelezo kuwa km watu hawakuwepo tajiri angekwenda myonya damu..Watoto wa hizo familia hata wadogo wanaweza amka na kurusha mawe kwa tajiri au ktk gari yake..kumkatia mabomba etc..

Ujamaa na uislam duniani ndivyo wamekuwa wakikuza mataifa dhidi ya US...south Korea ,Japan, German...ni marafiki wa US leo tunaona walivyo na Superbrands..hyundai, SumSung, toyota,sony, kawasaki, toyota, etc...sijui sisi tutaringia uchokozi,ukorofi, na visa vyetu kwa misingi gani?

Unapoiweka vyema mikataba na kujitambua US watalipa hela yoyote as long as wanajua watakuwa na hakika, na hela tunayoipata tunajenga nchi ya amani na si ugaidi na kuwapa viongozi nguvu za kijinga km za sadam,ghaddafi etc.
 
Back
Top Bottom