Rais wa Dar Kazini.........

acha kumkufuru Mungu kijana utamwitaje mwanadamu mwenzio hvyo!
Fuatilia matangazo na misemo wakati wa kampaini. Hata nyimbo ziliimba marehemu mtarajiwa ila waliomwita hivyo hata kwenye twiter wameshatangulia mwenzio yupo Dodoma anamwaga sera.
 
Hahahaha we mtafute Jesica halafu uone ng'ombe ngapi utapewa maana inabidi baba atoe mahari ili umchukue binti. Wanae wahima wale utapata mbegu safi ingawa wangu mh muulize mjomba wao mshana jr. anajua kali yao.
unataka nitumbuliwe! mshana mwenyewe nilimwambiaha afanye manyanga kwa huyo j akanyari he he he kila mbabe na mbabe wake!
 
unataka nitumbuliwe! mshana mwenyewe nilimwambiaha afanye manyanga kwa huyo j akanyari he he he kila mbabe na mbabe wake!
We huko haendi mdogo wangu anajipenda. Msukuma tena weeeee. Chezea hengine pale phaghumu mweeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…