Rais wa Dar Kazini.........

Mipango ya maendeleo walioiweka inasemaje? Maji ya bomba kwa kila mtanzania , elimu bora, kilimo, afya n.k haihitaji kuzunguka na kuanza kuhoji watumishi pamoja nawananchi wakati unajua dawa hakuna fedha ya kuendeshea ofisi hakuna. Kiongozi anatakiwa kabla ya kwenda kwa wananchi akutane na viongozi wa idara ajue kasma walizopata na jinsi walivyotumia kuwahudumia wananchi. Mfano dawa kwenye zahanati zinapelekwa za aina nyingi za tb za kupunguza makali ya ukimwi, hapa watu wakiona gari limelete dawa wanajua ni dawa zote wakiandikiwa dawa wakikosa wanafikiria kuwa dawa zilizoshushwa jana zimeuzwa na hawajui kuwa zilikua dawa za aina gani na za kundi gani. Kwa nini wananchi wasimuulize mkuu wa mkoa juu ya dawa zinazotolewa na serikali zinakidhi mahitaji yao na je zipo? Yeye anatakiwa awe na data zote ili atoe maelezo kamili kwa wananchi wake
 
duh! bibi unamaneno na wewe..!!
huyo uliempanga nimempenda ghafla!!
ana maono fulani hivi amaizing namuunga mkono😀
Naye kaghaili kumbe anataka kuwa sister Nun wa Buddha basi umekula boya. Mimi mwenyewe nilitamani wajukuu ila ndo hivyo haolewi.MMMMM
 
hapo umesahau barabara imechongwa 'raisi apite'
 


NDIO ANATAFUTA DATA
 
Naye kaghaili kumbe anataka kuwa sister Nun wa Buddha basi umekula boya. Mimi mwenyewe nilitamani wajukuu ila ndo hivyo haolewi.MMMMM
ngoja niongee na mshana afanye mambo ataolewa tu maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
ngoja niongee na mshana afanye mambo ataolewa tu maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Mjomba mtu tena? Kesha nyunyizia kila kitu usijisumbue. Kalagha bhao mwaya.
 
Why a lot of cars wkt kuna kubana matumizi..

Mimi pia nilikuwa najiuliza swali hilo hilo ; sasa kama serikali hii inasema inabana matumizi hata makamu wa Rais mama Samia hatumii tena ndege za kukodi inakuwaje tena huyu muheshimiwa Makonda anakuwa na msululu wa magari kumshinda hata JPM? Je huyu kweli anaelewa maana ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya serikali?
 

Huyu Makonda amelelewa na Kikwete na yeye ndiye aliyemuibua na kumtumia kisiasa toka kwenye bunge la katiba hadi kuja kumzawadia uDC; hivyo mentality yake ni ile ile ya Kikwete ya kuzurula zurula bila kujali gharama ya safari hizo. Huko alikokwenda na msafara wake, hiyo kazi ingeweza kufanywa na DC wa wilaya hiyo ambae pia inawezekana alikuwemo kwenye msafara!! Angekuwa kiongozi mweye busara angeiga yale yanayofanywa na wakubwa zake; JPM yeye siku hizi anawatumia mabalozi zaidi kumuwakilisha ili kubana matumizi ,hawa maRC kama Makonda nao wawatumie wakuu wa wilaya kufikisha ujumbe ili kupunguza matumizi badala ya kutafuta umaarufu wa kuongozana na waandishi wa clouds media!!!
 
niah
naenda kuwasema kwa mjomba magu alisema tufyatue watoto halafu nyie hamtaki nifanye hivyo naenda na kwenye haki za jamii...
 
niah
naenda kuwasema kwa mjomba magu alisema tufyatue watoto halafu nyie hamtaki nifanye hivyo naenda na kwenye haki za jamii...
Hahahaha we mtafute Jesica halafu uone ng'ombe ngapi utapewa maana inabidi baba atoe mahari ili umchukue binti. Wanae wahima wale utapata mbegu safi ingawa wangu mh muulize mjomba wao mshana jr. anajua kali yao.
 
Hayo magari yote anayapeleka mahali ambapo hata umeme hakuna;
hizo nyaya tu za mradi wa rare ila hakuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…