Rais wa Dar Kazini.........

usiseme hudaiwi wkt tuna lile deni naskia sasa limefika tillion 50 hivi!
We kenzy we unanitafuta? nimesema sidaiwi. Nitalipaje wakati kahawa nakopeshwa? nitalipaje wakati bado nalala najifunika migomba walikuja wajeshi wakanichukulia tent langu aliloletwa Lwakatare na yule kaka wa Nccr nimesahau jina? Wee niache na silipi je watanikata wapi? ugoro nimeacha, pombe nakunywa kwa jirani aliyeivisha silipi ila nampa maharagwe maana nilikuwa na akiba. Nimesema hawanipati ng'o sisafiri natumia damu yangu siyo mafuta wala gas. Mtajiju. Siugui nikiugua dawa kibao shambani kwangu mpaka za kusahau matatizo ya dunia.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hufanyi miamala ya m pesa,tigo n.k..? jf unaingiaje..? nguo je..? kubali yaishe
 
Hakuna kitu chema duniani kama kujitambua,unaweza ukawa na elimu, fedha na hata madaraka lakini kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wako ukawa hujitambui na hujiongezi.
 
wangechukua eicher Tatu tu zingewatosha
 
Sina simu watoto wanalipia mimi sijui wanajua wenyewe. Acha kwanza mvua inakuja nisogoze jani ilinyeshee wajukuu zangu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamoo dada mmeamkaje huko?
 
Sina simu watoto wanalipia mimi sijui wanajua wenyewe. Acha kwanza mvua inakuja nisogoze jani ilinyeshee wajukuu zangu.
ha ha ha have a good night bibi... vipi unamjukuu wa kike nije nioe..?
 
ha ha ha have a good night bibi... vipi unamjukuu wa kike nije nioe..?
Wawili tena ila full booked ulichelewa. Have a good day or night sijui ulipo. Mimi good afternoon.
 

bibi usimshangae huyo ndo kawaida yake tu!
Natamani nikimbie nyumba maana hawa watu wanatisha. Huyo mshana jr. anawadanganya akimwona huyu atatoka nduki. Sirudi humu tena umenitisha byeeeeeeee.
 
Natamani nikimbie nyumba maana hawa watu wanatisha. Huyo mshana jr. anawadanganya akimwona huyu atatoka nduki. Sirudi humu tena umenitisha byeeeeeeee.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Haya bai bibi...
 
Natamani nikimbie nyumba maana hawa watu wanatisha. Huyo mshana jr. anawadanganya akimwona huyu atatoka nduki. Sirudi humu tena umenitisha byeeeeeeee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…