Rais wa Dar Kazini.........

Hivi hujui hayo magari yanatumia gas asilia toka Mtwara? Hatuinunui tunachota kujilipa toka kwa muwekezaji. Mengine yanatumia nguvu za jua hatulipi jua halina account ila betry tulipewa na wachina bureeeeee.
Duh! sasa huko ku chota tu si bora wangechota wakasaidia wahanga we unaonaje..?
 
Matap tap alisema hivi, majanga hayakuletwa na sirikali wajiju. Alisema anatumikia maskini sasa hajawaona pale wanapita Magogoni maana rais wa dar aliwaambia warudi kwao hivyo mashetani ndo yapo mjini. We vipi?
he..!! sasa hii si hatari kama majanga ambayo hayakuletwa na sirikali watu wajihudumie wenyewe mbona ya sirikali yenyewe ni mengi kushinda ya asili na utatuzi hatuoni..? au ndo kupatwa kwa wapiga kura!
 
he..!! sasa hii si hatari kama majanga ambayo hayakuletwa na sirikali watu wajihudumie wenyewe mbona ya sirikali yenyewe ni mengi kushinda ya asili na utatuzi hatuoni..? au ndo kupatwa kwa wapiga kura!
Sasa?? We umpigie marehemu mtarajiwa badala ya mpiga push-up unafikiri nini? Marehemu mtarajiwa haitaji mengi sababu siku zake zinahesabika lakini mpiga push up anajua anahitaji mtaji zaidi maana miaka kumi si mchezo na legend kuandikwa. Madawati mtanunua, hakuna shida ya madawa hospitalini, mishahara itaongezwa ila watumishi hewa mtaipata. Mi simo sina kisomo, sina kazi na sidaiwi na mtu.
 

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ukiwa eneo la Kisarawe
Kwa haraka kuna msafara wa magari yasiyopungua 20
-kila gari moja limewekewa mafuta full tank
-kila gari haikosi watu 5 watakaolipwa posho
-huko ni rough road kwahiyo lazima gari zilifanyiwa full service kabla ya safari na baada ya safari kutakuwa na vitu vidogo vidogo vya kubadili
Je?
Kulikuwa na haja/ulazima wa kuwa na msafara wote huo?
Nini maana ya dhana ya kubana matumizi hapa?
Kilichoendewa na gharama iliyotumika vinaendana?
 
usiseme hudaiwi wkt tuna lile deni naskia sasa limefika tillion 50 hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…