Mungi wewe ndo umeanza kumwaga vyuku kwenye mchele mwingi bana
kalukamise takukuru wanapambana au wanaongezaMkuu Takukuru wanafanyia kazi hapo pekundu
Mungi nafasi ya supika ninayo mimi bana
Hahahahaha! Aisee, unaongeza list tu eeh! Hao wote hawatumii manake ni waaminifu kwenye ndoa zao lol. Mungi umenielewa eeh!
Mungi nafasi ya supika ninayo mimi bana
We wacha niwe supika nafasi zile z aupendeleo unawaleta wale wote unaowataka kwa ajili ya ulinzi wako
Na unaajiri bodyguard wa kike tuu kulinda eneo la bunge la chit chat
sweetlady acha kujitetea bana soma maelezo ya mmoja wa malaazizi wako Mr Rocky hapo!Mungi wewe ndo umeanza kumwaga vyuku kwenye mchele mwingi bana
vunga basi tukikutana kwenye viti virefu tutayamaliza humo humo
kalukamise takukuru wanapambana au wanaongeza
Wewe nenda kawape rushwa wale jamaa uone kama hawatapokea
hapana mkuu huu ni wakati wa kinamama wakiwezeshwa wanaweza wewe utachukua nafasi ya ndugai!
Ciello naona utakuwa hunitendei haki wewehapana mkuu huu ni wakati wa kinamama wakiwezeshwa wanaweza wewe utachukua nafasi ya ndugai!
Nakuunga mkono halafu na napendekeza niwe bodigadi wako
Ciello naona utakuwa hunitendei haki wewe
Maana vikao vyote utaongoza wewe na mimi nitabaki nakukodolea macho tuu
Maana wewe huna tena likizo ya uzazi wala safari za nje Mungi naona unaniruka aise nitakurudisha kwenye jukwaa lako la stress
halafu Mungi mbona nasikia uko jirani na kijiji changu hapa halafu hunitembelei
nakutafutia ban ujue

usiwe na hofu kijana bunge hili lako mie nimelingua tu, si waona nimesuka mtindo mpya? Haya ni maandaliz ya trip ya nyuyoku, ila usiwe unawatolea kashfa kina mdee sawa mkuu?