Afadhali honey hugombei manake wadada wangeanza kukukodolea mijicho. Njoo tumpigie debe Erickb52, akishinda ameahidi kutuletea treni la umeme!
Hahahaha unamcheka wajina eeh?
Sasa nimekufahamu wewe!
Mkuu nimeambiwa na sweetlady kuwa we na DUME ni panya na paka
Mkuu nimeambiwa na sweetlady kuwa we na DUME ni panya na paka
Vigezo baadae, jiandae
Hahahaha! Hivi wajina ameshatutaka radhi watanzania au bado kajikausha?hah hah hahaaaa! wajina alinifanya nilikimbie jina langu kwa muda!
Jaman si unajua mimi "nagombewa!" Ndio maana jina langu halipo kwenye wagombea! lol....
Mkuu nimeambiwa na sweetlady kuwa we na DUME ni panya na paka
Mungi naona umeanza kuchanganya madesa lol. Nilikwambia Erickb52, Blaki Womani, Arushaone, PakaJimmy, Mzee wa Rula ndio ambao wana aleji na hiyo kitu, tafadhali usinichonganishe na laazizi Mr Rocky!
Halafu wewe sweetlady hujajiandikisha sidhani kama utapiga kura.Hahahahaha Mr Rocky nimekugongea like kimoyomoyo(niko via mchina hapa lol) ..,..
Mwaaaaaaaa! Mwaaaaaaa! Mwaaaaaaaa! (hapa lazima kuna mtu atajinywesha sumu kwa wivu anajijua)
Nimekupendekeza laazizi usijali na nna hakika utashinda kwa kishindo!
Katiba yetu ya ChitChat haina vyama, ni wewe tu.
Endelea kupiga kampeni, wenzio wanasonga mbele au hujampenda hata mmoja?