Kinga ndio nini?
Bi Elizabeth Dominic popote pale ulipo, hebu ukuje pande hii unisaidie. Kuna watu wananisema vibaya.
Eti waweza enda vitani bila kujikinga? Si ni sawa na timu ya mpira bila golikipa?
Kinga ndio nini?
Bi Elizabeth Dominic popote pale ulipo, hebu ukuje pande hii unisaidie. Kuna watu wananisema vibaya.
Eti waweza enda vitani bila kujikinga? Si ni sawa na timu ya mpira bila golikipa?
Kugombea Urais.
Kinga ndio nini?
Bi Elizabeth Dominic popote pale ulipo, hebu ukuje pande hii unisaidie. Kuna watu wananisema vibaya.
Eti waweza enda vitani bila kujikinga? Si ni sawa na timu ya mpira bila golikipa?
sijui kama jina litapita, labda uanze kutanguliza bakishish in advance.
sijui kama jina litapita, labda uanze kutanguliza bakishish in advance.
Mkuu ni sweetlady ndo anajua hutumii kinga.............sasa unamwita tena Elizabeth Dominic hujui wataanza kurushiana vitu vizito kichwani?
Nyie viumbe wawili hapo juu I mean Mamndenyi na Mungi najua kusoma kumewashinda.......... Haya basi iangalieni picha ya Elizabeth Dominic hapo chini afu mnigongee like nipate apetaiti ya kulala na nyumba ndogo leo jioni...Asprin wewe ni kiboko umeshafika hata kwa Elizabeth Dominic Loh.
Nimekuja fasta, nilivyosikia suala la kujikinga...............yaani hapo usiwe na shaka, kwani hilo suala kujikinga mimi na wewe kwetu lina maana kubwa mnoo
Naomba kupata tender ya kuendesha utafiti wa kukubalika kwa wagombea......kwikwikwiii kama REDET vileee.......!!!
Mniambie kama nimepata hiyo tender ili nikatoe tangazo la kazi kule jukwaa la ajira.......
Natafuta njia za kukwepa ma ban, maana ukishakuwa Rais lazima uwe na immunity.
Nipigieni kura za Urais, wote, watakaonipigia kura watapata bakshishi ya internet ya bure ya mwezi mzima yenye "kasi zaidi" na hiyo si rushwa ni bakshishi baada ya kuwa Rais pia ntahakikisha wote nnawapa offer ya kwenda bilicanas, usafiri kiingilio na vinywaji vya mpiga kura na partner wake wa kwenda nae, mkifika huko mtakuta majina yenu mlangoni na waiter mahsusi wa kuwahudumia.
kwa njia hiyo kweli urais utausoma kwenye mitandao tu,
watu wanatoa rushwa ya magari, nyumba, mashamba zomba unatudanganyia msosi na internet,
kwa hilo mtani wangu kura yangu itakuwa ngumu kukupa.
kalukamise kwenye fuko la rambo sio mfuko maana huo ni mdogo sanaAgreed...kwenye mfuko wa Rambo na location ???
Mwanyasi umesema ila sema taratibu wasisikie watakutafuta uwape rushwa wasikuseme kuwa uliwasemaMkuu Rocky hapo kwenye Red, hawa jamaa hawazuii Rushwa wala nini, Rushwa ikiisha watakula nini maana Takukuru itafutwa.
Agreed...kwenye mfuko wa Rambo na location ???
Mkuu Rocky hapo kwenye Red, hawa jamaa hawazuii Rushwa wala nini, Rushwa ikiisha watakula nini maana Takukuru itafutwa.
zomba mbona hizo offer zako zimekaa kisecondary secondaryNatafuta njia za kukwepa ma ban, maana ukishakuwa Rais lazima uwe na immunity.
Nipigieni kura za Urais, wote, watakaonipigia kura watapata bakshishi ya internet ya bure ya mwezi mzima yenye "kasi zaidi" na hiyo si rushwa ni bakshishi baada ya kuwa Rais pia ntahakikisha wote nnawapa offer ya kwenda bilicanas, usafiri kiingilio na vinywaji vya mpiga kura na partner wake wa kwenda nae, mkifika huko mtakuta majina yenu mlangoni na waiter mahsusi wa kuwahudumia.
zomba mbona hizo offer zako zimekaa kisecondary secondary
watu hapa washahonga vogue na majumba ya kifahari na bilioni kadhaa zimewekwa kwenye account zao saasa wewe na offer za internet
Mungi hebu mwangalie jamaa wa jukwaa la stress anatoa offer ya net mwezi mzima kama anafaa kugombea urais #justsaying
Natafuta njia za kukwepa ma ban, maana ukishakuwa Rais lazima uwe na immunity.
Nipigieni kura za Urais, wote, watakaonipigia kura watapata bakshishi ya internet ya bure ya mwezi mzima yenye "kasi zaidi" na hiyo si rushwa ni bakshishi baada ya kuwa Rais pia ntahakikisha wote nnawapa offer ya kwenda bilicanas, usafiri kiingilio na vinywaji vya mpiga kura na partner wake wa kwenda nae, mkifika huko mtakuta majina yenu mlangoni na waiter mahsusi wa kuwahudumia.
Asprin umekuja na nguvu mpya toka machimboniNyie viumbe wawili hapo juu I mean Mamndenyi na Mungi najua kusoma kumewashinda.......... Haya basi iangalieni picha ya Elizabeth Dominic hapo chini afu mnigongee like nipate apetaiti ya kulala na nyumba ndogo leo jioni...