Rais wa China anazidi timu ya taifa?

Rais wa China anazidi timu ya taifa?

Anzisha tv yako na wewe

halafu watakuwa wanamlipa ruzuku kama wanayopewa hao TBC? tbc ni hovyo kabisa, tafakari watanzania wangapi walikuwa na shauku ya kutaka kuiona timu yao ya taifa wanatuletea mauzauzza, wajinga sana.
 
Wazalendo na wapenzi wa kweli wa Taifa Stars walikuwa uwanjani. Safari ijayo nenda uwanjani, acha kulalamika hovyo otherwise uwe ni mtoto wa kike ila kama wewe ni mtoto wa kiume hiyo ni dalili mbaya.

wewe ndo kuku kabisa unataka mtanzania wa nyasa/mbinga afunge safari kwenda dsm kuangali mpira? nini mana ya kuwa na tv ya taifa walishindwa nini kurekodi huo ujio wake wakatuonesha usiku! acha kutetea ujuuzi.
 
Wachina wamefuata chuma cha mchuchuma? Hayo ndo mambo Jk ataongea naye. Tunajidanganya nchi ambayo raia wake wapo hapa wafanya biashara za kimachinga hawawezi kutusaidia chochote
 
Mtoa mada hovyoo! TBC2 walikuwa wanauonesha na Tbc radio pia ilikuwa inatangaza. Kama bado uko kwenye mfumo wa analojia pole. Labda wewe ni laggard. Unashika remote unabofya TBC2 kutoka TBC1, imekushinda nini. Mtaishiwa afya kwa kulalamika. Kama ulikuwa na mapenzi saaana na timu ya taifa ungeingia uwanjani.
 
Kama una mtaji na teknolojia si uwende ukachimbe hicho chuma. Sisi tuna chuma lkn hatuna tknolojia wala mtaji. wao hawana chuma lakini wana mtaji na teknolojia ni lazima tutafute 'equilibrium' au kitu kinachoitwa 'win win situation'.
 
Mkuu huo wote ni ujinga wa Mtanzania kaka mie nimekaa nchi kibao na nimeshuhudia viongozi wakubwa tu wa nchi zingine wakitembelea lakini hata husikii ati kuna rais wa nchi flani yaani kuna siku nimekutana magari kama mawili na pikipiki mbili za Police na nikaambiwa ni rais wa Irland kaja kutembelea yaani sikufichi then baada ya hapo utasikia kwa taarifa ya habari ya usiku na kuonyeshwa livyokuwa na hata hakuna watu ati wamejipanga kumpokea.Tofauti moja na kubwa niliyoona kwa viongozi wa nchi ni Obama wakati anatembelea Norway miaka iliyopita kwani nilikuwa huko that time pale sasa ndio ilikuwa mshikemshike maake mji wa Oslo ulizima kila kona na jioni ile walikuja watu kila kona ya nchi kumuona Obama akiwa kwa Hotel moja in da town.Ni marais wa marekani tu ndio wanatetemesha na sio China waleta takataka Afrika sasa hapo mtazamie kujengewa madaraja mabavu na kuletewa vitu feki na serikali inakubali tu Lol nawapenda sana Wakenya kwani wamepiga marufuku ChinesProduct so Tanzania wanasema leta tu watu wetu wajinga na watu wenyewe wanashangiliana na kusema Tatapata neema from Chines Government mmeliwa


ninaomba usiwe na fikra potofu kuhusu china
1. Ni wafanyabiashara wenyewe ndio waendao kununua vitu vya bei rahisi toka cn ili wapate faida na kwakuwa serikali yetu upande wa TBS ni rushwa mtindo mmoja then wanaruhusu ziingie
2.Barabara hazijengwi kwa ubora kwa sababu ya kuondekeza 10% ya baadhi ya wasimamizi serikalini
 
wewe ndo kuku kabisa unataka mtanzania wa nyasa/mbinga afunge safari kwenda dsm kuangali mpira? nini mana ya kuwa na tv ya taifa walishindwa nini kurekodi huo ujio wake wakatuonesha usiku! acha kutetea ujuuzi.

sasa c kulikua na ugeni pia wa taifa halafu ukizingatia wao ndio walio wawezesha kuupata huo wa taifa.
 
Mtoa mada hovyoo! TBC2 walikuwa wanauonesha na Tbc radio pia ilikuwa inatangaza. Kama bado uko kwenye mfumo wa analojia pole. Labda wewe ni laggard. Unashika remote unabofya TBC2 kutoka TBC1, imekushinda nini. Mtaishiwa afya kwa kulalamika. Kama ulikuwa na mapenzi saaana na timu ya taifa ungeingia uwanjani.

Hovyo ni wewe. Mpira ulikuwa unaoneshwa tbc1 na radio.kwanin wasingeamisha wao wakaenda tbc2 unayoitaja. Mim nina dish for the last 12 yrs, je ni watz wangap wenye madish? Umeamua ulete uhalo wako ili nawe ionekanekane umechangia. Yaonekana digitali umeiona juz,si tunayo tangu 2000. Tumia bongo lako badala ya masabuli
 
We jellyfish, kilichofanyka kwenye ujio wa rais ni win loose situation. Nani kakwambia sisi tuta-gain?mikataba mingi ya sasa hiv ni mibovu kuliko mikataba ya enzi za ukolon. Babu zako hawakujua kusoma wala kuandka,wewe unajua kusoma na kuandka. Je wewe na wale mababu nani mjinga?
 
Mkuu huo wote ni ujinga wa Mtanzania kaka mie nimekaa nchi kibao na nimeshuhudia viongozi wakubwa tu wa nchi zingine wakitembelea lakini hata husikii ati kuna rais wa nchi flani yaani kuna siku nimekutana magari kama mawili na pikipiki mbili za Police na nikaambiwa ni rais wa Irland kaja kutembelea yaani sikufichi then baada ya hapo utasikia kwa taarifa ya habari ya usiku na kuonyeshwa livyokuwa na hata hakuna watu ati wamejipanga kumpokea.Tofauti moja na kubwa niliyoona kwa viongozi wa nchi ni Obama wakati anatembelea Norway miaka iliyopita kwani nilikuwa huko that time pale sasa ndio ilikuwa mshikemshike maake mji wa Oslo ulizima kila kona na jioni ile walikuja watu kila kona ya nchi kumuona Obama akiwa kwa Hotel moja in da town.Ni marais wa marekani tu ndio wanatetemesha na sio China waleta takataka Afrika sasa hapo mtazamie kujengewa madaraja mabavu na kuletewa vitu feki na serikali inakubali tu Lol nawapenda sana Wakenya kwani wamepiga marufuku ChinesProduct so Tanzania wanasema leta tu watu wetu wajinga na watu wenyewe wanashangiliana na kusema Tatapata neema from Chines Government mmeliwa

Vipi kuhusu TAZARA, Kiwanda cha urafiki URAFIKI?
 
Rais wa China amewasili nchini muda si mrefu. La kusiktisha timu ya taifa inacheza na Moroco. Tbc wamekatisha matangazo ya mpira na kuweka ujio wa rais wa China.

Je rais wa China anawazid watz 11 wanaocheza uwanjan na mashabik walioko uwanjan,nasi tunaofuatilia kuptia tbc 1?

Je rais wetu akienda china wao wanaweza kasitisha program zao za tv ili waweke matukio ya rais wa nchi ya Tz kwenda kuwatembelea?

Kwanini watz tunajidharau? Hii ndiyo maana watu wanashabikia matukio ya ulaya kuliko nchi yao kwan viongoz wa serikali wanaona michezo,utalii nchini ata nguo zetu havina mvuto, ndiyo maana fanicha maofisini ni za nje badala ya mininga ya mpanda?

Nimesikitishwa na tukio la kutoa matangazo yanayohusu timu yetu ya taifa na kuweka ujio wa rais wa China.

Ndiyo maana watz sio wazalendo tena kwa nchi yao. Tukipata vita kama vile ya Idd Amin, ni watz wangapi wanaoweza kujitoa kwenda kuipigania nchi yetu?
Unacheza na mradi wa Gas kutoka Mtwara !Gas ina 10% ya kutosha kuliko hao vijana wanaocheza na Morocco . Ujio huu ni muhimu kwa viongozi zaidi na miradi yao kuliko miradi yenye manufaa kwa jamii
 
nini maana ya kuwa na tv ya taifa? Ata akina mengi na dialo wenye tv hawajaonyesha sembu mimi na wewe. Tatizo letu watz ni kuwa na fikira potofu kama zako. Kwanin wewe usianzishe kama una uwezo.

hivi ni tv ya taifa au ni tanzania broadcasting corporation
hivi hata british broadcasting corporation (bbc)
kukiwa kuna mechi ya england vs brazil na obama anaenda kukutana na cameroon wataonesha ipi??

AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO.....
 
Back
Top Bottom