Rais wa China anazidi timu ya taifa?

Rais wa China anazidi timu ya taifa?

Wazalendo na wapenzi wa kweli wa Taifa Stars walikuwa uwanjani. Safari ijayo nenda uwanjani, acha kulalamika hovyo otherwise uwe ni mtoto wa kike ila kama wewe ni mtoto wa kiume hiyo ni dalili mbaya.
Akili fupi! Unafikiri kila mtu anakaa dar ili aende uwanjan? Je watu wa mpanda, kahama, mwz, nyambono na tandaimba hawana haki ya kuona au kusikiliza timu yao ya taifa? Inaonekana umetawaliwa na mfumo dume kuwa akina na dada/mama ndiyo wanaolalamika. Hii inaonyesha ulizaliwa kwenye familia ya namna gani. Je dadako na mamako wanalalamika sana?wamenyanyaswa sana ndani ya familia yenu? Amtukanae ke kwa kumdhalilisha basi umvkana mama yake. Je wewe ni mmoja wao?
 
Kumbe sio mi mwenyewe nimechukizwa na hcho ktendo? Ila achana nao cha msingi tumeshinda, tunamshukuru mungu.
 
kwa akili yako watu na wapenzi watoke bukoba, kigoma, mtwara na lindi kuja Dar esalaam isitoshe matatizo

yanatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine ndiyo maana teknolojia ikawepo, komenti yako si yakiuungwana.

Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.
 
Akili fupi! Unafikiri kila mtu anakaa dar ili aende uwanjan? Je watu wa mpanda, kahama, mwz, nyambono na tandaimba hawana haki ya kuona au kusikiliza timu yao ya taifa? Inaonekana umetawaliwa na mfumo dume kuwa akina na dada/mama ndiyo wanaolalamika. Hii inaonyesha ulizaliwa kwenye familia ya namna gani. Je dadako na mamako wanalalamika sana?wamenyanyaswa sana ndani ya familia yenu? Amtukanae ke kwa kumdhalilisha basi umvkana mama yake. Je wewe ni mmoja wao?

Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.
 
Mh sumu. Umekubali kuwa umewadhalilisha akina mama na mamako akiwemo kuwa analalamika? Je watu wote wataingia uwanjani? Je ina maana sisi tusioishi dar na hatukwenda uwanjani hatukuwa na haki kama ulivyosema eti tunalalamika kama akina dada na mama yako? Nina wasiwasi na uelewa wako hasa elimu na upeo wako wa kuchanganua mambo na kutoa hoja. Umejua kutumia jf na fbook basi unaona kila kitu anakijua na watz wengine hatujui kitu
 
Kila mtu na mapenzi yake jamani yaani mimi na mpira mbalimbali hata Netball
usishangae Mzee mzima yupo kwenye Sinema za kiNigeria na habanduki
Kwa hiyosio wote wapo kwenye mipira ya Tanzania au ya Uingereza
Saa hizi nakula Taarabu kwa raha zangu
 
Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.

kwasababu wanasafiri bule, kulala hotelini bule, kuingia uwanjani bule, na wagonjwa watapona waweze kusafiri, wenye

kuingia ofisini kesho huko bukoba Ruvuma na kigoma watasamehewa wakikosa kuingia maofisini kwasababu walikuwa

safarini dar kuangalia taifa stars. Ndivo akili zako zinavofanya kazi eti? au ni matunda ya kawambwa na Mulugo wewe?
 
Anzisha tv yako na wewe
Acha kufikiri kimasaburi,,Rafiki yake wa karibu wa PAPA FRANCIS 1 alisema alichelewa kuona moshi mweupe wa kumpata papa kwa sababu alikuwa anatazama mechi akiwa kama meneja wa real madrid,,hivyo kwa wenzetu kila jambo linapewa kipaumbele kama kawa hata kama ni soka
 
kwasababu wanasafiri bule, kulala hotelini bule, kuingia uwanjani bule, na wagonjwa watapona waweze kusafiri, wenye

kuingia ofisini kesho huko bukoba Ruvuma na kigoma watasamehewa wakikosa kuingia maofisini kwasababu walikuwa

safarini dar kuangalia taifa stars. Ndivo akili zako zinavofanya kazi eti? au ni matunda ya kawambwa na Mulugo wewe?

Kama mimi ni tunda la Mh. Kawambwa na Mh. Mulugo, Mh. Mbowe anayeitisha maandamano siku ya Jumatatu atakuwa ni tunda la nani?
 
Kwa hili kwa kweli wote tunasikitika sana kutoina mechi ya stars, na hapa ndipo ninapomkumbuka Mh. Zitto alipowahi kuilalamikia TBC wakati huo kuwa iachane na ushindani wa kununua haki za kurusha vipindi vya michezo kwani linapotokea jambo la dharura la kitaifa italazimika kusimamisha urushaji wa burudani hiyo na hivyo itakuwa imewadhulumu watanzania haki yao ya msingi. lakini MAGAMBA walimpinga sana, lakini sasa tunayaona na leo MaCCM pia yamelalamika kukosa uhondo.
 
Kama mimi ni tunda la Mh. Kawambwa na Mh. Mulugo, Mh. Mbowe anayeitisha maandamano siku ya Jumatatu atakuwa ni tunda la nani?

Hebu tuliza kichwa aliyesema kuingia uwanjani hakutegemei hali ya uchumi wa mtu ni mbowe au wewe?

kwasababu ni wewe na kutokana na kupitia darasa la kawambwa na mulugo huna upeo wa kuyaona haya na pia kufahamu kwamba yanauhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa mwanadamu, kiuchumi, kiafya nk

kama wewe sio zao la kawambwa kanusha haya hapa chini kama sio kikwazo, tukuamini unachoongea.

i) wanasasafiri kwa fungu gani utawapa wewe hiyo fedha? mipira ya ulaya kila weekend unasafiri mara ngapi kuona mechi huko?

ii) watalala hotelini kwa fungu gani na kuingia uwanjani kwa mfuko upi wanapokuwa hapo Dar?

iii) Kwa walio wagonjwa na wanatamani kuuona mpira kupitia tv wataendaje uwanjani? au teknolojia kwako ni ujima?

iv) Je wafanyakazi katika secta binafsi na za serikali kesho huko bukoba Ruvuma na kigoma watasamehewa wakikosa kuingia maofisini kwasababu walikuwa safarini dar kuangalia taifa stars. Kipi kinatangulia kazi au kufunga ofisi kwa siku tatu wapenzi wote wasafili kuelekea dar?

We huoni mbali lazima utakuwa matunda ya kawambwa na Mulugo wewe trust me. Unamshobokea mbowe, mbowe anaweza kutoa komenti za ovyo kiasi hiki?
 
Unaonekana unapenda sana kuChat.
 
Sumu...sikutaka mwanzo kuingiza itikad lakin kwa kumtaja mbowe yaonekana huko ki-gamba zaid. Mechi ya timu ya taifa inaangaliwa au kusikilizwa na kila mtu, mama,dada,kaka,mzee aliye na din na asiye na din.hatutaki siasa kwenye mjadala huu.mbowe ndiye aliyeanza kutangaza mechi badae akaitoa? Sisi wananchi tunacholalamikia ni kwanini wasingetangaza,onyesha mechi ikaisha badae wakaenda kwa rais wa china au wangeacha kutangaza mech na kwenda kwa mchìnai ili tutumie jf kama vlivyozoea. Watz waliokaa kiccm ambao wana mawazo pogo kama mr sumu,ata ukiwambia jambo ambalo serikali imekosea hawataki wakubali ukweli
 
Unaonekana unapenda sana kuChat.

Inaonesha vema kabisa uliathilika na kupitia usimamizi mbovu wa akina mulugo na kawambwa.

Huna hoja kaa pembeni usitudhihakie dada na mama zetu kwa upofu wako wa akili.

Unadhani kuwaambia wapenzi na washabiki wa michezo hususani football kwa kututukania wanawake inajenga hoja?.

Nakuona 100% matunda ya kawambwa na mulugo. Zitafakali koment na posti zako.
 
Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.
Wacha kutumia makalio kufikiria..hivi kila mtz angeenda uanjani, ungetosha? usiandike kama umeinamishwa/
 
Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.

Watanzania wapi wa kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine? Au ni hawa wanaoishi maisha ya kuungaunga hata hawajui kesho itakuaje.
 
Back
Top Bottom