Rais wa China amewasili nchini muda si mrefu. La kusiktisha timu ya taifa inacheza na Moroco. Tbc wamekatisha matangazo ya mpira na kuweka ujio wa rais wa China.
Je rais wa China anawazid watz 11 wanaocheza uwanjan na mashabik walioko uwanjan,nasi tunaofuatilia kuptia tbc 1?
Je rais wetu akienda china wao wanaweza kasitisha program zao za tv ili waweke matukio ya rais wa nchi ya Tz kwenda kuwatembelea?
Kwanini watz tunajidharau? Hii ndiyo maana watu wanashabikia matukio ya ulaya kuliko nchi yao kwan viongoz wa serikali wanaona michezo,utalii nchini ata nguo zetu havina mvuto, ndiyo maana fanicha maofisini ni za nje badala ya mininga ya mpanda?
Nimesikitishwa na tukio la kutoa matangazo yanayohusu timu yetu ya taifa na kuweka ujio wa rais wa China.
Ndiyo maana watz sio wazalendo tena kwa nchi yao. Tukipata vita kama vile ya Idd Amin, ni watz wangapi wanaoweza kujitoa kwenda kuipigania nchi yetu?