Rais wa Bunge la Ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa Serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Rais wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki.

Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela, ukamataji watu hovyo wasio na hatia unaofanywa na jeshi la polisi, matukio ya utakaji na uhalifu kwa wakosoaji wa serikali, umelaani kuwepo kwa kesi za mchongo na za kisiasa zisizokuwa na msingi.

Wanasisitiza haja ya EU kuhakikisha kwamba ushirikiano wake wa kimaendeleo na Tanzania, ikiwa ni pamoja na mpango wa Global Gateway, unaendana na uendelezaji wa haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na viwango vya kesi vyenye haki.

Wabunge hao wanamuagiza Rais wake kupeleka azimio hilo kwa Serikali na Bunge la Tanzania pamoja na Umoja wa Afrika.

Azimio hilo linatarajiwa kupigiwa kura na wabunge hao leo Alhamisi tarehe 8.
 
Raisi wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki.

Hawa watu ni malaika, wanaifanya kazi ya Mungu kabisa kulinda uhai wa wengine
 
Fikiria Rais wa Bunge La Dunia ndiyo Spika wa Bunge la Tanzania, hivi kweli siyo aibu hii? Unakua Rais wa Bunge la dunia wakati Bunge lako linaua watu, linateka watu na kuleta kesi za uongo, what kind of Ethics Standard hapo?
 
Raisi wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki.

Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela, ukamataji watu hovyo wasio na hatia unaofanywa na jeshi la polisi, matukio ya utakaji na uhalifu kwa wakosoaji wa serikali, umelaani kuwepo kwa kesi za mchongo na za kisiasa zisizokuwa na msingi.

Wanasisitiza haja ya EU kuhakikisha kwamba ushirikiano wake wa kimaendeleo na Tanzania, ikiwa ni pamoja na mpango wa Global Gateway, unaendana na uendelezaji wa haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na viwango vya kesi vyenye haki.
Wabunge hao wanamuagiza Rais wake kupeleka azimio hilo kwa Serikali na Bunge la Tanzania pamoja na Umoja wa Afrika.

Azimio hilo linatarajiwa kupigiwa kura na wabunge hao leo Alhamisi tarehe 8.
Endapo kama ni kweli, Basi naona kama Safari ya Tanzania kuwekewa vikwazo vya kiuchumi imeanza rasmi. Ipo hatari kubwa sana kwa Tanzania kufuata nyayo za Zimbabwe chini ya Robert Mugabe.
 
Hawa watu ni malaika, wanaifanya kazi ya Mungu kabisa kulinda uhai wa wengine
..na hapo ndio penye tofauti ya sisi na wao wazungu, wenzetu wanaelewa ubinadamu si wewe peke yako na kwamba matendo yako leo yasipande mbegu ya mateso kwa generation yako! sasa mtu mweusi na hasa mtanzania anajua yeye ni yeye na familia yake akifa ndio mwisho wake hapo hana habari hao anawaacha wataishije..anadhani mali anayowaacha nayo itawapa kila kitu which s not true! sisi waafrika tuko hivi tulivyo kutokana na matendo yetu wenyewe, tunarithishana laana badala ya baraka! mtu anaua watu kwa chuki, ni mchawi, hapendi wengine na matendo yooote mabaya, hayo yanapita kwenda kwa generation yake..ndio maana tuko hivi, wenzetu wazungu walishatoka huko wanajua maana ya uumbaji wa Mungu na kwa nini umeletwa duniani!
 
Back
Top Bottom